Koffi Anan ajiuzulu kusuruhisha mgogoro wa Syria

Jul 24, 2012
81
6
Mjumbe na msuluhish wa mgogoro wa syria amejiuzulu, kofi anan.. Ambaye ni wa muhim kwa kuzingatia mafanikio yake ya usuluhish wa migogoro duniani hasa ya kisiasa.. Hapo jana alijiuzulu sjui united nation watachukua hatua gan kuokoa upes syria na kuleta aman, source radio douch wele @dw,
 
Amekosa ushirikiano kutoka kwa serikali na wapinzani, hapo kazi bado ipo watauana kweli
 
Mjumbe na msuluhish wa mgogoro wa syria amejiuzulu, kofi anan.. Ambaye ni wa muhim kwa kuzingatia mafanikio yake ya usuluhish wa migogoro duniani hasa ya kisiasa.. Hapo jana alijiuzulu sjui united nation watachukua hatua gan kuokoa upes syria na kuleta aman, source radio douch wele @dw,
Wawape wachina na warusi wasuluishe. Nasikia kuna watu duniani huona binadamu kama mashine ya uzalishaji tu hawajali utu. Hata hawa waliokataa kuitambua Libya wanafaa kupewa hiyo kazi.
 
mazungumzo hapo.. Inabidi kamati na tume nzuri yenye wajumbe wenye ushawish mkubwa.. Iundwe na apatikane msemaji na msuluhish wa ukweli.. Mwenye covincing power kubwa mno
 
Wamjaribu NM...from bondeni,au waje wamhukue Che Nkapa..nae yumoyumo
 
Dunia inanyanyasa jamii ya kiislam

Kivipi? Sijui kwako tafsiri ya "dunia" ni nini? Ukitumia mgogoro wa Syria kama hebu fafanua. Unajua hii imani ni ya ajabu sana. Kama ilivyo sehemu kadhaa wanaouwana wenywe kwa wenyewe kule ni waislamu; Tehran alikuwa swahiba mkubwa wa Damascus lakini naona katika hili yuko kimya; kama kawaida UNAFIKI.
 
Back
Top Bottom