Ukweli kuhusu marekebisho ya sheria ya mifuko ya jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu marekebisho ya sheria ya mifuko ya jamii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir M.D.Andrew, Aug 2, 2012.

 1. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba serikali ilikopa pesa kwenye mifuko ya jamii hususan PPF/NSSF kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma,na barabara za mjini DAR,mradi wa kigamboni n.k tatizo lililojitikeza ujenzi haujaisha pesa kwenye mifuko zimeisha na serikali haijaanza kurudisha mkopo huo,wakati huohuo watu wanahitaji pesa zao,ili serikali ipate muda wa kuanza kurudisha mkopo huo na kumaliza miradi yao wakaamua kubadili sheria haraka kupunguza idadi ya watu kuchukua pesa,wabunge wa CCM walipigia upatu sheria hii ili kuokoa serikali ya CCM.
   
 2. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kuna ukweli ila kuikamilisha weka Source mkuu!
   
 3. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno mkuu, haiingii akilini mtu mwenye akilizake aweke sheria kama hii
   
 4. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Source CAG
   
 5. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kwa kumsaidia source ni report ya CAGilisema kategorically kwamba investment ya UDOM inabishaniwa na serikali na NSSF kwa maana kwamba Hiyo asset(udom) haipo ktk vitabu vya mahesabu vya NSSF simply kwa sababu nssf imeweka serikali kama mdaiwa(debtor) kwa upande wake serikali imekataa kukubali kama udom ni mali yake kwani kwa kufanya hivyo ataonekana mdaiwa.Kiutalaam NSSF ni mkopeshaji whereas serkali mkopaji.Ikikubalika hivyo serikali anapaswa kulipa deni na muda wa kulipa umefika na pia serikali haina kitu mfukoni .Ndiyo mwanzo wa sheria ile kandamizi
   
 6. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo wabunge wote wa CCM ni mataahira? Job ndugai(naibu speaker) anaposema irudishwe kwa wananchi hakujua impact yake wakati wanaipitisha kwa makeke? Hivi mbona sikusikia hata wabunge wa upinzani wakiipinga ukiachilia mbali hata sikumbuki kuisikia ikijadiliwa! Kwamba serikali ilikopa hiyo inajulikana wala haihitaji source maana nakumbuka kumsikia kikwete akiagiza mifuko yote ya hifadhi ya jamii mpaka bima ya afya. LAKINI NINAVYOWAJUA WATANZANIA KAMA AMBAVYO KUNA BAADHI YA WALIMU NI WAOGA WA KUDAI MASLAHI YAO HATA BAADHI YA WAFANYAKAZI WAKIAMBIWA WAANDAMANE KUSHINIKIZA HIYO SHERIA KANDAMIZI IONDOLEWE WATAPINGA WAKIDAI NI CHADEMA!!!

  "Mungu anawashangaa wale waliochagua matatizo kwa kudai ni chaguo la Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Ule mswaada haukuwa na kipengere cha miaka specifically 55 au 60 ila ilikuwa ni broad statement ikiwa na maudhui ya kuwepo muda maalum wa kuchukua mafao,baada ya kupita kilichofanyika ni to fill the space provided as if you are in the exam or filling visa form.kudadadaaaaadeki ccm
   
 8. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Shua. Huu ndo ukweli wenyewe. Zingine mbwembwe tu.
   
 9. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu, hiki kipengele kinachobishaniwa hakikuwepo wakati sheria inajadiliwa bungeni. kilipachikwa wakti inapelekwa kwa dhaifu ikasainiwe.
   
 10. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nadhani anaweza akawa na hoja. Ngoja nijiaminishe kuwa hiyo tarehe yake ya kuingia hapa jukwaani ituaminishe kuwa baada ya kuyajua haya kaamua kuja hapa!
   
 11. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni kweli kabisa mdau. Unajua serikali iliamua tu kukwapua pesa hizo bila ya kuwa na mpango madhubuti na wakuaminika wa namna ya kuzirejesha. sasa mambo yamewaendea vibaya.
   
 12. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red mkuu ni kuwa kipengele hicho hakikuwepo wakati wa mjadala wa bunge KIMECHOMEKEWA na rais kasaini....kwa mujibu wa Haki za binadamu(helen Bisimba)
   
 13. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  I Concur with u.
   
 14. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi na ile mishahara tuliyokopa Benk za biashara tumesharudisha? Mbona waziri wa fedha alisema tunakopesheka? Au haya madeni mengine yalifichwa ili ionekane tunakopesheka? Hapa Imebaki tu Majembe Auction kutangaza kuwa TZ inauzwa kwa mnada wa hadhara.
   
 15. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna official website ngoja nijaribu kumuuliza anayehusika kama atakubali niweke hadharani
   
 16. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na kwa kuongezea wakuu,ramani ya mji mpya kigamboni mkandarasi aliyepewa alianza kulipwa hata kabla kazi haijaanza,upanuzi wa barabara za DAR mf.ile ya tegeta bunju mbezi aliyepewa kandarasi ni kigogo mmoja wa mfuko mmoja wa jamii,alijichotea pesa kwenye mfuko wake,wakati huohuo NSSF Ikiwa bado haijaanza kupata faida ya ujenzi wa UDOM habari za uhakika zinasema tayari mfuko huo uliingia mkopo mwingine na serikali mabilioni ya pesa kwa ajili ya ukarabati wa majengo yaliyochini ya kiwango udom,deni ni kubwa kwa sasa..wakuu ni uhakika na kweli tupu
   
 17. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  imekuaje wamesalimu amri migodini...the status quo remains na utaratibu utawahusu wale tu ambao wataingia kwenye mfuko baada ya july pamoja na kwamba watakuwa na uhuru zaidi wa kuchagua mfuko upi watajiunga kwa vile kila mfuko una masharti yake ambayo yanatofautiana na mwingine. yale yale ya kusikilizia upepo unavumia wapi..
   
 18. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni kweli kabisa................
  magamba hawaoni tena,, hawasikii tenaa,,, hawanausi tena.....wanapelekwa na upepo tuu....
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ehe watu wa migodi wanaruhusiwa kuvuta mpunga?
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Seikali ina Njaa....
   
Loading...