Dr. Slaa amshangaa Ndugai na Lukuvi

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
WanaJF tuko Malinyi katika Jimbo la Ulanga Magharibi. Dr Slaa sasa hivi anahutubia na kushangaa jinsi Bunge linavyoshindwa kutetea maliasili za taifa. Dr pia anaonyesha kitambulisho chenye rangi nyekundu anadai ni cha Ofisa Usalama wa Taifa aliyemfuata kumpa document muhimu za siri na ambaye amemruhusu kupiga copy kitambulisho chake na kumtaka asikitoe popote ila mahakamani tu. Dr amekumbushia jinsi hoja za Buzwagi na EPA zilivyohujumiwa Bungeni na leo hoja ya Msigwa nayo wanataka kuihujumu.

Kuna tatizo la mitambo kwa sasa Dr amekatiza muda si mrefu nitakamilisha story na picha nitawatumia soon. Keho operesheni itafanyika katika Kata za Mikumi
 
Hapo ndipo uwa namkubali raisi wetu Dr Willbroad Slaa...ni mtu asiyependa kutoa hoja bila kuwa na evidence.

Hizo nyara muhimu ni ndoto zzk kuwa nazo yeye amebaki kutangaza nia ya urais wakati hata kwenye harakati haonekani.slaa kura yangu inakungoja
 
mmepita lupiro,itete,mtimbira,igawa hadi malinyi kwangu jamani.hamtaki nigombe udiwani huko nini?
 
Ndugai bila shaka anaelekea kuwa kiongozi mbaya wa mijadala ya bunge kuliko hata mabumba!
Mimi huwa sielewi anatumia nini kutoa maamuzi ya miongozo ya wabunge. Kila mwongozo anaoutoa hasa unaoombwa na wabunge wa upinzani lazima unakuwa wa hovyo.
 
Lakini Ndugai ALIKATAA hoja ya Werema kutaka Msigwa asiendelee na hotuba yake, pale alipomtaja huyo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Karagwe kuhusika na ujangili. Nini kimebadilika? Hebu nijuzeni.
 
Hilo jimbo magamba sizani kama wataendelea kulitawala. Maana wamechokwa sana.
WanaJF tuko Malinyi katika Jimbo la Ulanga Magharibi. Dr Slaa sasa hivi anahutubia na kushangaa jinsi Bunge linavyoshindwa kutetea maliasili za taifa. Dr pia anaonyesha kitambulisho chenye rangi nyekundu anadai ni cha Ofisa Usalama wa Taifa aliyemfuata kumpa document muhimu za siri na ambaye amemruhusu kupiga copy kitambulisho chake na kumtaka asikitoe popote ila mahakamani tu. Dr amekumbushia jinsi hoja za Buzwagi na EPA zilivyohujumiwa Bungeni na leo hoja ya Msigwa nayo wanataka kuihujumu.

Kuna tatizo la mitambo kwa sasa Dr amekatiza muda si mrefu nitakamilisha story na picha nitawatumia soon. Keho operesheni itafanyika katika Kata za Mikumi
 
Tutasikia mengi mwaka huu, usalama wa taifa watishia uhai wa viongozi wa CDM na hao hao ndio watoa document nyeti.
 
Unyumba unamchanganya huyu babu yetu si unajua katerero ya Mama jouniour inamchanganya
 
Haya single nyingine tena hiyo, kweli Slaa amekua ni kituko. Yeye kila siku ni document na kutaja mahakama, mbona asifungue kesi? Utasikia anasema waende mahakamani halafu yeye alete ushahidi. Mpaka 2015 atakua anatembea na sanduku la document za siri,2020 itabidi akodi fuso kubeba huo mzigo wa document.
 
ndo kujiamini huko mbona hawajawahi mshitaki
 
Haya single nyingine tena hiyo, kweli Slaa amekua ni kituko. Yeye kila siku ni document na kutaja mahakama, mbona asifungue kesi? Utasikia anasema waende mahakamani halafu yeye alete ushahidi. Mpaka 2015 atakua anatembea na sanduku la document za siri,2020 itabidi akodi fuso kubeba huo mzigo wa document.

Wasi wasi wangu usikute iko kitambulisho ni driving licence ya zamani rangi nyekundu si hoja.
 
Hii kitu itawanyanyasa mpaka 2015,
na inaonekana mmenywea na kufyata mikia yenu,
Woga mpka makalioni.

Haya single nyingine tena hiyo, kweli Slaa amekua ni kituko. Yeye kila siku ni document na kutaja mahakama, mbona asifungue kesi? Utasikia anasema waende mahakamani halafu yeye alete ushahidi. Mpaka 2015 atakua anatembea na sanduku la document za siri,2020 itabidi akodi fuso kubeba huo mzigo wa document.
 
Ndugai bila shaka anaelekea kuwa kiongozi mbaya wa mijadala ya bunge kuliko hata mabumba!
Mimi huwa sielewi anatumia nini kutoa maamuzi ya miongozo ya wabunge
. Kila mwongozo anaoutoa hasa unaoombwa na wabunge wa upinzani lazima unakuwa wa hovyo.

Hapo kwenye red mkuu jibu lake ni masaburi.
 
Ndugai bila shaka anaelekea kuwa kiongozi mbaya wa mijadala ya bunge kuliko hata mabumba!
Mimi huwa sielewi anatumia nini kutoa maamuzi ya miongozo ya wabunge. Kila mwongozo anaoutoa hasa unaoombwa na wabunge wa upinzani lazima unakuwa wa hovyo.

Si alikiri kuwa huwa wanaingia wakiwa tayari wamekunywa viroba na kuvuta sigara kubwa, ndo matokeo yake hayo!
 
Back
Top Bottom