serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sharkzulu, Aug 12, 2012.

 1. s

  sharkzulu Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wan JF nimezidi kuingiwa na hofu kubwa juu ya visasi vya wazi wazi vinavyolipwa na viongozi wakuu wa nchi yetu zidi ya wananchi/wafanyakazi wake wanapodai haki.

  Kitendo cha mh kuwakaanga walimu kwenye zoezi zima la kuandikisha sensa kisa waligoma, ni baya sana, na tafasiri yake ni kulipa kisasi tena ni kisasi cha wazi wazi. 75% ya walimu waliotakiwa kusimamia uchaguzi wameachwa kibao. Je kulikuwa na haja gani ya kufunga shule ili hali walimu hawajahusishwa kwenye zoezi hilo?

  kwa taarifa tujiandae kuwa na kizazi cha maira kisichokuwa na elimu bora, na hii effect itatugusa sisi wananchi wa kawaida tunao wategemea walim hawa wanao nyanyaswa wa wakuu wa nchi na wana usalama wataifa.

  Sitegemei kama hii ndio dawa ya kutuliza mgomo huo zaidi kuongeza hasira kwa wafanya kazi wote, kwani kila secta ina hofu.

  NAWASILISHA.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu kumbe ulikuwa hujui? Kawaulize akina Babu Seya ndiyo utajua uhovyo wa serikali yako. Ugomvi wa mwanamke watu wanatumia madaraka na kufungana vifungo vya maisha wakati mafisadi wakiendelea kupewa uongozi wa kamati za Bunge. Kwa taarifa yako ni kwamba kwa Tanzania kilicho muhimu hufanywa cha hovyo na cha hovyo muhimu. Haramu uhalalishwa na halali ikaharamishwa. Huo ndiyo utawala wetu unaowaahidi maisha bora wananchi wote ukaishia kuwaletea maisha balaa.
   
 3. d

  dada jane JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I dont understand dr alieukwaa u dr kwa kusuluhisha wakenya waliofikia hatua ya umwagaji damu. Anashindwaje kuumanage mgogoro uliopo baina ya serkali yake na wafanyakazi wake?
   
 4. a

  adolay JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280

  Baba umenena watoto wako tunateseka na hawa mafisadi tunaomba usia wako 2015 ni mbali sana wataiangamiza inchi yetu tukakosa urithi sisi na vizaz vyetu.
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu Adolay suluhu mnayo nyinyi kama mtajitambua na kufanya maamuzi magumu ya kuipiga teke CCM kwenye uchaguzi. Mngekuwa si woga na kondoo ningewashaurini muingie mitaani kieleweke bila kungoja huo uchaguzi ambao umegeuka uchafuzi baada ya kuchakachuliwa. Ni juu yenu kuamua kuishi kama wapangaji na mbwa kwenye nchi yenu au simba kwenye mapambano. Heri kufa umesimama ukipambana kuliko kufa umepiga magoti ukiwanyenyekea watesi wako.
   
 6. SIERA

  SIERA JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,232
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kwani iyo kazi ya sensa ni yawalimu pekeyake.?hao wengine hawakustaili kufanya iyo kazi? Nawalimu walopata iyo kazi wao hawakugoma ndio maana wamepewa iyo kazi?
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  mkuu sharkzulu, nimelisoma wasilisho lako kwa makini sana, nakubaliana nawe kuwa nyingi ya sekta wafanyakaziwe hawana morari ya kuwajibika, na hii inatokana na kuwa hili taifa lishakuwa taifa la matamko, makanusho, mikutano na waandishi wa habari, na ufafanuzi, uwajibikaji umekufa, naamini utakubaliana nami kuwa uwajibikaji kwa kiwango fulani umesalia kwenye majeshi ya ulinzi sio ya usalama.

  waalimu lazima watumie busara ya hali ya juu, waondoe fikra ya kutowafundisha watoto mashuleni, bali waongeze utiifu ili ukifika uchaguzi 2015 wakabidhiwe dhamana ya kuandikisha na kusimamia zoezi la uchaguzi ambalo ndiyo rungu lao la kuiadhibu serikali ya ccm ambayo imetangaza hadharani kutokutambua maslahi yao.

  visasi vinaliangamiza taifa la tanzania.

  naunga mkono hoja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. a

  adolay JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280

  Mkuu it can't be real, was just a matter of oppotunity/chance taker.

  Kenyans were very tired to go on with their conflict just at the moment mbayuwai arrived and at that moment of tuning point anybody could finish off and bring disarrayed kenyan's inline.

  Kikwete display very low capacity in problem solving, weak psychology and dipromatically unfit.

  The dr title was misused otherwise he coukd use that intellectual to absorb doctors and teachers conflict to his government.

  Everyone is crying unfortunately mr president also cries on problems facing the country, who to action others then? Very sad....
   
 9. a

  adolay JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280

  Asante baba kwa wosia wako. Tutajipanga kuyazungumza na wanao wengine wenyemachungu na jinsi ccm wanavoichakaza inchi hii, wanakula kila kitu na bila kusaza.

  Japo wanatutisha kwa polisi na magari ya kivita na kutuduwaza kwa tenzi na nyimbo za tanzania kisiwa cha aman.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee hawezi kuongoza...ni mtu wa visasi sana
   
 11. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .....awatoe na kwenye zoezi la kusimamia mtihani wa drs la saba, nilisema na sasa narudia walioshauri serikali hayo ni ushauri wa kijinga na tena ni wa kujipendekekeza; hamna mtu makini anayeweza kushauri ujinga kama huo unless otherwise ananufaika nao, pengine ndicho kilifanyika/kusudiwa; naam walinufaika nao, huu ushauri wa ovyo, wakuwatoa waalimu waliotii agizo la chama chao halali na kuwaacha wale wenzagu wa bora liende........
   
 12. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akili za kuambiwa changanya na zako, na liwalo na liwe+dhaifu.Kazi ipo
   
 13. U

  Uriria JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 744
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  hiv hao waliochukuliwa pia ni waTZ,sioni mbaya tena hawana ajira kn pia walimu wapo.wao walibeap upande wa pili wakapiga
   
 14. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kufa kufaana,mgomo umesaidia wadogo zetu nao waliomaliza vyuo vikuu wamepata ukarani aw Sensa.......maana walikuwa wamekaa tu majumbani.......Kwani kulikuwa na mwongozo unaosema Sensa isimamiwe na walimu tu?
   
 15. d

  dada jane JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pokea like yangu mkuu unfortunately natumia simu,
   
 16. C

  Cipro Senior Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamaa full visasi tangu kipindi akiwa wizara ya mambo ya nje mpaka akiwa raisi. tizama yaliyomkuta prof mahalu ana yule dada walivyo bambikiwa kesi na hukumu iliyodumu kwa miaka 6. tumeona ya babu seya, tumeona ya dk ulimboka na sasa tumeona ya waalimu.
   
 17. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Niko ktk mafunzo ya ukarani wa SWMT currently. Ukisoma kitabu cha muongozo wa karani,imetajwa kabisa wazi kuwa walimu wa shule za msingi watahoji Dodoso fupi na walimu wa sekondari watahoji Dodoso refu. Vinginevyo mihula ya shule isingerekebishwa ili kufunga shule kwa ajili ya kufanya sensa. Likizo hii ni ya nini basi?
   
 18. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Visasi vya kj vilianza muda mrefu hata katika uteuzi wake wa baraza la kwanza la mawaziri. kiujumla mh hapendi na wala hataki kusikia watu wenye mtazamo tofauti na wake. haya ya wananchi yanazidi kututia usugu,ila kila utawala una mwisho wake. Chaguo la Mungu limejidhihirisha pasipo mawaa kuwa "chama chake na serikali yake imefika mwisho na ni kwasababu ya unafiki"
   
 19. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ajipange sana kumchagua mrithi wake la sivyo atakuwa kama MOI....atashangaa sana na akikosea tu ajiandae kukimbia nchi au kwenda mahakamani!yoote aliyofukia yatafukuliwa!
   
 20. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Walimu waliambiwa mgomo ni batili wakatii na kurudi kazini mambo yakaisha, serikali dhaifu kumbe ina hasira za kikekike.
   
Loading...