Adui halisi wa CCM

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
1) Maisha magumu kwa watanzania wengi yaliyosababishwa na UFISADI wa viongozi wa serikali ya CCM
2) Dhuluma ya ardhi na unyanyasaji kwa wananchi unaosimamiwa na serikali ya CCM chini ya Mwamvuli wa WAWEKEZAJI
3) Ahadi za Uongo zinazotolewa na viongozi wa serikali ya CCM kwa wananchi
4) Mishahara midogo, malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi, Malipo kiduchu ya wastaafu chini ya utawala wa CCM
5) Siasa za Makundi chini ya muasisi (Mzee wa Kaya) ndani ya CCM
6) Viongozi kuacha maadili ya Waasisi wa CCM, matokea Chama kukosa Dira
7) Kauli Tata za Viongozi wa CCM chini ya Katibu Mwenezi - Nape
 
Hivi unaweza kutueleza angalau kwa kifupi Mkuu, kuhusu tofauti ya mishahara kati ya SLAA, MBOWE na mwajiriwa wa chini kabisa ndani ya chama cha CHADEMA ni shilingi ngapi? Tuambie kidogo pia kuhusu waaasisi wa CHADEMA ambao sasa wamestaafu wanalipwa shilingi ngapi? kama wastaafu wa CHAMA. Vita ya urais ndani ya CDM, matumizi mabaya ya fedha za Chama ambayo kila siku TUNTEMEKE amekuwa akiyaripoti humu JF kufanywa na SLAA na mke wake Josephine siyo migogoro ndani ya CDM?

Kwanini umeshindwa kumjibu kwa hoja za msingi badala yake unaanza kuuliza maswali? acha ushabiki wewe ni GT mkuu
 
1) Ni wajibu wa serikali ya CCM ku audit matumizi ya Vyama vyote vya siasa, sasa kama kuna Ubadhilifu ndani ya CDM ni matokeo ya UDHAIFU wa JK na serikali yake ya Magamba
2) Ndani ya CDM hakuna Rais na wala hakujatokea kuwa na Rais. CCM imepandikiza mamluki wake kuleta chokochoko.
3) Serikali yako ya CCM inawalipa kiasi gani Viongozi wakuu wastaafu, Mkapa, Lowasa na Chenge, Vipi mbona majina yao yanatajwa kwa UFISADI, ambao serikali yako ya Magamba inaufumbia macho na kuwafunga watu wanaoiba kuku/

Hivi unaweza kutueleza angalau kwa kifupi Mkuu, kuhusu tofauti ya mishahara kati ya SLAA, MBOWE na mwajiriwa wa chini kabisa ndani ya chama cha CHADEMA ni shilingi ngapi? Tuambie kidogo pia kuhusu waaasisi wa CHADEMA ambao sasa wamestaafu wanalipwa shilingi ngapi? kama wastaafu wa CHAMA. Vita ya urais ndani ya CDM, matumizi mabaya ya fedha za Chama ambayo kila siku TUNTEMEKE amekuwa akiyaripoti humu JF kufanywa na SLAA na mke wake Josephine siyo migogoro ndani ya CDM?
 
Viongozi wa ccm na gvt yao kiujumla wana lana kwa kutusababishia ugumu wa maisha,na kila anaye watetea humu jf laana ya watanzania wanaoteseka na umasikini uliokithili imfikie.
 
Wazee wa ccm dodoma wamewaomba wanachama wa ccm kumpendekeza mgombea urais ambaye hataanguka hovyohovyo kwenye kampeni zao.

Maana wananchi wengi wameona mtu wa namna hiyo anakuwa na nguvu za giza, na hivyo kuwaomba masheikh na wachungaji kuwaombea wagombea wote kusudi wasiwatie aibu mbele ya wananchi tendo hilo linaoneka kwamba kiongozi wa namna hiyo anaongozwa na mapepo na na nguvu ya giza na si uadilifu na chaguo la wengi.
 
Back
Top Bottom