Suzan lyimo aichana wizara ya elimu

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Akitoa hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya Elimu msemaji wa kambi hiyo mheshimiwa Suzan Lyimo amesema Tanzania inapaswa kuingia kwenye world record kwa kuweza kufanikisha wanafunzi wa darasa la saba kupass mitihani yao na kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza huku wakiwa hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu!!Amedai waziri atoe kauli waliopisha wanafunzi hao wamechukuliwa hatua gani, pia alimwaga takwimu za matokea ya kidato cha nne ambapo zaidi ya 80% ya watahiniwa walipata au division 4 au zero huku serikali ikijigamba imeinua kiwango cha elimu! Watanzania wenzagu kwa trend hii ya kuporomoka kwa elimu CCM inatupeleka wapi?? Tuikatae kabla hatujaanguka kabisa!!
 
wabunge wengi wa ccm ni waumini wa waganga wa kienyeji ndio maana wamempenyeza professor maji marefu kuwa mbunge kwa sababu viongozi wengi wa ngazi za juu walikuwa wateja wake hivyo nchi hii haiongozwi kwa taaluma bali ni nguvu za giza,yakiwemo majini ,mashetani na mapepo mabaya mengi yanayowafanya watumishi wake kumfanyia hata mtetetzi wa madaktari dr ulimboka ndio maana mbunge 1 wa chadema anauwezo wa kuongoza safu za wabunge 50 wa ccm kwa sababu wao wengi wao wanaongozwa na mapepo na si taaluma.
 
Liwalo na liwe. Pia katika sekta ya elimu kuwa div.0 80% f4 na f1 kutojua kkk ni 'bora liende',hiyo ndo sirikali ya dhaifu.kaaaaaaaaaaazi kweli kweli
 
viongozi wa TZ kuporomoka kwa elimu haiwahusu sana kwani wanao wapo shule za kimataifa
 
Back
Top Bottom