Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kuacha kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuangalia upepo wa kisiasa, ili kuepuka kuwapa wananchi mateso na umaskini. Pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Daraja ya Kagera (Kyaka) lililobomolewa na Idi Amin na vikosi vyake pamoja na majengo yaliyobomolewa nakubakia majeraha ya vita. Wanasiasa wanaotoa lugha ya vita hawana hekima na ni hatari...
21 Reactions
106 Replies
11K Views
MENEJIMENTI ya Kampuni ya Barrick Gold Mining ambao wanaendesha mgodi wa Bulyanhulu, imetupiwa lawama ikidaiwa kupindisha sheria za nchi na kuwafukuza wafanyakazi kinyume na utaratibu. Baadhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kambi rasmi ya upinzani bungeni,imesema tz inastahili kuingia katika kitabu cha kumbukumbu cha maajabu ya dunia cha the guinness book of records kwa kufaulisha wanafunzi 5200wasiojua kusoma wala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IDÉE D'AUJOURD'HUI !Si je chaque organe a un parti et usese cette partie comme sa ressource de revenu, ce pays sera l'automne et se disloquer.Vous savez pourquoi ? C'est parce que la plupart de...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Wadau: Haya, jembe letu tena hilo. Ameyashukia haya manjagu kwa tabia yao ya kuchagua vitu/watu wa kuwachunguza/kuwahoji. Angalia nilipohighlight kwenye rangi. Ni kweli tupu anayosema...
9 Reactions
47 Replies
6K Views
Takukuru haina uwezo wa kufuatilia na kuwafikisha mahakamani mafisadi walioficha mabilioni ya fedha katika benki hizo za Uswisi. Kama asasi hiyo ingekuwa na uwezo huo, pengine ingekuwa tayari...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Masoud Sanani, Zanzibar ABIRIA wanaosafiri kwa vyombo vya baharini kati ya Zanzibar, Bara na Pemba kuanzia sasa wanapaswa kuwa na vitambulisho kabla ya kuuziwa tiketi za kusafiria na kuonyesha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Mwinyi Sadallah Baraza la Wazee wa CCM na UVCCM, wameitaka jamii kuyatahadhari matamshi yanayotolewa na Waziri wa zamani wa Serikali ya Muungano, Hassan Nassor Moyo, kuhusu mwelekeo na hatma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hali ya kisiasa Njombe imeanza kuharibika baada ya jana mwenyekiti wa tawi la Manga kata ya Mahongole(Njombe kaskazini) kukamatwa na kuwekwa kizuizini bila kuwa na nguo mwilini. Kitendo hicho...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimetembelea gazeti la Dailynews na kupitia makala fulani ya muungano na imenitia mashaka kuhusu huu muungano wetu na uhalali wake. Naiona hoja ya Serikali tatu ilivyokuwa na umuhimu wake. Waweza...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Ktk mchango wa Mh. Wenje kwa hotuba ya bajeti ya wizara ya Elimu, amewaeleza wabunge na mawaziri wote waache UNAFIKI wa kuweka sera ya elimu inayotaja wazi kwamba lugha ya kufundishia kwa shule za...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Balozi Kagasheki amewafukuza baadhi ya watendaji wa wizara yake kwa kadhia ya usafirishaji nje ya nchi wanyama hai. Kwa maoni yangu mtu pekee ambaye angeweza kufanya hivyo ni Rais, na siyo sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na agenda ya kujenga mtandao wa CHADEMA kuanzia ngazi ya Mabalozi na Vitongoji, Operesheni Sangara inayoongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekuwa pia ikiwahamasisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Honestly sehemu kubwa ya wabunge wa CDM imeshiba vibaya kwa kujenga na kuwasilisha hoja zenye mguso wa kipekee kwenye jamii. Ni dakika chache tu Mh. Wenje alikuwa anamwaga facts kuhusu elimu yetu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tuombe Mungu yasitokee, ila nimesisimkwa na jinsi nchi hizi zilivyoweka kando ukiritimba na kurespond imedietly: sisi maskini boat tu hapo tulitoka jasho kuruhusu helikopta na vifaa vingine vya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mawaziri wa JK wamebuni mbinu kali ya kulainisha wabunge ili kupitisha bajeti kiulaini baada ya ile ya Jairo kustukiwa. Kwa sasa Mawazili hutumia mbinu kali ili kugundua maovu ya watumishi na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
published by The Journal of Modern African Studies samahani wadau nimeshindwa kusoma na kuwapa summary ya kilichoandikwa. Ila naamini wapo wadau hii article wangependa kuisoma
17 Reactions
68 Replies
7K Views
Sorry was mistakenly uploaded
0 Reactions
2 Replies
1K Views
August 12, 2012 · As the hype on Lake Malawi boundary dispute rage on, some local activists have criticized neighbouring Tanzania saying it pursuing a selfish agenda, arguing that it...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom