Kenya plans pipeline to Arusha after oil discovery

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
[h=3][/h]

Kenya plans to construct a pipeline to supply oil to neighbouring Tanzania once it starts commercial exploitation of reserves recently discovered in Turkana County.

Energy minister Kiraitu Murungi said the pipeline would link Nairobi to Arusha, with supplies being pumped from a refinery to be built in Isiolo.

A new pipeline will also be built to link the refinery in Isiolo to Nakuru for onward distribution of products to Eldoret and other parts of western Kenya and northern Uganda. Another pipeline would be constructed to connect the refinery to Nairobi.
 
Dah kweli hawa jamaa wanaona mbali sisi tunapiga siasa tu bila kikomo........hivi mkataba wa wakoloni unasemaje kuhusu Turkana...ipo kenya au tz?? :tongue:....tianze kujipanga :A S-omg:
 
heheh hii ndio raha ya tanzania hatuoni mbele sisi twaona hapa tulipo na tulipo toka tu
thumbs up to kenyans
 
sisi tunawaza kununua mavx, v8, kujenga majumba ya kifahari,kuongeza wake na upuuzi mwingineo usio na tija
waoa wanawaza ya mbeleni zaidi kujiinua wao na vizazi vijavyo.
 
Tunashindwa kujenga pipeline ya kupeleka mafuta Kaskani na kusini, badala yake tunatumia malori. Tungeweza kushusha sana gharama za usafirishaji kama tungejenga pipeline za kupeleka mafuta to some strategic areas.
 
Dah kweli hawa jamaa wanaona mbali sisi tunapiga siasa tu bila kikomo........hivi mkataba wa wakoloni unasemaje kuhusu Turkana...ipo kenya au tz?? :tongue:....tianze kujipanga :A S-omg:

Ule mpaka ungenyooka vizuri Nyerere angekuwa Mkenya
 
tehetehe mheshimiwa sita juzijuzi hapa alitoa kauli bungeni eti tanzania itakuwa ujerumani ya africa mashariki hivi karibuni, yaani nilijisikia kichefuchefu... labda mpaka bunge na chimwaga vilipuliwe..
 
Mkuu Bulldog wenzetu wanaona mbali sana wanajua wakitumia vyema mafuta yao katika soko la EAC watazidi kuwa na nguvu sisi kila kitu tunaingiza siasa.

Mara ngapi unamsikia mwai kibaki yuko nchi za nje anaomba misaada. Waombe misaada ya nn wakati rasilimali wanazo na wananchi wapo wa kufanya hizo kazi? Sisi hapa rais wetu ye yuko bize huko nje anawapigia magoti wazungu afu wanakuja hapa wanachota kila kitu wanapeleka kwao
 
mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni..hata ukiwachukia utatamani wanavyofanya mambo kwa kuangalia mbele zaidi na sio porojo za tupo mbioni, tunaweka mikakati, mara upembuzi akinifu, full of shit
 
Na sisi tutapeleka bomba letu la gas toka Mtwara hadi kwao. Sijui wizarani wamejipanga hivyo?
 
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Ikulu jijini Dar es Salaam leo juu ya mgomo wa walimu.PICHA; IKULU
ikulu11.jpg

..........Rais Kikwete amewaomba walimu kurudi katika meza ya mazungumzo kwa sababu madai wanayodai ni makubwa sana ukilinganisha na uwezo wa serikali. Kila kitu hatuwezi kwa sababu uwezo wa serikali ni mdogo.
 
Tunashindwa kujenga pipeline ya kupeleka mafuta Kaskani na kusini, badala yake tunatumia malori. Tungeweza kushusha sana gharama za usafirishaji kama tungejenga pipeline za kupeleka mafuta to some strategic areas.

Mkuu hata bila pipeline tungeimarisha reli ya kati,kaskazini na tazara tungeweza safirisha mafuta kwa bei nafuu,mizigo na bidhaa za kilimo,tukapunguza uharibifu wa malori ktk barabara zetu na ajali za mara kwa mara.
 
Reli zote ziko ICU...tutafanyaje sasa kuziokoa
 
sisi tunawaza kununua mavx, v8, kujenga majumba ya kifahari,kuongeza wake na upuuzi mwingineo usio na tija
waoa wanawaza ya mbeleni zaidi kujiinua wao na vizazi vijavyo.

Na kuwaachia Wazungu wachukue 97% percent ya mapato ya rasilimali hizo ali mradi tu wanakubali kuwawekea mafisadi ndani ya Serikali $ katika bank account zao kule Switzerland.
 
Jamaa wako juu sana,kenya tunawazidi kwa mali asili,lakini kidogo walicho nacho they make a good use of it.sisi je?
 
tujilulize hadi leo ni waziri geni aliethubutu kupinga kupanda vx v8 kuonyesha mfano?
wote wanaingia madarakani kwa ulafi wa hali ya juu.
waziri gani aliethubutu kujitolea kuwatumikia wananchi wake kikamilifu bila kujilimbikizia yeye na familia yake
waziri gani alieuthubu kufanya jambo kwa wananchi bila kuogopa litamchukiza JK? hakuna.
kwa suala ya kuwa na waziri mwenye vision kama wakenya labda miaka 20 ijayo tukishakingoa CHAMA CHA MABWEPANDE.
 
Mkuu Bulldog wenzetu wanaona mbali sana wanajua wakitumia vyema mafuta yao katika soko la EAC watazidi kuwa na nguvu sisi kila kitu tunaingiza siasa.
Hata sisi Tunaona mbali Mkuu kuwapeleka watu Misitu ya Mabwepande kwaajili ya kuwanyamazisha ili wasione mbali sio kazi ndogo!
 
Back
Top Bottom