Operesheni Sangara ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA inayoendelea mkoani Morogoro imeendelea kuwa mwiba mchungu kwa CCM na serikali baada ya viongozi wa serikali za vijiji mbalimbali...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma ametishia kuwachukulia hatua kali viongozi/watendaji wa kata na vijiji ''watakaohujumu'' zoezi la sensa mkoani humo kwa kisingizio cha kukosa/kutolipwa posho.
Source: ITV...
Moja ya mambo muhimu ya kufanikisha kuiondoa CCM madarakani na kufanya complete overhaul ya system ya uendeshaji mambo katika nchi hii ni kumilikisha vuguvugu la mabadiliko kwa wananchi wenyewe...
Wadau, nimekutana habari kutoka The Guardian 22nd August:
Tanzania to reduce court backlog, eliminate unnecessary court appearances
The Tanzanian public prosecution department has launched an...
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:46 Na Elizabeth Mjatta
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Msuya, amekitaka chama chake kubadilisha mfumo wa kumpata Makamu...
Mkutano Wa CHADEMA Reading
MKUTANO WA CHADEMA READING
WASOMI WAJIPANGA KUMWAGA CHECHE!
TAWI LA UK
KWA WALE WALIO LONDON WASILIANA NA CHRIS
LUKOSI KUHUSU TARATIBU ZA USAFIRI
MAGARI...
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:48 Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba, ameiambia mahakama kuwa mkataba kati ya Benki Kuu ya Tanzania...
Kwa mujibu wa matangazo ya BBC yanayoendelea hewani hivi sasa, kipindi maarufu cha Dira ya Dunia cha BBC Kiswahili Service kitaanza kuonekana kwenye TV kupitia Star TV kuanzia Jtatu ijayo! Bila...
Ndugu Members wa JF kuna kitu nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu, lakini nadhani sasa kutoka ndani ya nafsi yangu napaswa kuwashauri CCM hili walifanyie kazi haraka kwa maslahi ya Taifa...
Mtandao wa wafanyabiashara wahusishwa, Kamati ya Maliasili, Mazingira yaguswa
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira aliyejitambulisha kuwa ni mpinga vitendo vya rushwa...
Fidelis Butahe na Zaina Malongo
WAZIRI wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe amesema rada ya kuongozea ndege kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere iliyokuwa imeharibika tangu Agosti...
jumaa, Agosti 24, 2012 05:48 Benjamin Masese na Adelina Rutale, Dar es Salaam WIZARA tatu, zimesaini mkataba wa pamoja wa ushirikiano ujulikanao kama participation...
Tangu kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Kikwete kumekuwa na udhaifu mkubwa unaojidhihirisha hadi kufikia baadhi ya wabunge kutamka waziwazi pasipo kupepesa macho wala...
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua...
*Baadhi hawajalipwa mishahara miezi sita, zimeajiri Wakenya*Ufaransa pango Sh milioni 720, wanatumia anwani ya Uganda*Ofisi zinaporomoka, Kikwete asema Richmond imeiponza nchi*Membe alia Serikali...
Hakika nimekubali Nape ameanzaa kupoteza mwelekeo kisiasa baada ya yeye jana kusisitiza kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ahojiwe na vyombo vya usalama kwa taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari kuwa...
Kwa mda sasa tumekuwa katika mazungumzo ya jinsi ya kuliweka taifa letu,na namna bora ya kuendesha mambo
kimsingi binafsi yangu ninafikiria mambo kadhaa ambayo kama tukiyafanya kuwa msingi wa...
TAASISI MBALIMBALI ZA KIDINI HAPA NCHINI ZILIZOPATA USAJILI RASMI KWA MRAJIS MKUU WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ZIMEKANUSHA KUHUSIKA NA TAMKO LILILOTOLEWA NA AMIRI MKUU WA JUMUIYA YA UAMSHO...
Kwa mara nyingine tena Jk amevunja katiba ya chama kwa kulazimisha maamuzi yasiofuata katiba na demokrasia ndani ya chama. Ikumbukwe kuwa Uozo ndani ya bunge la sasa imetokana na maamuzi ya JK ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.