Mkutano wa chadema reading kuwaunganisha watanzania wote uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa chadema reading kuwaunganisha watanzania wote uk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 24, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [h=3]Mkutano Wa CHADEMA Reading[/h]


  MKUTANO WA CHADEMA READING
  WASOMI WAJIPANGA KUMWAGA CHECHE!
  [​IMG]  TAWI LA UK


  KWA WALE WALIO LONDON WASILIANA NA CHRIS


  LUKOSI KUHUSU TARATIBU ZA USAFIRI


  MAGARI KUONDOKA SAA NNE ASUBUHI


  Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International Solidarity Centre, 35-39 London Street, Reading, RG1 4PS .
  WASOMI WENGI NA WANAHARAKATI MBALI MBALI WATAONGEA SIKU HIYO,
  SIKU YA MKUTANO TUTAANZISHA MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK BILA KUBAGUA CHAMA CHAKO CUF,CCM,UDP,TLP WOTE MNAKARIBISHWA

  SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM


  ni wakati wa kusimama na kusema tumechoka
  KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
  MWENYEKITI: Chris Lukosi 07903828119
  KATIBU MWENEZI: Chris Chagula 07405889880
  Au tutumie email kupitia chademauk@gmail.com

  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  HATULALI MPAKA KIELEWEKE!!!!!!!!!!!

  Peooooople's Power
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

   
Loading...