Hii ni kwa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kwa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mcfm40, Aug 24, 2012.

 1. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Moja ya mambo muhimu ya kufanikisha kuiondoa CCM madarakani na kufanya complete overhaul ya system ya uendeshaji mambo katika nchi hii ni kumilikisha vuguvugu la mabadiliko kwa wananchi wenyewe.

  Chadema wameanza vizuri kwa kuhimiza wananchi kuchangia ambalo ni jambo jema. Lakini kuna zaidi la kufanya wananchi wajisikie haya mabadiliko tunayoyatazamia ni kwa ajili yao na kuboresha maisha yao.

  Nalo ndilo hili. Badala ya viongozi wa chadema kuhutubia katika kampeni hizi za M4C zinazoendelea watoe nafasi ya kwanza kama saa nzima au zaidi kwa wananchi wa eneo husika kupanda jukwaani na kusema wao nini dukuduku zao, nini hasira zao kwa serikali hii, nini wanataka kifanywe ili kuboresha maisha yao. Assumption hapa ni kwamba wao wanjua zaidi matatizo na mahitaji yao na wanjua sana tu maovu ya serikali kuliko hata viongozi mahalia. Hivo "let the people speak" msiwahutubie.

  Je kusiwe na hotuba kabisa? Hapana. Mwisho wa wananchi kujihutubia wenyewe sasa viongozi wanakuja kuzungumzia na/au kujibu kero za wananchi na kufafanua watakachokifanya kuondoa kero hizo na kuweka wazi zaidi udhaifu wa serikali ya CCM. Huu utaratibu wa kuhutubia umepitwa na wakati tuwaachie CCM sisi wananamabadiliko tuje na utaratibu mpya ambao ni people centred. Na hiyo ndio demokrasia ya kweli kwa vitendo.

  May I submit.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Good idea naunga mkono kwa 100%
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Acha kukurupuka Jombaa!! kama hujawahi kuhudhuria mkutano ndio tatizo! anyway kwa faida ya wasiohudhuria ndicho kinachofanyika. refer M4C Mtwara... wananchi waliongea kero zao issue ya korosho na kamanda Mbowe aliwasilisha Bungeni kwa LIWALO na LIWE, M4C Morogoro wananchi walilalamika PM LIWALO na LIWE amekuwa michango ya waadhirika wa Kilosa na Dr. Slaa akamwambia PM arudishe. all in all wanashirikishwa na wanashiriki.
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  All in all wazo ni nzuri,ila CDM NDIVYO IFANYAVYO kwani people centred (participatory)methods ndiyo mafanikio ya CDM.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni wazo zuri halafu hii inasaidia kujua weaknesses za watendaji eneo hilo hata kama jamaa hawajaanda cha kusema wanapata hapo hapo hii kiboko.:happy:
   
 6. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Saafi. Naunga mkono hoja.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,304
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  CCM jeneza lenu ndio linapambwa 2015 linafukiwa
   
 8. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kamanda mawazo na ushauri wako ni mzuri sana.Hiyo complete overhaul plan inawatisha sana jamaa wa Chama Cha Magamba. Wanaogopa kabisa kuitumia itawaumbua.Nchi nyingi sasa hivi zipo katika mpito mkuu kuelekea demokrasia ya kweli.Tuombe wenye udhaifu,wala rushwa,mafisadi na wasiolitakia mema na maendeleo Taifa letu wajitakase kwa kutubu dhambi zao.Siyo mpaka waende kwa nabii TB Joshua.Wanatakiwa kwenda kwa wachungaji wa JAMII FORUM CHURCH OF TRANSPARENCE na kutakaswa kwa kuvuliwa magamba na kuvishwa MAGWANDA ili kutoruhusu magamba kuota tena.
  Viva Tanzania.....Vivaaa Viva Chadema......Vivaaaaaa Viva M4C.............Vivaaaaaaaa Aluta Kontinua.
   
 9. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Pompo hujamtendea haki mleta mada. Kama hajui basi aeleweshwe kiungwana na sio kusema amekurupuka. Mie namuunga mkono kwa wazo lake.
   
 10. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Read between the lines. Najua sana wanashirikishwa. Nachokipendekeza hapa ni zaidi ya hapo. Wananchi wawe ndio watoa hotuba. Viongozi wasikilizaji. Sio swala la kutoa kero tu bali pia wapendekeze namna nchi tunaweza kuikomboa kutoka kwa CCMabwepande. Wananchi hawana kero tu, wanayo pias mawazo ya kusaidia revolution ya kweli.
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Chama ndicho chenye jukumu la kuwaeleza wananchi nini kitawafanyia, siyo wananchi kuomba wafanyiwe nini, hawa ni lulu kwa wgombea halafu waanze tena kujipendekeza?
   
 12. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Hapo umenielewa. Watu wanayomabo mengi ya kujenga na hii itawafanya wajisikie 'they belong'.
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hizo zitakuwa siasa za aina yake. Wapi ulishaona wananchi ambao ni wapiga kura wakaanza tena kujipendekeza kwa wagombea? Ama kweli ndiyo maana wanasiasa wametuona mataahira na kuanza kutuchangisha fedha kwenye majukwaa ya kisiasa. Sasa si itafikia mahali , itabidi wananchi ndo waombe mikutano ya hadhara kufanyika?
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kukiwa na chuki binafsi miongoni mwa wananchi na wakaamua kutoleana uvivu kwenye mikutano ya wanasiasa poa au siyo?
  Hizo zitakuwa siasa au majungu au tutaziitaje? Sijawahi kuona mfano wa aina hiyo popote pale duniani.
   
 15. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Thata, hili ndilo kosa limekuwa likifanywa na watawala kwa karne nyingi. Kudhani kwamba wao wanjua nini watu wanataka zaidi ya watu wenyewe. Watu waulizwe wanataka nini sio chama kiwaambie kintawafanyia nini. Umesahau swala vijiji vya ujamaa?
  Hata nimesema pia kwamba mwisho wa yote chama kitaroundup kwa kutoa mwelekeo wake kuendana na walichotaka wananchi. Hii itasaidia pia kuandika manifesto ya uchaguzi ya mwaka 2015 ambayo imetika kwa watu sio imposed kama CCM wafanyavyo mara nyingi.
   
 16. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo nkwamba kwa siku kunamikutano mitatu hadi mi4. Sasa kuwapa wananchi waongeee inakuwa shida tena kwa upande wa muda. Halafu wananchi wengine akili ndogo utasikia "ccm oyeee" akisha maliza kusema. Mimi naunga mkono, ila waangalie na eneo husika. Ila hii siyotofauti na ya sasa ambapo makamanda wanatangulia sehemu hata siku 2 au 3 kabla kuwahoji wazawa wa eneo husika. Itasaidia vilevile.
   
 17. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  thata ina maana watu watajiibukia tu kujiongolea bila utaratibu? Lengo ni watu wa eneo husika wamiliki uwe mkutano au whatever. Sio kwamba watu wataibuka tu kubwabwaja kimsaragambo. Hata hivo kama jambo halijawahi kufanyika mahali popote duniani haina maana sisi hatuwezi kuwa wa kwanza kulifanya! This is a fallacy yaani poor reasoning.
   
 18. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Yah, lengo ni kujenga. Na lengo ni kujitahidi kuhakikisha kila inapowezekana kwamba wananchi wanamiliki vuguvugu lenyewe badala ya kuwa wasikilizaji tu.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri Kamanda.
   
 20. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Asante. Kumbe na wewe mwanamabadiliko? Nilidhani ni mwana CCMabwepande. Huwa naona unakandiwa sana hapaJF.
   
Loading...