Warning Alarm: Hili ni Onyo kwa CCM Msiposikia msiseme hatukuwashauri!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Warning Alarm: Hili ni Onyo kwa CCM Msiposikia msiseme hatukuwashauri!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Aug 22, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Ndugu Members wa JF kuna kitu nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu, lakini nadhani sasa kutoka ndani ya nafsi yangu napaswa kuwashauri CCM hili walifanyie kazi haraka kwa maslahi ya Taifa otherwise hapa Vita ya wenyewe kwa wenyewe ni kitu kisichoepukika bali ni kama timer bomb tu.

  Kama wengi mlivyopata taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Serengeti amefariki mchana huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, sasa kinachonisukuma mimi kuleta thread hii hapa ni kitendo cha vijana wengi kwenye mitandao mbalimbali kuonesha kufurahiswa na kifo cha DC huyu kwa maelezo tu eti ni Gamba limepunguwa!!

  Sasa basi nachukuwa fursa hii kuiomba CCM ichukuwe hatua hata za Dharura maana naona kuchukiwa huku kwa CCM ni kwa kiwango cha juu ambapo sijawahi kushuhudia watu hasa vijana kuichukia CCM kwa viwango hivi, na kama mtakumbuka Watanzania kwenye misiba huwa tunaweka itikadi kando, lakini sivyo ilivyo hivi sasa.

  Huu ni mfano tu ukipita kwenye kurasa mbalimbali za kisiasa za vijana hasa huko uso kitabu, na kulwe karibu wote ni verified user.

  [h=6]Gulam Mhedu
  [/h] [h=6]Breaking News : Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni Mstaafu James Yamungu amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akitokea Hospitali ya Bugando Mwanza.
  [/h] [​IMG] · · · about an hour ago via mobile


   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  [h=6]Deogratias Masyenene
  [/h][h=6]Tayari wameanza kufa mmoja mmoja...Gamba la Wilaya ya Serengeti limeaga dunia kwa presha ya UAMUZI WA MAHAKAMA TABORA!
  [/h]Like · · Follow Post · 30 minutes ago
   • [​IMG]Godlove Mhenzi ngoja yapukutike kwanza
    25 minutes ago via mobile · Like


   • [​IMG]Thobias Ntobi KIFO SIO CHA KUSHANGILIA WEE UTAKUWA MCHAWI
    10 minutes ago · Like


   • [​IMG]Deogratias Masyenene Thobias Ntobi inategemea amekufa nani...akifa jambazi anayesumbua mtaani kwenu utasikitika?

   
 3. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ha ha ha,duh!kweli ccm imechokwa
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Ccm na wana ccm ni magamba let dem die
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,678
  Trophy Points: 280
  vita vya wenyewe kwa wenyewe vitasababishwa na nani?ni vyema kukaa pembeni na kutafakari sababu za kuchukiwa kiasi hiki.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 6. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni jukumu la kila mtanzania kujilinda. Msidhani watawala wetu wanafanya maamuzi to our best interests. Kiwango hiki cha hasira (chuki?) ni dalili mbaya kwa Taifa letu. Utanzania mbele kwanza.
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  where is the love ask yourself, mtu anakufa wengine wanashangilia
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Majina yao wote hao yanajieleza.
   
 9. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hata mimi kwenye msiba huwa napatwa na huzuni sana na hasa kama aliyefariki namfahamu kama huyu mwenye hili Kaburi hapa chini

  View attachment 62602


  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nawachukia CCM nadhani they are like a devil!!Potelea mbali.wapukutike tu,
   
 11. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .....Nakumbuka hata MH.PINDA alisema wakuu WOTE wa Wilaya, Halmashauri na Mikoa wako hapo kutekeleza ILANI ya CcM kwahiyo
  Potelea kote, ACHA YAPUNGUE....
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,798
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  upuuzi wao wenyewe ndo umelifikisha taifa hapa...
   
 13. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Duh kazi kwelikweli
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Matola Ushauri huu unaotoa hapa ungekuwa na maana sana kama ccm na serikali yake wangekuwa sikivu. Lakini kwakuwa hawa wachuuzi wa maisha ya watanzania hawasikii wala hawaoni huu ushauri hawataufikiria zaidi ya kukuona si lolote si chochote.
  Fedha wamejaza kwenye mabenki huko nchi za ng'ambo kikiwaka tu wanaruka wao na familia zao, kazi itabaki kwenu makapuku kuchinjana wakati wao wakiwashuhudia kwenye runinga na mitandao ya kijamii.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mimi nimetimiza wajibu wangu tu, kwa sababu natembelea mitandao mingi kila siku, na takwimu zisizo rasmi lakini ambazo haziwezi kutiliwa shaka na yeyote ni kwamba katika watumiaji wa Internet 10 basi 7 ni Anti CCM na wawili ndio CCM na 1 ndio anakuwa neutral hii si dalili nzuri hata chembe.

  Inavyoonekana CCM inaungwa mkono na watumiaji Internet wale tu ambao wao na wazazi wao bado wananufaika na mfumo wa ufisadi au ni viwavi walioajiliwa na Nape kushinda mitandaoni kuharibu mijadala. haya maneno na ukweli huu utaendelea kusimama na mtashangaa watu wa Category ya Zomba nao kutangaza kuhama CCM baada ya maslahi yao kukoma, there will be no more System at work.
   
 16. a

  adolay JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  Mkuu pongezi.

  - umetoa angalizo wapi tunakoenda na hatari iliyombele yetu.

  watanzania wa aina yako ni wengi, bali kuna kundi la WAPUMBAVU wachache wanaopepelusha matumain ya kuishi pamoja kama ndugu wa taifa moja. Ni uchochezi, matusi, udin nk.

  Sijui tunaelekea wapi? Mungu atulinde.
   
 17. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu soma hii linki uone jamaaa anatutonya
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/311719-prof-muhongo-symbion-kikwete.html
   
 18. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  daaa tumefikia hapo?????
   
 19. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  R.I.P Mkuu wa wilaya
   
 20. t

  tenende JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  liwalo na liwe!.
   
Loading...