Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa imetolewa na watu walio karibu na Katibu wa Mkoa wa Morogoro CDM Mh. Luanda, kuwa leo atafanya Press na waandishi wa Habari mjini Morogoro kutoa taarifa ya sababu za kujiuzuru kwake...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanabodi, tumeshuhudia na kujionea wenyewe mawaziri wakichukua maamuzi mbalimbali dhidi ya watendaji wakuu wa mashirika yaliyo chini ya wizara husika. Alianza Mwakyembe ATCL, akaja Kigoda na TBS...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FidelisButahe IKULU imeiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), kuwachunguza watendaji katika wizara na taasisi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena Jk amevunja katiba ya chama kwa kulazimisha maamuzi yasiofuata katiba na demokrasia ndani ya chama. Ikumbukwe kuwa Uozo ndani ya bunge la sasa imetokana na maamuzi ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Geofrey Zambi, Nazir Karamagi ni miongoni mwa vigogo kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wameendelea kujitosa kuchukua fomu za kuwania uenyekiti wa mikoa na ujumbe wa Halmashauri Kuu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga 2011, chama cha mapinduzi kilikuwa na "Majembe" yaliyoongoza kampeni, baadhi ni pamoja ni Ben Mkapa aliyefungua na kufunga, Stefano Wasira, John Komba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Imekuwa ni utaratibu wa member wengi kusema tumechoka no uozo huu unaofanywa na serikali yetu kiziwi!na ukweli ni kuwa tunafahamu fika adui wetu wa maendeleo. Na kwa uelewa wa kawaida unapofahamu...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Idara ya Ulinzi, Kitengo cha Intelejensia cha Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), imetoa ripoti ya ujangili iliyo na majina ya wahusika wakuu na namna wanavyolindwa na vyombo vya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Samahani sana wana JF kama nitakuwa nimekosea. Jana jioni nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari televisheni ya ITV kuhusu hali ya wananchi waliohamishiwa eneo la mabwepande kutoka mabondeni. Hali...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa kuwa kada wa ccm ambaye pia ni mjumbe wa NEC kwa muda mrefu yuko Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkubwa wa Chadema utakaofanyika Reading tarehe...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
ivi zahma ya sensa ya 2012 nitatizo la kitaifa au ni kimikoa tu! Nipo hapa mkoa wa morogoro wilaya ya morogoro vijiji, kwa taarifa ya makarani wenye wa sensa walipewataarifa jana wafike na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba (71), kuwa hakupokea barua ya kutoa ushauri kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MASHEIKH TUSITUMIE VIBAYA NAFASI ZETU ZA UONGOZI NDANI *YA DINI KUPOTOSHA WAUMINI. * Ni ukweli usiopingika kuwa viongozi wa dini duniani kote wamekuwa watu wa kuaminika, kutumainiwa na kujizolea...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua yake ya kuwasimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Inasemekana kuwa Magufuli, Wassira, Mgulu Nchemba, Rage Mukama ndio wamechangia KUILAZA CHALI CCM katika uchaguzi jimbo la Igunga uliompa ushindi Dalali na kutenguliwa na Mahakama kuu unadhani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hiyo ni kauli iliyotolewa na Mh. Samwel Sitta mara baada ya kutolewa hukumu iliyotengua ushindi wa CCM katika jimbo la Igunga ikitafsiliwa kuwa ni kushindwa kwa mfumo wa sasa wa uiendeshaji wa...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Kagera Region have appealed for enough funds to enable them deport hundreds of aliens hiding in various villages, it has been disclosed. The Kagera Regional Commissioner (RC), Fabian Massawe, told...
0 Reactions
5 Replies
944 Views
hope you are doing fine my brothers and sistaers. Sasa kuna jambo moja nataka nikueleze as u well know kwamba niko moro kuna kampuni ya ukusanyaji ushuru ya makumira filling station kwa...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Leo nilikua mahali na jamaa watatu watu wakubwa kwenye mfumo wetu wa utawala. na katika maongezi yetu lilijitokeza swala la kwanini waislam wanakataa kuhesabiwa na serikali imekaa kimywa hadi...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
CCM tutumie matokeo ya kesi ya ubunge wa Igunga kuwa ni changamoto na itupe funzo la kubadili namna ya uendeshaji wa kampeni za uchaguzi pamoja na timu ya kampeni. Twende na wakati ILI: 1...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom