Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NI zaidi ya miezi minne sasa wananchi wa Jimbo la Arusha Mjini, hawana mbunge wa kuwawakilisha katika vikao vya mikutano ya shughuli za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama ilivyo kwa...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
TANGAZO KWA WADAU WAISHIO UK LA HARAMBEE KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO TANZANIA...!!! - JESTINA GEORGE Bwana chris Lukosi mwanasiasa mahiri wa Chadema ambaye hata katiba ya chadema...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wananchi kukipa madaraka ya kuongoza nchi kwa miaka mitano, ili kuwaondolea umasikini kwa kutumia rasilimali zilizopo ambazo zimekuwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 24/08/2012 // Habari // 3 Comments BARUA YA WAZI KWA RAIS WA DOLA YA ZANZIBAR DR. ALI MUHAMMED SHEIN BISMILLAHI ‘RRAHMANI ‘RRAHIM Kila sifa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi nchi inakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wetu wanaohitimu mafunzo yao mbalimbali, hakuna juhudi za dhati zinazochukuliwa kukabiliana na tatizo hilo; kama...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa habari kutoka kwa badhi ya Maraisi wa vyuo viku inasemekana mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi vyuo vikuu anagombea ujumbe wa NEC-CCM ambapo katikati ya wiki hii aliwakutanisha baadhi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
​* New Finance Bill yapitishwa kwa mbwembwe Bungeni * Magari zaidi ya 800 yakwama Bandari ya Dar – Tanganyika * Viongozi wa Zanzibar GNU wanasema ‘hawajui, hakuna ushahidi’. * Imezidisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Laila Abdullah, Ni ukweli usiokanushika wa Historia ya miaka 48 ya Mapinduzi na Muungano, kwamba Chama cha Afro-Shirazi Party (ASP) na baadae CCM –Tawi la Zanzibar, pamoja na viongozi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la RUNGWE MAGHARIBI na mpinzani mkuu wa Prof Mwakyusa kwa tiketi ya CHADEMA, NDG YUSUFU ASUKILE, hatimaye yuko nje!.. Mgombea huyu aliwekewa pingamizi na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Mimi kwa maoni yangu, JK aliharibu sana nchi hata ikafika mahali ikaonekana anaweza asimalize kipindi cha uongozi wake. U turn imetokea baada ya kuteua baraza jipya ambalo lina watu wazuri kupita...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Tumekuwa nchi ya kijinga sana, nchi ya kinafiki sana, nchi ya watu wasiothaminiana, nchi ya ambayo Raia wake wanafanikiwa kwa kusema uongo, nchi ambayo raia wake wanaosema ukweli wanakwamishwa...
67 Reactions
210 Replies
16K Views
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:41 Na Victor Bariety, Geita CHAMA cha Wananchi (CUF) wilayani Geita, mkoani Geita, kimewafananisha baadhi ya askari polisi na majambazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mikutano ya M4C imeleta balaa kubwa wilayani mvomero baada ya wananchi wengi wakiwemo wanachama wa ccm kuamua kujiunga na cdm. Timbwili ili limemtoa mafichoni mbunge wa jimbo hilo na kuamua kuanza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kuwashirikisha hili wana fikra pevu. Waratibu wa sensa wanatuambia sensa itaanza usiku wa kuamkia Aug 26. Nachelea vibaka na wezi wasije tumia mwanya huo, wanakuja kukugongea saa 9 usiku...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzee wa Upako aka Mch Antony Lusekelo amesema kwa kuwa Rais Kikwete amesha saini mswaada wa katiba mpya kinachotakiwa sasa ni kuaminiana tu hakuna haja ya kuupinga!.Amewataka wananch na wadau...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Hakika kutoka nchi ya watu waoga mpaka nchi ya watu wataka mabadiliko si kazi nyepesi. Elimu hiyo hutolewa na watu makini wasioogopa vitisho. Mabadiliko yana changamoto zake hivo kuhitaji CHAMA...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Watuhumiwa katika kesi ya matumizi mabaya ya ofisi, mawaziri wa zamani, Basil Mramba, Daniel Yona na aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina, Gray Mgonja, wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:47 Na Arodia Peter, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, amewaonya wanachama wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuibuka kwa kashifa mpya inayomhusu katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini inaacha maswali mengi kuliko majibu. Katibu mkuu huyo anadaiwa kuipa tender kampuni ya PUMA ya kuiuzia IPTL mafuta...
10 Reactions
96 Replies
9K Views
Jumamosi, Agosti 18, 2012 09:40 Na Eliya Mbonea, Monduli TATIZO la upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi 5,996 wa Kijiji cha Esilalei wilayani Monduli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom