milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

milioni tano walizochangiwa cdm Igunga ni usanii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Aug 23, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya leo ni kwamba cdm walipewe michango na wananchi wa igunga ili kusaidia gharama uendeshaji wa kesi.Hata hivyo kwa kutumia akili kidogo tu utagundua kuwa cdm wanawadaa watanzania ili kujenga hisia kwa wananchi kuwa cdm inapendwa.
   
 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Umemaliza? Haya basi hawapendwi.
  Unalo jingine?
   
 3. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha uchakubimbi
   
 4. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ha! Ha! Ha! Ha! Nono nimeipenda hii,correct answer at a right time!
   
 5. W

  WASAMUNGE Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we makupa kama umekosa cha kusema nenda kalale usubiri sensa!! Kuhadaaa kivip hapo!! toa ushahidi wa kuhadaa umma hapo!! ACHA UZEMBE WA KUFIKIRIA AU PELEKA MAGAMBA!! KWA .........! HUJAWAHI HATA KUJUA UTAMU WA MAGAMBA UNASHABIKI !! TPO WATU TUMEZALLIWA NDANI YA MAGAMBA LAKIN HATUWAPENDA!!........ THINK IN DETAIL BEFORE .... HUMUKUNA WATU WANA AKILI TIMAMU
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo hizo M5 hazikuchangwa? Jipange wewe!
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Unajua nilitegemea uje na vithibitisho kuonyesha uongo wa CHADEMA na sio kuendelea kupiga domo kama Nape. Hoja kama hizi mods zinashusha heshima ya JF.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndio tatizo la kunywa pombe bila kula.
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ni kweli makupa cdm hawapendwi ila wanaungwa mkono tu na wananchi.. swala la kupendwa halipo kabisa ni 'usanii' tu
   
 10. e

  eskelmang Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kale makupa una njaa
   
 11. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  huyo atakuwa alifaidika na ule mgao wa mahindi wa mkapa. njaa mbaya.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  akili mchuzi wa nazi
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  nape at work!!! pole sana..
   
 14. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni taharifa, mawazo, mtazamo wako au ni nini sijakusoma ndugu yangu.
   
 15. m

  malaka JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kweli we makupa. Kikwetu ni taahira.
   
 16. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hata kama hauna hoja ya msingi ukija hapa jf jipange usidhani watu ni wavivu wa kufikiri kama ww.Weka hoja zenye mashiko hata kama umeajiliwa na nnauye jr
   
 17. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanainchi wa igunga ni masikini wa kutupwa kula yao ya shida, majuzi tu walikuwa wakigombea mahindi ya msaada leo wawachangie chadema 5mil, uwongo mwingine wa kitoto kabisa.
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nenda kachukue fomu ugombee uvccm
   
 19. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huo ndo upeo wako wa kufikiri ni heri kuonekana muongo kuliko kuwapa vilemba na kofia ambavyohavina faida
   
 20. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hv kwann mods hamuwapi ban watu wasiofikiri vizuri?
   
Loading...