Nape: Vipi kuhusu kauli za Mukama huko Igunga?

Isiri

Member
Apr 2, 2012
21
4
Hakika nimekubali Nape ameanzaa kupoteza mwelekeo kisiasa baada ya yeye jana kusisitiza kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ahojiwe na vyombo vya usalama kwa taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari kuwa CCM inaingiza silaha kwa ajili ya kudhuru viongozi wa CHADEMA na kwamba uzee unamsumbu kiongozi huyu awachie vijana kazi hiyo ya ukatibu mkuu. matarajio ni kuwa Nape baada ya kupewa taarifa kuwa mgombea wa chama cha Igunga Dr. Kafumu kavuliwa ubunge na mahakama na moja ya hoja mahakama iliyojiridhisha nayo na kumuengua Dr. Kafumu ni taarifa alizokuwa akitoa katika kampeni Katibu wake Mkuu Wilson Mukama kuwa Chadema kilileta makomandoo kuleta vurugu katika uchaguzi wa Igunga.

Nape atumie ujana wake kwa busara kuagiza vyombo nya usalama kumhoji Wilson Mukama na kumfikisha makamani kwa udhibitisho ambao tayari mahakama imejirisha nao na kupelekea chama chake kushindwa mahakamani kama sehemu ya uchochezi na propaganda zenye kuhatarisha amani na usalama wa wananchi ambayo CCM imeilinda tangu tupate uhuru.

Pia atumie nafasi yake ya ukijana kuwapiga marufuku wazee ambao wamefanya chama chake kushindwa mahakamani kama akina Benjamen, Makufuli, Tyson n.k. na yeye awaeleze kuwa hatakubali tena kukatazwa kushiriki kwenye kampeni za chama chake kwa maagizo ya mafisadi, makundi na wazee waliowakosesha ushindi mahakamani na kuwa wazee si lolote si chochote kama aliyo katibu mkuu wa CHADEMA kwa kuwa wamezeeka.

Akumbuke ya Arumeru Mashariki yanakuja mengi CCM wanaendelea na kujenga mnara wa Babeli kweli kwa lugha hizi za kutofautiana.

Mimi ndio Amri Jeshi Mkuu sijaliambia jeshi lijiandae kwa vita na Malawi, Membe tupo tayari na tumezipiga marufuku ndege zao, EL jeshi lipo tayari kwa vita, serikali moja kweli!?
 
Hakiki nimekubali Nape ameanzaa kupoteza mwelekeo kisiasa baada ya yeye jana kusisitiza kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ahojiwe na vyombo vya usalama kwa taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari kuwa CCM inaingiza silaha kwa ajili ya kudhuru viongozi wa CHADEMA na kwamba uzee unamsumbu kiongozi huyu awachie vijana kazi hiyo ya ukatibu mkuu. .......
Mkuu unaweza ku-edit yaan kubadilisha font na size tunasoma kwa taabu kidogo. Asante!
 
Hakiki nimekubali Nape ameanzaa kupoteza mwelekeo kisiasa baada ya yeye jana kusisitiza kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ahojiwe na vyombo vya usalama kwa taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari kuwa CCM inaingiza silaha kwa ajili ya kudhuru viongozi wa CHADEMA na kwamba uzee unamsumbu kiongozi huyu awachie vijana kazi hiyo ya ukatibu mkuu.....

Mkuu umesahau ku'quote' aliyoyasema Sitta
 
yaan tangu aingie nape kwny hicho kiti wengine hawasikiki kabisa!kila kitu anaongea yy!nape endelea kuua chama
 
Hakika nimekubali Nape ameanzaa kupoteza mwelekeo kisiasa baada ya yeye jana kusisitiza kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ahojiwe na vyombo vya usalama kwa taarifa aliyotoa kwa vyombo vya habari kuwa CCM inaingiza silaha kwa ajili ya kudhuru viongozi wa CHADEMA na kwamba uzee unamsumbu kiongozi huyu awachie vijana kazi hiyo ya ukatibu mkuu. matarajio ni kuwa Nape baada ya kupewa taarifa kuwa mgombea wa chama cha Igunga Dr. Kafumu kavuliwa ubunge na mahakama na moja ya hoja mahakama iliyojiridhisha nayo na kumuengua Dr. Kafumu ni taarifa alizokuwa akitoa katika kampeni Katibu wake Mkuu Wilson Mukama kuwa Chadema kilileta makomandoo kuleta vurugu katika uchaguzi wa Igunga.

Nape atumie ujana wake kwa busara kuagiza vyombo nya usalama kumhoji Wilson Mukama na kumfikisha makamani kwa udhibitisho ambao tayari mahakama imejirisha nao na kupelekea chama chake kushindwa mahakamani kama sehemu ya uchochezi na propaganda zenye kuhatarisha amani na usalama wa wananchi ambayo CCM imeilinda tangu tupate uhuru.

Pia atumie nafasi yake ya ukijana kuwapiga marufuku wazee ambao wamefanya chama chake kushindwa mahakamani kama akina Benjamen, Makufuli, Tyson n.k. na yeye awaeleze kuwa hatakubali tena kukatazwa kushiriki kwenye kampeni za chama chake kwa maagizo ya mafisadi, makundi na wazee waliowakosesha ushindi mahakamani na kuwa wazee si lolote si chochote kama aliyo katibu mkuu wa CHADEMA kwa kuwa wamezeeka.

Akumbuke ya Arumeru Mashariki yanakuja mengi CCM wanaendelea na kujenga mnara wa Babeli kweli kwa lugha hizi za kutofautiana.

Mimi ndio Amri Jeshi Mkuu sijaliambia jeshi lijiandae kwa vita na Malawi, Membe tupo tayari na tumezipiga marufuku ndege zao, EL jeshi lipo tayari kwa vita, serikali moja kweli!?

Ndugu yangu, please note that "Your request/question is beyond his capacity", so expect kimya kikubwa.
 
Mimi ndio Amri Jeshi Mkuu sijaliambia jeshi lijiandae kwa vita na Malawi, Membe tupo tayari na tumezipiga marufuku ndege zao, EL jeshi lipo tayari kwa vita, serikali moja kweli!?

Kazi kweli kweli mkanganyiko wa nguvu. Amri jeshi mkuu ni nani hapa Tanzania? Ni Lowasa, Membe, Sitta au JK?????????????
 
Kazi kweli kweli mkanganyiko wa nguvu. Amri jeshi mkuu ni nani hapa Tanzania? Ni Lowasa, Membe, Sitta au JK?????????????

Mkuu mtoa mada aliwafananisha na wale waliotaka kujenga mnara ili wamface mungu sasa ikawa mawasiliano kati yao yakapotea !
 
Wapenda Siasa wa Tz tumsamehe bure kijana wetu yeye anasema Dr,Slaa amezeeka kasahau baba yake mzazi Marehemu Mozes Mnahuye kafia kwenye siasa akaletwa yeye kama kijana, kikwete akidhani atakuja na mawazo mapya ya kuwasaidia vijana wenzake wanaopata shida zinazotokana na chama chake CCM matokeo yake shida yake kubwa ni kujionyesha ndani ya Luninga tangu kujivua Gamba hajajiona kama anapotoka siku hadi siku ,tumpe ushauri wa bure tayari watanzania tumekuona unavyo bembea kwenye kiti cha kuzunguruka pale Lumumba umependeza kijana lakini naomba nimkumbushe alishindwa Tambwe Hizza.
 
Nape hana tatizo kabisaaaaa!!! tatizo ni kuwa hamwelewi bosi wake, huo ndio udhaifu mkubwa. kwa wale wasomaji wa biblia, Nape namfananisha na Petro, Yesu anakamatwa yeye anatoka na mapanga kumwokoa, anaambiwa hatuendi hivyo basi ikabidi atulie na kuanza kukana. AL alimwuliza mwenyekiti, "kwa nini unatuma vijana wanitukane, kwani swala la richmondi hulijui" Mkapa akamwambia mwenyekitu ua hiyo ajenda inaleta soo. Likaja swala la AC na rada, yeya akasema "gamba lipo kiuononi kulivua lazima mtu aje na shoka", muda si muda tukamsikia mwenyekiti akiongea na wahariri "Kwenye rada hakuna rushwa ni mahesabu tu yalikosewa". zito nae anaibuka bungeni, "serikali msipowataja hao watu mimi nitawataja, kuna kiongozi mkubwa wa serikali, mawaziri wa serikali ya awamu iliyopita na wafanya biashara maarufu". Ole seendeka akaomba mwongozo, Naibu spika akasema nitatoa baadaye. ukifuatilia hizi sinema unashindwa kujua ni nani msafi huko ccm. huyo nape angetaka kurejesha heshima yake angeomba kujiuzulu tu aingie mtaani bila kujihusisha na chama chochote angalao kwa miaka 5, kama nyerere alivyojiuzulu ualimu, vinginevyo tutamwona kuwa ni mmoja wao. inatia uchungu atti
 
Hivi kijana anayeipenda ccm kwa wakati huu anazo sababu zipi?
tofauti na hawa walioajiriwa na chama, au wenye kutaka kutumia njia ya chama kupata madaraka?
naombeni sababu nyinginezi za kuipenda ccm
 
nakumbuka 2010 kuna kiongozi wa siasa alisema JK ataweka historia kubwa sana kwa ccm Tanzania maana chama kitamfia mkononi mwake akiwa bado mwenyekiti sijui ni kiongozi gani aliyatoa haya maneno leo picha inaelekea kuwa kweli kabisa
 
Sababu za Kijana wa Kitanzania anayeipenda CCM kwa wakati huu ni kwamba;
1. Anapata fulana na kofia vya bure
2, Anapata nafasi ya kukimbiza Mwenge wa Uhuru.
3.Anapata nafasi ya kwenda D.Jubilee kupeana mikono na kiongozi wa nchi, kupiga makofi na kishangilia kiongozi anapo hutubia taifa kwa wale vijana wa D,salaam.
4. Kwa akina dada wanapata nafasi ya kuchaguliwa viti maalumu kwenda Bungeni , kupata Khanga na vitenge
5.Wanapata nafasi ya kuimba Nyimbo za mipasho na Cpt.John Komba kuwaimbia wakubwa wa nchi
6. Ahadi hewa za Ajira za chama cha Mapinduzi
7.Ahadi za mikopo ijilikanayo kama (vikoba)

binafsi kwa uchache hizo ni sababu chache tu naziona ndio sababu zinazowafanya vijana wachache waliobaki kukipenda chama hicho ambacho kimewafanya Wtz wengi tuishi katika hali ya umasikini. wanadai wametangeneza barabara nyingi tu tujiulize hizo barabara ni watanzania wangapi wana MAGARI????????? ya kupita katika barabara hizo????? wakati wengi wetu visigino vinaisha kwa kufagia hizo barabara.
 
Back
Top Bottom