KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maliki Marupu kutoka wilayani Ulanga, mkoani Morogoro, ametangaza nia kuwania nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa, inayoshikiliwa na Rais Jakaya Kikwete.
Marupu...
Mkuu wa wilaya ya Mpanda alikuwa na mkutano hapa kijiji cha Ikola, wananchi wamesusia mkutano na badala yake kaendesha mkutano wa wakereketwa wa ccm na mtendaji wa kata!
Cha ajabu zaidi...
Tukio la kuungua moto kwa nyumba ya mkazi wa manispaa ya Moshi inayoongozwa na CHADEMA limeonyesha ni jinsi gani CHADEMA wanavyowajali wananchi hivyo wanapaswa kukabidhiwa dola na kuongoza taifa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema imefunga mjadala kuhusu suala la mawaziri waliokuwa wakiwachunguzwa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma na wengine kushindwa...
Kadri serikali ilivyowakumbatia waporaji wa rasilimali.
Ukiwa na hela zako ni rahisi kumiliki mahekta ya ardhi kama unavyoweza kununua kanzu dukani. Rejea Loliondo, Kilosa, Ranchi za Misenyi na...
HIKI NDICHO KIZAZI CHETU……….
Siku zote nimekuwa nikisema kwamba, hakuna dhambi kukosoa mtu anapokuwa amefanya kosa. Mtu yeyote anaweza kukosolewa, ni mmoja tu asiyeweza...
Kwa muda wa siku mbili, mjadala wa Jumuiya ya Africa mashariki imechukua sura mpya baada ya Mkenya mmoja kutoa shutuma za kejeli na dharau dhidi ya watanzania. Bila ya kumungunya maneno, mtanzania...
DHAMIRA ya Mwenyekiti wa Jumuiya yaMadaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka yakutaka kuwafichua polisi na watu wengine wanaodaiwa kuhusika katika tukio la kumteka, kumpiga, kumtesa na kumtupa katika...
Vuguvugu la M4C linaloongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA limeonekana kutikisa chama cha wananchi CUF wilayani Kilosa ambapo mbali ya wanachama wengi sana wa CUF kujiunga CHADEMA...
Viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaoshiriki Operesheni Sangara wakila chakula na wananchi kusherehekea Idd El Fitri...
Wakati nchi yetu ikinyemelewa (na pengine ishaanza kutafunwa) na siasa hatari ya udini, ni vizuri kama watanzania turejee msingi wa nchi yetu kuitwa HAINA DINI. Msingi ule ulikuwa ni kwamba...
Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Iddi, has appealed to cadres of Chama Cha Mapinduzi (CCM) party in Zanzibar to elect genuine and committed party members to safeguard party policies...
It is common to see small groups of people along streets in cities all over Tanzania discussing national matters of the moment informally as if they were members of National Parliaments. The...
Taarifa nilizozithibitisha muda huu ni kwamba Afisa Mtendaji Kata ya Tandale, anayejulikana kwa jina la Katula, ameng'ag'aniwa na vijana wanaodai kulipwa haki zao kwa ajili ya semina ya zoezi la...
Source: Mwananchi | Waandishi Wetu
MAANDALIZI ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 26, mwaka huu yameingia dosari baada ya matukio kadhaa ya kukwamisha kazi hiyo kujitokeza...
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamewataka Watanzania kuondokana na propaganda zinazoenezwa na baadhi ya watu kwamba chama hicho ni cha waumini wa dini fulani na kwamba...
Wakuu
Jana Jumanne, timu kadhaa zinazounda timu moja ya Operesheni Sangara-M4C ilikuwa inamalizia kiporo cha Mvomero, ambako kabla ya mapumziko ya siku mbili kwa ajili ya Siku Kuu ya...
Zaidi ya Sh. Bilioni 40 za sekta ya madini zilizotakiwa kuwanufaisha wananchi wanaoishi jirani na migodi mikubwa nchini zimepotea baada ya kampuni za madini kukwepa kulipa kodi ambayo ingetumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.