Sensa: Hotuba ya Rais Kikwete, yatokanayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa: Hotuba ya Rais Kikwete, yatokanayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by YAGHAMBA, Aug 25, 2012.

 1. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Udhaifu wa Jakaya umejidhihirisha zaidi leo wakati anahutubia taifa juu ya sensa, alijichanganya aliposema kuwa serikali ilishafanya maandalizi ya sensa kwa kipindi kirefu hivyo kwa muda huu si rahisi kuingiza kipengele cha dini, wakati awali alishasema kuwa serikali haipangi maendeleo kwa kufuata dini wala kabila za watu na kwamba wakoloni ndio walikuwa wanahesabu watu kwa makabila yao na dini zao. Wanajamii JK anaamanisha nini juu ya hili suala mbona anazidi kudhihirisha udhaifu wake?
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Yan kajichanganya hile mbaya! Kamtupia zigo mshana na amesema hajui hizo takwimu alizipata wapi!
   
 3. s

  sugi JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  mmekosa cha kujadili mnamjadili JK???
   
 4. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kila mtu anamadhaifu yake huku duniani ama we huna?
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Huu udhaifu wa kikwete ni wa kujitakia kwa kutotaka kutumia ubongo wake. Au unataka kutuambia kuwa Mungu alimnyima ubongo kwa hivyo si kosa lake?
   
 6. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika hotuba yake kwa Taifa kuhusu masuala ya sensa Rais Kikwete amekiri kwamba amekuwa akiwasikiliza waislamu wakihamasishana kutoshiriki katika sensa kupitia Radio yao (Radio Imani).

  Radio hiyo imekuwa ikilalamikiwa kwa kuchochea chuki kati ya Wakristo na waislamu. Kwanini isifungiwe kama gazeti la Mwanahalisi?
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Kama rais ana mamlaka ya kuahirisha sensa!mbona uchaguzi mara nyingi huairishwa?hana lolote ZOEZI LA SENSA LIMEKWAMA
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Ni kweli ila JK kazidi asee!
  Ni kigeu geu sana akiona maji yamemfika shingoni! Shame on him!
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ni upuuzi kumjadili rais dhaifu
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kiongozi wa kwanza duniani kushindwa kusimamia zoezi la kuhesabu watu wake...
  Huyu jamaa ni janga la kidunia, huu udhaifu wa JK unatokana na mfumo kristo kutawala nchi yetu.
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Usimzulie Raisi ,hayo unayasema wewe ! Hivi unafikiri unamsikiliza peke yako ?
   
 12. m

  malaka JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jk. Janga kuu.
   
 13. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ina maana anasema sensa ijayo wataweka hicho kipengele!!! Kweli huyu jamaa ni Dhaifu, hajui jinsi ya kupanga maneno yake
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  JK ni mwanasiasa bana, kama ulikua hujui siasa basi hiyo dio siasa.
  Hebu soma tena maneno yako kama mara mbili hivi labda utaelewa.Umeweka humu haraka haraka bila hata ya kuyaelewa vizuri.
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Kamkana ndugu yake Mshana kama hamjui vile!

   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ifungiwe ili waislam wasiwe na radio kabisa?zibaki za kikristo tuu?muulize jk culture ya nchi haina waumini wa dini?
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kawaida yake huyu bwana.....usiombe upige nae dili afu libumbuluke anakukana hadharani hutaamini! Dhaifu sana!
   
 18. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Ni rahisi sana kumpuuza Kikwete kwa kila anachosema au kufanya, lakini ninaweza kukuhakikishia sio mjinga hivyo kama wengi wetu tunavyodhania, na kama kweli ameongea hivyo usidhani ni mjinga, Kikwete ni mwanasiasa na anajua anachokifanya na mwisho wa siku utaona nani ni dhaifu yeye au sisi tunaopinga sensa kwa maana mwishowe wote tutahesabiwa na kubaki kuapia tu kwamba Sensa ijayo haki hapa patachimbika hatahesabiwa mtu,kama vile tunavyosema we ngoja 2015 ndio watatujua, ikifika 2015 oktoba tutaandamana kidogo tutasahau tutamkubali raisi mpya wa CCM na kuanza tena we ngoja 2020 ni kiama cha CCM hawatoki tumeshachoka! Lakini mwisho wa siku Kikwete gets what he wants, sasa sijui dhaifu ni nani?


   
 19. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huelewi nini hapo au nawe ni kigeugeu kama Dhaifu?
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kati ya radio IMANI na gazeti la MWANAHALISI kimi kinahusika kutoa habari za uchochezi?
   
Loading...