barabara zimeharibika chini ya mwaka mmoja serikali inasemaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

barabara zimeharibika chini ya mwaka mmoja serikali inasemaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Aug 26, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Hapo ni wapi mkuu, tupe data zaidi ili tuchangie.
  Lakini kwa vyovyote hapo ni mchina tu.
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hapa ni wapi?Naona Magwanda pia walikuwepo!!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapo kama Kitinku, karibu ya Manyoni, sina uhakika nakisia tu kwani mleta mada hajasema ni wapi kama ni hivyo basi hicho kipande kilijengwa na kampuni ya Kitanzania.
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ingawa mleta mada hajazama kwenye particulars ukweli ni kwamba barabara nyingi zilizojengwa na utawala huu na ule uliopita chini ya ufisi na ujambazi ni za muda. wamepewa ten percent na kuachia wezi wenzao watupige changa la macho.
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Pale Kintinku ni bomba mkuu.
  Wakandarasi waliojenga stretch ya Dodoma-Manyoni, KONOIKE, walifanya kitu ya uhakika .

  Nafikiri hapo ni mteremko wa Senkenke kuelekea Shelui.
  Wachina hao.
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,734
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Barabara za nchi hii hazitakaa zidumu mpaka hapo usafiri wa reli utakapoimarishwa ili malori ya mizigo yapungue barabarani. Hata ukijenga barabara ya kiwango cha nchi zilizoendelea za ulaya na marekani bado zitaharibika kutokana na uzito kubwa wa malori ya mizigo yanayopita barabarani.
   
 8. m

  manucho JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Serikali yetu ni sikivu
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mtoa mada , uko kwenye msafara wa Dr Slaa au vipi?
  Twajua mmepita hapo jumamosi mchana kuelekea Igunga.
   
Loading...