Edward Lowassa vs Edward Hosea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward Lowassa vs Edward Hosea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 29, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hawa ni watu ambao kila mtu amelikoroga kivyake.

  hata hivyo, mmasai ana nidhamu kidogo. alipoona limebumbuluka, yeye alijiengua kwenye reli.

  lakini hiki kichwa kinaitwa hosea kila nikifikiria ninashindwa kupata majibu. hosea amekoroga mambo mengi; kama kiongozi muadilifu alipaswa kuwa amejiuzulu siku mingi sana:

  -kusafisha richmond
  -kusafisha chenge na kashfa ya rada
  -wikiliki

  lakini jamaa (hosea) bado ana dunda tu.

  hii ni zarau au?
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyu ashakuwa sugu kwenye shutuma za kutakiwa ajiuzulu. Kipindi kile cha Richmond si naye alisema wamuulize bosi wake kwani yeye bado ana endelea na nafasi yake!

  Labda mkuu wa kaya aamue kumfukuza, manake yeye alishasema hawezi kujiuzulu tokea zamani.   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  He who can no longer pause to wonder and stand rapt in awe, is as good as dead; his eyes are closed. Despite of becoming one of wikileaks star from TZ, Edward Hosea doesn't show any sign to abate! moyoni anajua kinachoendelea!
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ana mafaili yao wote hao, mengine unaweza kukuta kaya hifadhi nje ya nchi.
   
 5. g

  gangsterone2010 Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui Ngw'anangwa ungekuwa wewe kwenye ile nafasi halafu kwa taarifa za vyombo vya habari tu kama ungejiuzulu...kwa mantiki hiyo kesho baba yako akitolewa "First heading" kwenye gazeti la KIU au IJUMAA (udaku) kwamba kafanya jambo fulani utamtaka ajiuzulu...!!!There should be proven grounds with no doubts kwamba fulani katenda jambo fulani na sio udaku wa vyombo vya habari vimfanye ajiuzulu...kwa mtindo huu kila mtu anayeandikwa na Media atakuwa anajiuzulu...
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  flash disk tu inatosha kuhifadhi si lazima nje ya nchi?
   
 7. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Inasikitisha unapoleta SIPMLE REASONING kwenye SERIOUS MATTER kama hii. kwa uwezo wangu mdogo wa kung'amua mambo, nahisi wewe ndo Hosea mwenyewe au mwanae au ndugu wa karibu. Hivi kweli jambo la rushwa kwenye hii serikali ya ccm unaweza ukalifananisha na habari za udaku??? YOU MUST BE A BENEFICIARY OF THIS THING, or YOU ARE OUT OF YOUR MIND. nakushauri ukatafute mzembe wa kufikiria kama wewe ndo um-hadithie hizo cheap thoughts zako.
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  umenisaidia..kuna watzania wamesoma ila hawatusaidii..pengine ni hosea.
   
 9. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hosea ana roho ya jiwe, anatafuniwa kaila kitu lakini kumeza hawezi! Kila siku wala rushwa wanatajwa yy badala ya kuzifnyiwa kazi taarifa na kuwakamata watuhumiwa anajipanga kuwalinda. Wabunge walarushwa wametajwa yy anabung'a macho, 27 wanamapesa nje ya nchi, hosea anafunga tai tu, halmashauri watu wanajichotea mapesa hosea kafumba macho na masikio. Hosea anaidhalilsha TAKUKURU, Bila Hosea TAKUKURU wanaweza kazi!
   
 10. g

  gangsterone2010 Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamuzengo hakuna ninachokitetea hapa...ila penye ukweli tuwe tunausema, hivi kweli kazi yote ambayo naishuhudia mimi ikifanywa na TAKUKURU kupitia Media wewe huioni au huna macho, I mean unaona giza kabisa...basi inabidi uwekewe kibatari angalau uweze kuona. Ina maana hao wakubwa tena walio kwenye nafasi za uwaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wa Taasisi na Halmashauri waliofikishwa mahakamani haikutoshi kuona angalau hawa wenzetu wanafanya kazi...!!!???
  Mimi nakuona wewe ndio unatumwa na wanaomchukia Hosea uje kutuletea majungu dhidi yake humu JF...nashauri majungu tuyaache sasa kwani hii FORUM ni kwa ajili ya kujadiliana mambo ya maendeleo na namna nzuri ya kumsaidia wananchi wenzetu kuondokana na umaskini...the one who is out of his mind is you, don't bring accusations without proven grounds...find a better source before telling us your lies...!!!
  Na unapoilaumu CCM peke yake kwani hao Chadema huwaoni walivyopelekana mjengoni kiundugu kupitia viti maalum...Baba na mwanaye, shangazi na uhusiano mwingineo tena wote kutoka Kaskazini mbona hujatujuza humu tujadiliane???Rushwa ipo kila mahali na wala sio CCM pekee funguka macho wewe, mzembe wa kufikiri na mwenye cheap thought za kudanganya watanzania ni wewe pimbiiiii...!!!
   
 11. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mtanzania hata umchukulie mkewe atanyamaza tu 'Kwa kulinda Amani'
   
 12. g

  gangsterone2010 Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngandema Bwila inasikitisha kuwa na watanzania ambao bado mpaka sasa they don't understand the rule of Law lakini wanatumia mitandao mikubwa kama hii JF...not all allegations might be true, siamini kama chombo chetu nyeti kama TAKUKURU waone taarifa kwa njia yoyote ile halafu wakae kimya...bali niaminivyo zinaweza kuwa hazina ukweli...lakini nimemsikia bosi wa TAKUKURU akisema anazifanyia kazi hivyo tumpe muda...nasi kama watanzania tujitume kumpatia taarifa zaidi ili atekeleze majukumu yake ipasavyo na sio kumlaumu tu...!!!
  Mbona tumeshuhudia mheshimiwa mbunge wa BAHI akikamatwa kwa rushwa kwenye vyombo vya habari...hii inathibitisha jamaa hamuogopi mtu, ninachokiona hapa, hawa jamaa wanahitaji muda wa kukusanya ma-ukweli ili pilato apelekewe watu wanaomstahili...!!!
   
 13. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  utakuwa unatetea mambo usiyojua endelea kuwadanganya wenzio wenye uelewa mfinyu.
   
 14. g

  gangsterone2010 Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kankwale acha kudandia treni kwa mbele naamini unayajua madhara yake...tulikuwa tunajadiliana na wamuzengo sasa kilichokutoa uvunguni sielewi ni kitu gani...haya lakini karibu...!!!
   
Loading...