Ripoti ya Sumu North Mara: Waziri wa Nishati Prof. Muhongo Ajifunua Rangi yake Halisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti ya Sumu North Mara: Waziri wa Nishati Prof. Muhongo Ajifunua Rangi yake Halisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Maranya, Aug 26, 2012.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ripoti ya uchunguzi wa madhara ya sumu kwa wananchi wanaozunguka mgodi wa North Mara uliopo Nyamongo wilayani Tarime, imethibitisha kuwa wakazi wa maeneo ya jirani na mgodi huo wameathiriwa na aina saba tofauti za kemikali.

  Utafiti huo wa kisayansi ulifadhiliwa na Taasisi ya Norwegian Church Aid (NCA) umeataja sumu hizo kuwa ni Arsenic, Zinc, Antimony, Cadmium, Lead, Manganese na Copper.

  Alipoulizwa kuhusu ripoti hiyo, waziri wa nishati na madini Prof Muhongo alimtaka mwandishi asishupalie suala moja miaka yote.
  ''...hatuwezi kuwa tunaongelea jambo moja miaka yote, lazima tuangalie na mambo mengine''

  Source: Gazeti Mwananchi.

  MY TAKE:
  Waziri Muhongo hana huruma na ndugu zetu wa Nyamongo wanaoendelea kuangamia, kwa kuonyesha kuchoka kusikia habari yao. Haya si majibu yanayotarajiwa kutoka kwa mtu msomi kama yeye. So sorry kwa watu wa Nyamongo.
   
 2. M

  Murrah Senior Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la sumu North Mara ni kubwa na ni la siku nyingi hata kabla ya Mgodi mkubwa kuanzisha, ili lifanikiwe lazima tulitazame lote sio kuangalia sehemu ya malipoya haraka, Kerende hakuna mgodi na toxic level ikoo juu mara nne ya Nyagoto. Fuatiliani hii issue objectivelly
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hawawezi kuongelea madhara ya sumu wanayopata wananch lakini wanaweza kusain mikataba!Pumbaf kbs
   
 4. Imany John

  Imany John Verified User

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Amang'ana mura.
   
 5. M

  Murrah Senior Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amaiya mura
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mwita Maranya

  Wala usimlaumu bure. Unajua anakutana na mangapi? Tena wizara yenyewe ya nishati na madini! Mbaya zaidi ni mgeni na si mwanasiasa. Leave the guy alone
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. M

  Murrah Senior Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bhuya sana tata
   
 8. M

  Murrah Senior Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Being a new and not politician is not excuss for not dealing with matter, he should look the toxic from ****** downward and propose new way of mining which is less toxic to the environment and communities as whole. That what will benefit these communities.
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sorry kwa Watanzania wote. Muhongo ni mmoja tu kati ya Wizara na mawaziri wote wa Tanzania. Ni wizara gani ambayo haiwalizi Watanzania? Ningependa nimuombe Mungu awasaidie Tanzania, lakini ajali ya kujitakia haiambiwi pole. Watanzania tunayataka wenyewe haya kwa kuendelea kuiweka CCM madarakani tukijua kuwa CCM ni Janga la Taifa; siku tukiyakataa Mungu atakuwa tayari kutusaidia.
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama umenisoma na kuelewa vizuri ''take yangu'' nimesikitishwa na kitendo cha waziri kuonyesha kuchoshwa na habari za sumu kwa wakazi wanaouzunguka mgodi wa North Mara na kutojali madhara yanayowapata.
   
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,208
  Likes Received: 3,773
  Trophy Points: 280
  Mfumo wa utawala wa kiimla unaotekelezwa chini ya mwamvuli wa demokrasia ni hatari kuliko uwazi wa kiimla halisi,
  kwakuwa wahusika hupitia katika mabadilko matatu: kwanza huanza kama kiongozi na kuaminiwa na umma, pili hugeuka na kuwa mtawala ambapo demokrasia kwake huwa sawa na chambio, na tatu huwa dikteta rasmi lakini asiyeoneka (invisible dictator) hawa ni wabaya kuliko maimla wa wazi kwakuwa hutamjua ila mpaka ashike hatamu za mamlaka.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Halafu huyu ni profesa. Nilitarajia angekuwa na akili na busara kuliko lusinde.
   
 13. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  we unashanga hili hukumbuka madaktari walipo goma mkuu kapanda ndege huyooooooo na mambo yake
   
 14. m

  mayere Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swala la sumu Nyamongo sio rahisi kama tusomavyo kwenye vyombo vya habari au wanasiasa wanavolisema.
  1. miamba ya Nyamongo na maeneo yanayozunguka miamba yake ni ya acidic foam so hata kama mgodi usinge kuepo athari zingekuepo tu as long as walikua wanajiusisha na shughuli za uchimbaji kabla Barrick hawajafika kuinvest there.
  2. Mgodi uliamua kuzuia maji ya sumu kwa kuweka zulia za mpira aridhini ili maji yasipenye aridhini lakini wana kijiji wamekua wakiwavamia walinzi na kuziiba hizi zulia na kuziuza nchini Kenya.

  N:B Watanzania tujiatahidi kuyafaham mambo kiundani ndipo tuyaongee kuliko kuwafanya waandishi wa habari na wanasiasa kua ndio misahafu yetu....mwisho
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hayo mambo mengi ndiyo anatakiwa kuyakabili na kuyatatua.
  Hawezi kuyapuuza ama kuyafumbia macho kwa namna yoyote ile labda amuombe aliyemteua ayapunguze ama vinginevyo akae pembeni.
   
 16. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280

  Tunaweza kupata nakara ya Ripoti hiyo?
  Muhongo usimpe uaminifu sana maana nadhani lazima tukubali kwamba hana utaalamu na mambo hayo ya chemikali na mazingira. Tatizo ni yeye kutosema wazi juu ya uwezo mdogo alionao au kusema tu kwamba tutaliangalia. Yeye analeta ukali/ukorofi.
   
 17. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  tatizo ni mfumo mbovu wa kitendaji na kisiasa tutaendelea kutoa lawama ngoja tubadili katiba kwanza then tutajua nini cha kuendelea kufanya mapambano ya haki yanaendelea
   
 18. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwani nyoka huzaa nini? Huyo prof si zao la CCM tu? Angekuwa ana mtazamo tofauti kweli angeukwaa huo uwaziri? Msilete za kuletwa hapa!
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  mayere sidhani kama unaelewa tunachozungumzia hapa. Unataka tukuamini kwamba miamba ya Nyamongo ni ya kipekee, haifanani na miamba iliyoko Buzwagi, Bulyanhulu, Geita na kwingineko? Kwaqmba miamba ya Nyamongo pekee ndiyo yenye sumu? You must be joking my friend!
  Hii dhana kwamba wanakijiji wanaiba majamvi ya kuzuia sumu ni potofu inayotumiwa na watu wa barrick kukwepa uwajibikaji wala haina ukweli wowote. Unaweza kutuambia kwanini walimficha/kumdanganya naibu waziri Kagasheki alipowatembelea kama unaamini kwamba wananchi ndio wenye matatizo?
  Hata kama wananchi waliiba mazuria ya kuzuia sumu bado mgodi unawajibika kuzuia sumu isiingie mto Tighite.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. M

  Murrah Senior Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakala nenda NEMC zipo
   
Loading...