Barua ya Onyo ukikataa kuhesabiwa Sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya Onyo ukikataa kuhesabiwa Sensa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndukidi, Aug 28, 2012.

 1. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Barua ya msisitizo kwa ki english kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa obay!!
   

  Attached Files:

 2. w

  wikolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Duh, hii lugha ya malikia ni kiboko!
   
 3. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80

  Acha tu Wikolo, Mushi kajitahidi lakini kuonyesha msisitizo..... halafu Sensa ikibuma tunalaumiana, kumbe hatukueleweka...
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Kidumu chama cha mapindizi!
   
 5. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndiyo Lugha ya Kisheria.Chezeya mwanasheria weye!
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kazi kweli kweli maana wanajaribu ku act kama wanafahamu sheria kumbe ndio patupu kabisa
   
 7. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pdf. Sijapata kibali cha kuisoma kupitia simu
   
 8. C

  Campana JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii ndiyo kazi ya elimu itolewayo na ccm kwenye shule zake za kata
   
 9. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kiingereza bandubandu. Lakini kaeleweka.
   
 10. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni hilo hilo la kulazimisha kuvaa suti ya malikia katika joto la Dar es Salaam! Je, angetumia Kiswahili asingeeleweka?????????????????????????????
   
 11. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35


  Atatumiaje kiswahili wakati, hotel nyingi za maeneo hayo ni za kitalii? wataelewaje? Chezea Ung'eng'e hapo mwisho wa yote.

  Ninatamani walimu wote tanzania nzima wakapigwe msasa kwa muda wa miezi 6 hadi 12, kisha lugha ya kufundishia iwe kiingeleza kuanzia primary. Nina hakika tutapiga lugha gongana kwa muda wa miaka 2 baada ya hapo itakuwa powa kwa watanzania wote.

  hata hivyo, ikumbukwe kuwa kufundishwa kwa lugha unayoijua huongeza uwezo wa kufikiri vizuri zaidi.
   
 12. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  tsunami!
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani/ udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani X2/
  haijalishi ulikua na wangapi bali wangapi uko nao..washkaji ambao... kosa lako lao wakati hauna mafao/wanaokufikiria wewe muda ambao/ wenzao walionao wanafikiria wengine ndo wanao/now
  kupata washkaji ukiwa na pesa... ni rahisi/
  kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi mie sikufichi sihitaji urafiki na usupastaa/ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../ kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground/sikuhizi mabinti wanaomiss ni walionidiss mie sio mdau/
  wanakubali mie ni mkali wanataka kuijua Mmwanza
  ninayoitangaza nikiwa safari kama habari za kwanza/
  U-N-I-T na prof Ludi walionifunza kukaza...
  kwetu mbali.. sijui lini nitarudi? (C) Lokua kanza/
  sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

  Verse 2;
  na usupastaa huwa ni feki.. utakung'arisha ukiwa na Market/
  utakupatia senti,utapita juu ya red carpet/
  utageuka young & restless, utakupa wanawake/utakupa mafake brethrenz.. kisha utaenda zake/kwahiyo power its not permanent.. huwa ipo kwa muda tu/respect ur own conglomorete... fikiri kikubwa tu/masaa hayarudi nyuma kama muda wa kufuturu walioukataa utumwa wanastuka hawana uhuru/
  wanazusha najiskia.. so im my own best friend/
  sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/
  naweza nikakata ringi kiasi cha kutopay attention, lakini sio tajiri wakuafford kuua true friendship/
  tuweke siasa kando sababu kichwa kinanigonga/na hizi falsafa double double ajabu sio kinywa cha mjomba/
  sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea

  VERSE 3
  rafiki wa kweli yukoje.. ni mkimya au anayechonga/yule aliyekupa jina?au pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria kukuokota?/au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?/ hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka yupo nawe.. au yupo kinyume na wewe/bora adui.. kama hachachawi utaenda muomba akuelewe/
  ka buibui.. naweka tandu mtaenda kando mzingue?/
  kwani machizi wenyewe wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo/ inabidi tu uwaache wakuwatch kwenye kideo/unakula nao happy leo.. kesho wanamtaka mkeo/urafiki sitaki.. hauletagi maendeleo../
  nilitamani kuwa mjamaa niwe genge kama nature/
  wachache niliowafanya wakang'aa wanayaweka maisha yangu in danger/
  sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kha, nimecheka hadi nimeshindwa kula, sipati picha bosi wangu anaeishi pale Coral Village ameelewa nini, kumbe ndio maana nilipomuuliza juzi kaishia kucheka tu...
   
 15. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Wangekuwa watu wengi wanapinga kuhesabiwa,Serikali ingefanya improvisation,na ingetoa amri sensa ya waumini ifanywe. Lakini kwa vile ni watu kidogo wanabisha,basi wanatishwa,kwa sababu Serkali haitishwi nao. Mimi nilikuwa nalifikiria hili swala la sensa,kama yatakuwepo matatizo au vipi. Haikuelekea kama yanegeweza kutokea matatizo yoyote. But when I asked myself,''Je mimi nitakuwa tayari kusebiwa na hawa atheists?''.I became very agitated in my mind. Nilikuwa nawaona kama ni maadui wa Mwenyezi Mungu. In the end,nilihesabiwa indirectly,kwa mtu kutoa data zangu,kama ilivyokuwa katika sensa iliyopita,ambayo pia sikuhesabiwa directly.
  Udini haufai,kwa Wakristi kuwachukia Waislamu,au Wasunni kuwachukia Washia. Hapo nakubaliana na Serikali. Lakini dini sio Usunni au Ushia.Dini ni mtu kuwa na vitendo vya kistaarabu,no matter what is his religion. Na Serikali ikisema haina dini,watu watakuwa na shaka kama watatendewa haki katika Mahakama. Kuna matatizo makubwa ya rushwa katika nchi hii,and yet Serkali inaweza kuthubutu kusema kwamba haina dini.
  Watanzania wana dini hata kama Serikali haina dini. And this problem is not over. Mkuu wa Wilaya Kigoma,alikuwa anasema leo anatoa last warning kwa wale waislamu waliojifungia katika msikiti,hawataki kuhesabiwa.
  Solution ilikuwa kwa Serikali kuwwaaambia hao watu kwamba,haikujitayarisha kwa sensa ya dini,lakini sensa ijayo watalifikiria hilo jambo.
  Kwa sababu Serikali haiwezi kulaumiwa kwa kukitoa kipengele cha dini;hicho kipengele,swali la dini halikuwepo katika sensa zote.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hii sensa mbona kama dili la ccm?
   
Loading...