Mchuano Urais CCM: 14 waanikwa hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchuano Urais CCM: 14 waanikwa hadharani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Candid Scope, Aug 28, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]  • Nani kati ya hawa ana ubavu kushindana na wa kutoka Chama Cha Chadema?
  • Je hawa waliopo hapa ni kitu kimoja au wamegawanyika?
  • Atakapochomoza mmoja kati yao wataungana au vita vitaendelea kugawa nguvu zao?
  • Kuna mwenye kujenga mazingira ya kuunganisha nguvu au mgawanyiko tu wa makundi?
   
 2. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Sura zile zile maneno yale yale, sifa zile zile, Watanzania kuendelea kuogelea katika dimbwi la umaskini.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sikujua hata Bilal anautamani urais wa Tanzania. Na Nahodha naye anajiona ni presidential material? Mungu wangu Watanzania tumekukosea nini?
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Sitanii!!
  (Tumechagua kujenga Taifa la wajinga)!!!!!
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  duh ,mbona watahitaji huruma ya CDM wote.Ila wote hawaenei katika mkono wa Leigwanani.CDM wanakuja bow out hiyo party yao.
   
 6. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hizo picha zimenifanya nione kuwa habari yenyewe haijafanyiwa uchunguzi wa kina. Pinda alishatangaza kustaafu kabisa siasa 2015, leo anawekwa kundi la wasaka urais? Nonsense! Eti Nahodha anataka urais wa muungano??? hivi mwandishi wa hiyo habari mzima upstairs???
   
 7. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ha ha haa..Nchimbi eti naye anataka Urais.
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama utakumbuka mfarakano uliopo Zanzibar kuhusu hatima ya Muungano ambapo Nahodha amegombana wazi wazi na mzee Hasan Moyo, Nahodha anatetea kwa hali na mali mfumo uliopo uendelee kumbe malengo ni ili agombee urais wa Muungano. Thubuti wabara hatutakubali kuongozwa na wazanzibari wakati sisi hatutii pua kwao.
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwakuwa mi bado nawaza jinsi ya kurudisha Twiga wetu,ngoja nipite zangu kisha ntarudi
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wote hapo juu ni makapi yale yale ya CCM. Hakuna hata mmoja awezaye kushindana hata na robo ya CDM achilia mbali CDM nzima. Wote ni vibabu na vibibi visivyo na jipya. Wote wana rekodi chafu sana ima za kushiriki ufisadi au kutumia nafasi zao kutafuta ulaji kama ilivyotokea kwa Sitta na Mwakyembe. Sioni mtu anayefaa kuongoza taifa letu hasa wakati huu lilipoozeshwa na ufisadi na kujuana.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nakubaliaa nawe kutijaba na kilichotokea uchaguzi mdogo wa Arumeru jinsi vigogo wa CCM wote walivofurikia kule kuanzia na Mkapa walipokuja kudhalilishwa na dogo wa Chadema na kuhitimisha mbizo za CCM kuishia kupoteana hata kutojua njia waliyoingilia Arumeru Mashariki.

  Huku dogo wa Chadema toka Arumeru Mashariki sikuwahi hata kumsikia kabla ya mbio za kampeni, na kilichotokea kimewashangaza CCM na kuwapa hata kigugumizi cha kutoa tamko.

  Kuna maajabu zaidi yatatokea Uchaguzi Mkuu ujao 2015.
   
 12. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,676
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  CCM bana!
  Hivi hawa wazee wanafikiria nini? Aaaarghh!!!
   
 13. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwandishi wa habari huyu ni kama amekufa huku anatembea. kweli yuko makini au ameamua kupima upepo?Hapo hakuna RAIS.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ningetegemea ungetazama habari yenyewe kwa upana zaidi, kwani hawa watu wana makundi yao, msukumo si mtu binafsi tu, nyuma yake kuna kundi la wanachama wanaotaka mtu wao aingie Magogoni. Nadharia ya kusema fulani alishatangaza kutogombea ni usanii wa kawaida wa wanaCCM, unaweza kushangazwa utakaopona hao unaowatetea wamejitokeza kifua mbele kutafuta nafasi hiyo kwa udi na uvumba. Kwa sasa ni kampeni za chinichini ndizo zinazoendelea.
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuna neno moja tu come 2015: deluge!
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tunashindana kuvuta kamba moja, nani mwenye nguvu zaidi ya kuvutika? Jibu unalo.
   
 17. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijaona wa kuweza kutuongoza kati ya hao kwani wote ni wale wale tu! Binafsi napenda mabadiliko wawekwe wengine tuone wanafanya nini means Chama kingine!
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tanzania siyo nchi ya majaribio. Tunahitaji mtu aliye compitent kweli na mwenye experience ya kutosha kwenye masuala ya siasa.
   
 19. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  by the way kwa sera za ccm ni zamu ya znz tena mkristo
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa!
   
Loading...