Mikutano ya siasa mwiko!

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.

R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.
 
Mkuu sitaki kuamini kwamba wewe ni gamba. Unasema hutahudhuria tena mikutano na utakuwa unatazama kwenye Tv? Hizi ni moja ya nidhamu za uoaga na wakina mwema wakisoma story za aina hii wanafurahi sana
 
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.

R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.

No no mapambano mpaka mwisho, unawazilia CCM watafurahi sana
 
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.

R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.
Umetumwa na Nape uvae gwanda wakati damu yako ni gamba, kama propaganda zimeshavunda zikifika huku tafuteni mpya mimi nitaendelea kwenda watoto wangu wataenda,wajukuu zangu wataendelea kwenda watoto wa watoto wa wjukuu zao watakwenda na wajukuu wa wjukuu wa watoto wa wajukuu wa baba wa babu wa vitukuu vyao wataendelea kwenda bila kuogop risasi ya kichwa wala maji ya kuwasha mpaka mkoloni mweusi CCmabwepandegambafisadi watakapo pinduka madarakani!!!
 
Msiache kwenda jamani, tena fanyeni fujo,mkipigwa risasi CDM italea familia zenu,2016mtawekwa kwenye vitabu vya historia ya Tanzania kuwa mlipigania uhuru .

Popo bawaaaaaa, samahani nimekosea kidogo pipo pawaaaaa
 
Haya mawazo mgando...kama akina Slaa, Mbowe, Mnyika nk wakiamua kuwa na roho nyepesi kama hii, nadhani hii nchi ingekuwa ya kipuuzi sana. Kumbuka kila nafsi itaonja mauti, unaweza usiende kwenye mkutano na bado ukafa kwa ajali, ugonjwa nk.
 
Haa! haaaaa!!! utafanya wakimbikiwe,popo bawa ni noma.
 
Victory is just a mile away dont give up SonNyuma ya CCM imejengwa juu ya mchanga hivyo tusiwe na wasiwasi kwani hii mvua,kimbunga ambacho walidhani kinapita sisi tuhakikishe hii mvua iliyoanza nyesha na hiki kimbunga kiondoke na hiyo nyumba kwani mabati yake hayajashikwa na chochote,mbao zimeliwa na mchwa.Umoja ni Nguvu ila....................malizia mwenyewe
 
Haya mawazo mgando...kama akina Slaa, Mbowe, Mnyika nk wakiamua kuwa na roho nyepesi kama hii, nadhani hii nchi ingekuwa ya kipuuzi sana. Kumbuka kila nafsi itaonja mauti, unaweza usiende kwenye mkutano na bado ukafa kwa ajali, ugonjwa nk.
Slaa,mbowe wanajiwekea sehemu ya kusepa, unakumbuka arusha? Slaa alishasema nyuma ya spika ni sehemu ya kama mambo yakichacha
 
Naaam,askari mwoga wa kiasi hicho vitani huchapwa risasi kwanza kabla hiyo kansa ya woga haijaenea kikosini!Kumbuka kwamba MWOGA hufa siku nyingi kabla ya mauti yake wakati ambapo jasiri HUFA mara moja tu!
 
We unakumbuka akina chief mkwavinyika walikotutoa?
Je wangekuwa na mawazo mgando kama wewe fikiria ungekuwa wapi?
Hakuna kurudi nyuma hadi tuupate uhuru.

Hata tukifa wote,

FREEDOM IS COMING TOMORROW.
 
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.

R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.

Mod hivi ile batoni ya DISLIKE kwa nini uliitoa??
Basi nasema kwa post hii
DISLIKE
 
Umetumwa na nape uvae gwanda wakati chupi na singlendi na damu yako ni gamba,kama propaganda zimeshavunda zikifika huku tafuteni mpya mimi nitaendelea kwenda watoto wangu wataenda,wajukuu zangu wataendelea kwenda watoto wa watoto wa wjukuu zao watakwenda na wajukuu wa wjukuu wa watoto wa wajukuu wa baba wa babu wa vitukuu vyao wataendelea kwenda bila kuogop risasi ya kichwa wala maji ya kuwasha mpaka mkoloni mweusi CCmabwepandegambafisadi watakapo pinduka madarakani!!!Masaburi weeeeeee

teh teh teh! I like this
 
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.

R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.

Umetumwa na magamba wewe! !
 
Back
Top Bottom