Kipima joto ITV: Maandamano ya CHADEMA morogoro, je kulikuwa na haja ya polisi kutumia nguvu ile? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima joto ITV: Maandamano ya CHADEMA morogoro, je kulikuwa na haja ya polisi kutumia nguvu ile?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Aug 28, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Matokeo yamekuwa kama ifuatavyo:

  Waliosema kulikuwa hakuna aja kwasababu watu walikuwa wanadai haki yao ni 91%

  Waliosema kuwa polisi ilifanya sawa kutumia mabomu na nguvu kubwa ni 8%

  Mwenye macho na masikio aone namna ambavyo watanzania wamechoka na udhaifu wa hii serikali.


  Source:
  ITV Habari
   
 2. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  C.c.m imekwisha kabisa,wananchi zaidi ya 70% hawaiamini tena,ndio maana inaona ni bora kutumia nguvu ya dola hasa polisi kuua raia,kumbe hawajuhi kuwa hawanyamazishi raia ila ndio wanazidi kuchochea moto na chuki dhidi ya serikari na jeshi la polisi,raia imefika stage sasa wameanza kulizoea jeshi la polisi na hawana heshima nalo wala uoga nalo tena,mfano mzuri ni jana Morogoro,japo waliua na kujeruhi Msamvu lakini raia hawakuogopa waliendelea kupambana nao mpaka mabomu yakawaishia na polisi ku surrender,Abood sahau jimbo la Morogoro mjini,chama chako na jeshi la polisi vimemwaga damu na kutoa uhai wa mwana Morogoro mwenzetu damu yake itawalilia milele!Morogoro hatuhitaji kuongozwa na chama kinachoua raia wake tena wasio na hatia
   
 3. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hakika serikali hii ni dhaifuu mno mno mno,SIKUWAHI KUSHUHUDIA HAYA KWENYE SERIKALI ZOTE TATU ZILIZOTANGULIA......
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  hapo unaweza kufanya analysis na kujua idadi ya wanachama wa CCM na CDM
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Na hasa wasomi.
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hayo maoni hayawezi kuondoa msingi wenyewe. Binafsi naamini kama CDM walikaidi amri ya Polisi ni dhahiri walijiandaa kukabiliana nao, hivyo ilikuwa ni lazima wajihami. Kinachinisikitisha ni risasi hizi kuwakuta watu wengine badala ya SLAA wenyewe au MBOWE. Kwa nini watangulishe vijana kama chambo? Nimesikia SLAA anasema wanasubiri ripoti ya Daktari ili wachukue hatua za kisheria. Ni hatua gani hizo zitakazolingana na uhai wa mtu uliopotea? Nilitumai, hatua hizo wangezichukua kuzuia kifo hicho badala kuchukua hatua baada ya mtu kufa, huku ni kutaka kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kawaida ya muongo na mwenye kuongeza chumvi katika mambo. hiyo 1% inayobaki imekwenda wapi?
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Kichwa chako si kizima kabisa
   
 9. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu ahihitaji mtu mwenye busara ndogo kukushauri kua usichangie hoja hii kwa kua watakugundua uwezo wako wa kufikiri na hata elimu yako,kwanza elewa maandamano ni haki ya msingi ya kikatiba,pili elewa hakuna sheria inayomruhusu askari kupiga risasi kichwani kwa mtu hasiye na silaha,kisheria wanasema kudhamiria kuua,tatu elewa kua kijana yule hakua katika maandamano bali alikua ni mchuuzi aliyekua katika kujitafutia riziki,ila kwa u.m.b.u.m.b.u wa polisi aliyeua ambae nina amini ana iq kama yako ndio likafanyika alilofanya,wanasemaga kukaa kimya uficha u.p.u.m.b.a.v.u wako
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  watu mnaohudhuria mikutano ya CDM msipoangalia mtakwisha kwa risasi, hiki chama tayari kimeshakuwa cha laana na laana hii inasababishwa na sisi wenyewe badala ya kulaaani tabia ya CDM kudharau vyombo vya dola, tunawasifia na wao kujiona kama wananchi wako nyuma yao. MOTO unapouunguza msitu, usipokuwa makni wakati wa kuuzima unaweza kujikuta katika harakati za kuuzima kwako ukasababisha ukasambaa kwa kasi zaidi kuliko awali. Hivi vyama vya siasa ni lazima vitambue kuwa damu ikishamwagiza mara moja lazima itakuwa inaita kila wakati na kutaka kumwagika na naamini iko siku maneno yangu yatakumbukwa na hasa pale ambapo risasi hizo zitawakuta viongozi wa juu kabisa, Nampongeza Kmanda ZITTO yeye anajua kusoma alama za nyakati.
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kweli elimu uondoa ujinga,katika upgaji kura uwa kuna kura zinazoharibika na katika itv uwa kuna wale wanaosema hawajui,pole kwa kukwepa umande
   
 12. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,634
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Kwani kulikuwa na sababu yeyote ya kuandamana?
   
 13. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Acha vitisho na utabiri wa kijinga. Magamba yameshakuharibu akili naona upo upo tu kama ZUZU.
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ameichukua JK.
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  We unaona wanaokwisha kwa risasi,ni wengi kuliko wanaokwisha kwa ukimwi na maralia?
   
 16. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  tz ya sasa sio ile ya miaka ya 60!......................
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Unajua ndugu yangu Mwendawazimu huwa anakuwa wa kwanza kuwaita watu wazima vichaa , sishangai kwa sababu tayari laana ya vyama vya siasa na wanasiasa wake wenye uchu wa madaraka tayari imekwisha kwiva kichwani mwako na unachoweza kuamini tu ni kwamba Kufa sasa kijinga tu ni jambo la kawaida. Hivi kweli unaweza kulaumu Polisi ambao tayari walishatangaziwa hali ya hatari na CDM? Kitendo cha kukataza kufanyika kwa maandamano lakini yakalazimishwa tayari ilikuwa ni vita na ndiyo maana Makamanda wakubwa walikaa pembeni na kutanguliza makuruta wakafe kwanza , na hii ni kawaida katika vita yoyote ile. Hakuna jeshi ambalo huwa linatanguliza makamanda wake wakuu na hicho ndicho walichokifanya CDM. Hivi wao wanweza kulala usingizi mnono na Mungu akawahukumu Polisi wao wakasalimika kweli kubeba dhambi hiyo?

  Iko siku watanzania tutalia na kuthamani kurudia mfumo wa Chama kimoja lakini tayari tutakuwa tumekwishachelewa pale tutakapokuwa tunatembea juu ya miili ya watu na damu kama ambavyo ilikuwa kule Rwanda katika yale mauaji ya watu milioni moja ndani ya siku 100.

  Tukumbuke kuwa huyo kijana aliyekufa morogoro angekuwa ni SLAA au Mbowe hali ingekuwa imekwisha badilika na wengine yatari tungekwisha vuka mipaka kuelekea Malawi japo ni adui zetu kwa sasa.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hizo propaganda chafu mnazopandikizwa ndizo zitakazowamaliza endeleeni.
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wewe kalale unasubiriwa kitandani na mumeo
   
 20. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Hayo maelezo yote yanaonesha wewe bado ni mgonjwa,pole sana naona unahangaika sana
   
Loading...