Dr. Slaa akerwa na viongozi wasaliti ndani chadema wabaozui jitihada za chama kuchukuwa dola.

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,265
9,884
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa amesema kunabaadhi ya viongozi ndani ya Chama ambao wamekuwa wakizuia jitihada za Chama hicho za kuchukuwa dola.

Habari kamili Soma Habari leo.
 
Hata aseme nini,safari hii anawekwa pembeni, zamu ya Mbowe au Zitto, anachafua chama huyu mropokaji.
 
Hata aseme nini,safari hii anawekwa pembeni, zamu ya Mbowe au Zitto, anachafua chama huyu mropokaji.
Nani alikuambia CDM kuna zamu wewe ndiye msemaji wa Chama? Mtoto Mdogo lakini unakuwa na harufu za kizee kwa vile muda wote unashinda na vizee vya ccm
 
Hata aseme nini,safari hii anawekwa pembeni, zamu ya Mbowe au Zitto, anachafua chama huyu mropokaji.

ndani ya cdm hamna kupangana kama wafanyavyo magamba,kiongozi anatoka kwa Mungu cyo nguvu za pesa,dola na popularity.
 
Hata aseme nini,safari hii anawekwa pembeni, zamu ya Mbowe au Zitto, anachafua chama huyu mropokaji.

ndani ya cdm hamna kupangana kama wafanyavyo magamba siasa za namna hiyo cdm mwiko na wala hatuzitambui!,kiongozi anatoka kwa Mungu cyo nguvu za pesa,dola na popularity.
 
Wanachama wa chadema kigeugeu wakiwa vyuoni ni wanachama hai lakini wa kipata ajira haooo wanajiunga na ccm
 
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa amesema kunabaadhi ya viongozi ndani ya Chama ambao wamekuwa wakizuia jitihada za Chama hicho za kuchukuwa dola.

Habari kamili Soma Habari leo.

Ni kwanini unaweka kitu hiki? Ni kama pumba... kweli kama wote tukifanya kama wewe ufanyavyo kutakuwa na JAMII FORUMS?

Inasikitisha kweli... kwa UCHOYO AU NI UPUNGUFU WA KUSHARE HABARI
 
Back
Top Bottom