Joshua Nassari 'avaa viatu' vya wa Appolo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joshua Nassari 'avaa viatu' vya wa Appolo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Aug 28, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Katika harakati za mbunge chipukizi kutambua matatizo ya wananchi wake,kijana mbunge wa arumeru ndg. Joshua Nassari amevaa tochi kichwani na kushuka shimoni kunapochimbwa madini ya Tanzanite na kujionea hali halisi ya machimbo na wachimbaji wadogo wa Tanzanite.

  Hii ni tofauti na wanasiasa wengine wanaongelea uduni wa vifaa na mazingira ya wachimbaji wadogo bila kushuka mashimoni na kuexperience matatizo wanayokumbana nayo wana appolo!

  Big up dogo janja!!
   
 2. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Nassari anakumbukia kazi yake utotoni.
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli basi kumbukumbu zake ni nzuri na zinaonyesha anavyojali.
   
 4. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  huu ndo utendaji
   
 5. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  safi sana!vizuri pia atupe alojifunza shimoni nasi tutoke ukungu ktk vichwa vyetu.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Viongozi ccm wanataka kuvaa tochi wazame serena hoteli kujichana
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  juzi juzi nilisikia alipita hospitali ya wilaya kuongea na wagonjwa.jamaa yuko vizuri!
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  ha ha aha ha ah
   
 9. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Lakini sa zingne tuangalie na vitu vya kusifia. Sasa huko shimoni amewasaidiaje hao wanaapolo? Je kama angepata matatizo kwenye shmo?
   
 10. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Subirini msikie kauli za utata toka kwa yule mbunge wa Simanjiro kesho lazima atang'aka kwamba anaingiliwa jimboni kwake.
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ameona matatizo ya shimoni na hivyo akisimama kuwatetea wana appolo ataongea uhalisia wa mambo.
   
 12. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,519
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Mh. Joshua Nassari pamoja na CHADEMA wanataka kufahamu masaibu yanayowakumba wachimbaji wadogo wa madini kama ktk clip hii:


  Source: ITV Tanzania yuoutube 27/08/2012
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Narudia tena, huyu ni kijana anapaswa kujua mambo ya uchumi wa vijana wenzake!! Mnataka Wasira aingie huko mashimoni ili iweje!??
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  josh nassari amefanya madiwani wengi wa arumeru kukalia kuti kavu.
   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Safi sana!huyo ni mwanapolo karudi manta kuangalia mambo inavyokwenda.Hiyo ndo true leadership sio wengine wanaenda shambani na suti na mkeka.
   
 16. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  faraja ni tiba tosha
   
 17. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utamsaidiaje mtu kabla hujaelewa matatizo yake na uhalisia wake? Ukishaona hali halisi ndipo utakapopanga mikakati ya kutoa majawabu kwa yale uliyoona. Nasari anajitahidi ili atoe majibu nyenye majibu ya kudumu si ya kukurupuka (hit and run). Nasari kupata matatizo si tatizo matatizo yapo tu siyo lazima kwenye machimbo. Au unataka kutuambia kuwa wabunge ni wateule kazi yao ni kutanua tu kama hao wa CCM? Well done Nasari
   
 18. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeielezea vizuri sana. You could not have said it better. Nasari anaonyesha ujasiri safi sana.
   
 19. Imany John

  Imany John Verified User

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  ameenda kuuza viroba,hahaha i love tanzanite.
   
 20. TOFU

  TOFU JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 532
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Iyo ndo kura yangu jaman
  Big Up Joh !!!!g!!
   
Loading...