Taifa liheshimu uhai 100% hatua zote

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Ya Moro hakuna kauli makini toka selikalini kukemea tukio la fedheha
Tujifunze kwa USA tukio la kutoa uhai hukemewa punde na mikakati ya usalama ya hali y juu kufuatilia.HIVYO TUITAKE KATIBA YETU ITUPE MAJIBU KWA VIPENGELE MAHUSUSI KUTEGEA UHAI TOKA KUTUGWA MIMBA HADI MAPENZI Y MUNGU.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 200%, hii ndio sababu napinga SENSA ya CCM. Kama kweli serikali ya CCM inahitaji idadi ya watu, kwanini Mapolice wake wanatuua? Sensa ni muhimu lakini sio hii ya CCM
 
Back
Top Bottom