Hotuba ya Mbowe - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Mbowe - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 28, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana na hii video ya Mh! Mbowe akielezea Jinsi JK alivyohongwa Suti ili kumtetea mwekezaji. Kama Rasilimali zetu zinauzwa kwa thamani ya suti tutegemee nini kwenye hizi deal za Mafuta na Gesi? uwekezaji wa namna hii utalinufaishaje Taifa na Kumkomboa Maskini?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huenda hapa mover ni yule mama Rahma Kharoos Kasiga anayemhonga jamaa urodaz. Tanzania sawa inaliwa na kila ***** kutokana na kukosa uongozi. Nchi iko kwenye autopilot sasa kila kibaka na changu anaweza kuja kwa jina lolote zuri kama vile mwekezaji mfadhili hata mjasiriamali akahomola. Tunapaswa kuamka na kuondoa uchafu huu haraka bila kungoja 2015. Leo utasikia kuwa wananchi wa Mara wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na sumu aina saba zinazotapishwa na mgodi na hakuna anayestuka wala kuingia mtaani. Je tumegeuka kondoo tunaochungwa na fisi?
   
 3. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mkuu nadhani jibu la swali lako ni " TUTEGEMEE WEZI WA KUKU KUFIA SEGEREA, MAFISADI WANALINDWA NA HAO WALIO HONGWA SUTI"
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mkweree anawahimiza wauze vitalu vya gesi asilia upesi iwezekanavyo ili achukue chake kabla hajaondoka magogoni; hapo wananchi mliokwenye idara husika ni lazima muwe wazalendo na kuwafichua ufisadi wanaotaka kuufanya huko kwenye machimbo ya gesi!! Msilaze damu kama tulivyoibiwa wakati walipochukua migodi ya dhahabu!!
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kaka umepatia hapo jamaa anataka apate suti za mwisho mwisho na zawadi kadhaa awagawie riz1,membe,migiro,mbopo,na ramadhan ighodu lile jamaa la usalama.
   
 6. t

  tenende JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ukinikumbusha haya napata HASIRA MIMI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.....
   
 7. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani wewe una wasiwasi gani? hakuna marefu yasiyo na Ncha. kila mhujumu Nchi yake mwisho wake ni maisha ya mashaka na mateso matupu.kuna watu maisha yao huko tuendako yatakuwa ni magumu na pengine kuliko maisha aliyoishi MATONYA.
   
Loading...