Nani atakua 'mkombozi" wetu 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani atakua 'mkombozi" wetu 2015?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kidi kudi, Aug 29, 2012.

 1. kidi kudi

  kidi kudi JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Nimejaribu kuangalia mwenendo wa serikali hii iliyoko madarakani kwa sasa kwa kusema ukweli, hali ya ule umoja na undugu ambao hapo awali ulikua mkubwa kwa asilimia kubwa umepungua kiasi cha kufanya tunadorora katika sekta mbalimbali.

  Swali ni je,2015 nani ataeweza kuiongoza nchii ambayo tayari watu tupo kimapande mapande,kama si pande la kidini basi la kisiasa na kama si pande la kifisadi basi la kizalendo, nani ataturejeshea umoja wetu kupitia viongozi wa vyama vyetu hivi vya siasa? 2015 kuna matumaini ya kupata Tanzania 1 au tutaendelea na giza lililopo?
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mkombozi wako ni wewe mwenyewe. Ukisubiri kukombolewa utaishia kuwa mtumwa. Tumia uelewa wako vema, na 2015 utaweza kujikomboa.
   
 3. J

  Joblube JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kura yako itumie vizuri ndio mkombozi wako ukikubali kutumika umekwisha 2015
   
 4. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kura yako tu.......
   
 5. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Katiba itakayoruhusu serikali ya Mseto au Umoja wa Kitaifa. Si mnaona Zanzibar siku hizi? Hakuna mabomu wala cha mtu kuuwawa... Ubinafsi ndio unaotumaliza. Serikali itakuwa ya uwazi katika kujenga uchumi, si mnaona kule Kenya? Chadema ikishinda 2015 (mfano) CCM watakuwa wapinzani, wataendelea nao kufanya mikutano na maandamano yasiyokwisha, tuondoe wazo la kuwa itafifia kama KANU. CCM ni kitu nyingine bwana.
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Dk slaa
   
 7. m

  malaka JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Naungamkono. Kura yako tu!!
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nauza kura yangu!
   
 9. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa kawaida bindamu ni mbinafsi, ni muhimu kuwa na katiba bora tutakayoiheshimu na kuifuata bila kujali matabaka ya raia na viongozi.
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Ni kura yako tu, Ukimtaka fisadi lowasa toka CCM DHAIFU sawa, Ukimtaka Mnafiki S sitta toka CCM DHAIFU sawa, Ukimtaka Dhaif. B membe nduguye JK toka CCM DHAIFU sana Sawa.
  Mwisho ukimtaka Dr slaa wa ukweli, jamaa very bright toka CDM ni sawa pia
   
Loading...