Polisi Mwanza wazuia kufanyika kwa mkutano wa M4C | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Mwanza wazuia kufanyika kwa mkutano wa M4C

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Aug 28, 2012.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika kile kinachoonesha kuwa ni mwendelezo wa jeshi la polisi kuitikia maelekezo bila kutafakari madhara yake leo asubuhi jeshi la polisi wilaya ya Nyamagana wameamua kuzuia mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike kwenye viwanja vya Sahara kwa sababu za kutokuwa na polisi wa kulinda mkutano.

  Hali kadhalika ni kupisha zoezi la sensa kuendelea ilihali tayari maandalizi ya mkutano yalipangwa mapema na polisi wakaomba ufanyike leo.

  Hoja hii imeleta mtafaruku mkubwa kati ya viongozi hao wa CHADEMA waliokuwa wanaongozwa na mh WENJE(MBUNGE),na mh JOHN HECHE SUGUTA (MWKT WA VIJANA TAIFA) katibu wa chadema mkoa MSHUMBUSI.

  "KUNA UTATA HAPA AMBAO UNAAMBATANA NA MAELEKEZO MBUNGE HAWEZI KUZUILIWA KUZUNGUMZA NA WATU WAKATI ANACHOTAKIWA KUFANYA NI KURUDISHA MAJIBU YA NINI MWELEKEO WA JIMBO KIMAENDELEO NAWAHAKIKISHIA WATU WANGU KUSANYIKENI IPASAVYO TUZUNGUMZE" - WENJE

  "MIMI NADHANI POLISI MLICHOTUMWA HAMTAFANIKIWA MIMI NILISHAJUA KUWA KWA SASA MNATEKELEZA YA CCM, SWALA LA MKUTANO NI LA KISHERIA NA TUMEFUATA TARATIBU ZOTE MKUTANO UKO PALE PALE"
  HECHE

  NTAWAJUZA ZAIDI NINI KITAJIRI

   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haya ukaburu umepamba moto, sasa tufanyaje.
   
 3. k

  karatta Senior Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we r waiting
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pinda unalipeleka wapi hili taifa?
   
 5. a

  afwe JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Polisi! polisi! polisi! ni jeshi gani hili linalotii bila kutumia akili?
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Takukuru nahisi hapa kuna harufu ya rushwa kotoka kwa Makaburu weusi wa Tanzania.
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  .....[/QUOTE]

  Hakuna maandamano yasiyo fuata utaratibu, zoezi la sensa ni la muhimu zaidi na la kitaifa kuzidi maandamano ya CDM. Polisi msiogope mtu kwenye kutekeleza sheria hata awe nani, waki beep nyie pigeni km jana morogoro.

  Kwani sasa yaonyesha watu wanataka madaraka na umaarufu kwa nguvu. Msiogope mtu, tekelezeni sheria na mdhibiti hali kwa njia yoyote. Hii ni nchi ya utawala wa sheria , si nchi yakuongozwa kihuni huni.

   
 8. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Pass za Form IV za kujiunga na kazi ya upolisi zipandishwe mpaka pt 24, ikihusisha credit (C) ya English na Hesabu. Polisi wengi wa vyeo vya chini wana uwezo mdogo sana wa kufikiri; wao ni kwata na kupiga.
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sheria lazima ifuatwe, na hakuna maandamano bila kibali. Na polisi wako kamili gado, hata nzi hata sogea

   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa wanaweweseka hawa.
   
 11. k

  karatta Senior Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  polisi wanatekeleza ilani ya chama tawala,coz pinda alisema,kama wakuu wa wilaya na mikoa wanatekeleza ilani chama na hoa hao ni wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama what do u think!
   
 12. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Kila mara polisi wa kuzuia mkutano wapo, wa kuloinda ndo hawapo! Mtatuua sana kwa ufedhuri huu!
   
 13. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwenu ndio wahuni
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  'Uhuru bila mipaka ni sawa sawa na utumwa, na demokrasia bila mipaka ni sawa sawa na wenda wazimu' JK Nyerere.

   
 15. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana polisi wa kulinda mkutano lakini polisi wa kuua raia wanao, hivi hawa jamaa huwa hawapimi maneno wanayoongea?? Hatari sana!
   
 16. KML

  KML JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  yani kuna watu wana comment kama wamewwekewa mavi midomoni
   
 17. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nawahakikishia jinsi ambavyo polisi wanahaha kwa yaliyotokea Morogoro hawatathubutu kufanya tena ujinga wao.Songeni mbele mpka kieleweke.

  Hata makaburu kule south Afrika walipata support kutoka kwa weusi wachache ambao ni wanafiki,lakini sasa aibu iko kwao na kizazi chao. Iko siku familia ya akina Chagonja,Mwema na Shigolile watakosa amani.
   
 18. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Yote Haya ni maelekezo ya Pinda!! Na liwalo na liwe!! Duh sijui kama tutafika!!
   
 19. I

  Iramba Junior Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......[/QUOTE]

  Ndugu yangu hata kama unatumwa jaribu kuilazimisha akili yako japo itafakari zaidi.
   
 20. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Pia nasikia Huko Morogoro kuna Uhuni umefanyika na Magazeti yote yenye Taarifa za yaliyotokea Jana Hayapo Mtaani!! Sijajua nani Kayanunua kwa Jumla!! Hadi Aibu!!
   
Loading...