Je hii siasa mpya tume Export ama Import kutoka Kenya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii siasa mpya tume Export ama Import kutoka Kenya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MkamaP, Aug 28, 2012.

 1. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  siasa ni utamaduni !
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona uzi mifupa mitupu?
   
 4. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Klick hiyo link, kuna minofu tupu.
  Kifupi pale mombasa kuna ustadh kapigwa risasi, sasa waandamaji waka-storm makanisa na kuyapa kibiriti. Polisi wakaingia kati ktk vurugu zile polisi wanatupa mabomu yao ya machozi, waandamanaji wakatupa bomu la ukweli na kuua polisi kadhaa. Kimbembe bado kinaendelea.
   
 5. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Du!waislaam ni janga la dunia, sasa hapo makanisa yamewakosea nini?
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ee Mungu hii dini ya kuuwa wangine ili waje kwako wapate wanawake ma bikra ni kweli??
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Aliyeuliwa wa mwanzo ni sheikh, labda sijakuelewa wenda unaongelea dini ya hao waliomuua sheikh. Kabla ya huyu kuna sheikh mwingine alitekwa na kukatwa kichwa.
   
 8. m

  mharakati JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ndugu zangu waislamu bana uwa wananisikitisha sana na hizi jazba....

  Katika nchi nyingi zenye dini kubwa mbili ya uislamu na ukristo hapa Afrika ukitoa Sudan,(ambapo waarabu wana elimu na hela zaidi ya wakristo weusi) waislamu wengi ndiyo maskini zaidi, na hawana elimu ya kutosha ukilinganisha na wenzao wa dini nyingine na bado badala ya kujiunga na wenzao hawa wanazidi kujitenga na dhana ya kuonewa (angalia Ethiopia, Kenya, Tanzania, Nigeria, Ghana) nchi zenye waislamu wengi kidogo.

  kawaida waislamu wanakua wana matajiri wawili watatu wakubwa kuliko wote ndani ya nchi husika, huku wakristu na dini nyingine wakiwa ni wasomi zaidi na wenye hali ya kuridhisha kimaisha kwa zaidi, huku lundo lilobaki ni waislamu...Haiwezekani wakawa wanaonewa sehemu zote hizi zenye historia, rasilimali, ukubwa na tamaduni tofauti tofauti na vile vile dhuluma ya wengi uwa ni wazi na inaonekana haijifichi haswa kwa kundi sensitive na emotional kama waislamu..lazima itakua ni tatizo la kimfumo na kitamaduni ndani ya umma wenyewe wa waislamu....sema exporting matatizo kwa wengine ni therapy nzuri sana kujisahaulisha kua wewe ni tatizo na umeshindwa kulitatua. (and so kuchoma makanisa n.k huku unaweza kukuta trigger man ni muislamu)


  too much of theological thinking in place of real World problems and solutions is indeed misleading and blinding...christian europe saw this fallacy and they imported education from middle east and gun powder from china, muslims elites know this and they import all the goods from others and they stay competitive while poor muslims remain less competitive bcoz they refused to innovate, tolerate, and cooperate.
   
 9. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  The case here goes like this,one month ago, one sheikh was kidnapped and then beheaded by unknown assailants. Yesterday or day before, again, another sheikh was gunned down to death by unknown assailants. With this regard, people in that region protested that, their government is not doing enough, nonetheless, the government responded by bombing.
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  "Mombasa si Kenya".
  Hizi siasa za Mombasa ukizijadili kwa kutumia experience ya Kibongo lazima upotee.
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mungu amewajaalia wakristo upole wao wakajaaliwa jasba!
   
 12. m

  mharakati JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nafuatilia mambo ya Afrika kwa karibu sana usiwe na wasi wasi ndugu sijaenda nje ya topic ila tu kuonyesha kua kwa nini watu waunguze makanisa kwenye nchi ambayo haina uhasama wa wazi wa kidini? sijui umenipata hapo haina haja ya kuunguza makanisa kwa sababu hii kwani je kama wameuliwa na majambazi, labda hawa masheikh walikua na maadui binafsi, au wameuliwa na serikali, lakini je serikali ni makanisa? hapa sasa nikaja na hii narration ya haya matatizo na kwa nini waislamu wanapenda kuexport matatizo kwa wengine wakati ni yao
   
Loading...