Mwenyekiti UVCCM na mauaji ya Morogoro

kupelwa

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
1,087
450
Nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "CHADEMA wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?

Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?

Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.Kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?

CHANZO: CHANNE TEN TV SAA MOJA NA NUSU
 
You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father's desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of lies.

John 8:44

Watu kibao Msamvu wameshuhudi live, huyu ni binaadamu kweli. Aende kwa kiongozi wake wa dini kwa counselling.
 
Sijui CCM waliangalia nini wakati wanampa kazi huyo Shigella! Huwa anazuka kwa kazi moja tu - kulaani. Hana jipya, haingei kuhusu umaskini wa watanzania, ajira etc yeye ni kulaani! Mungu is Athumani.
 
Ninamnukuu
"haingii akilini police kuwaacha wafuasi wa Chademu na kuvamia wapita njia. Naomba uchunguzi ufanyike ili kubaini aliyehusika katika tukio hilo..
MY TAKE...hivi huyu kijana/mzee maneno aliyoyasema kaagizwa na mtu au kakurupuka na kuongea na vyombo vya habar... inakuwaje anawatetea police akijua fika wao ndo walianzisha fujo.. Na kwa nini watumie risasi za moto... Pia hajui kuwa walikuwa wanaachia risasi ovyo ambavyo inaweza kumpata mtu yeyote???
Kweli CCM inatuangamiza kama na hawa vijana wanafata mwelekeo wa wazazi wao...!!
SERIKALI IMEPOTEA WANAGOMBANIA UFALME NA UMALIKIA.
 
Sijawahi kuona mtu mbumbumbu katika reasoning kama huyu mjamaa! Yaani kwa maneno mengine ana maana ya kwamba ingekuwa polisi ndiyo wanahusika, basi wangemlenga mfuasi wa Chadema aliyevaa scarf etc, na siyo muuza magazeti. So polisi wanatakiwa kuwalenga Chadema?

Duh! Kweli CCM ina viongozi!!! That is why the party is sinking very fast!!!!!!!!
 
Tupatie jina lake, yamkini ni yule "chizi wa mitaa ya Morogoro", sometimes hutoa mapovu mdomoni akiwa anongea!!
 
kwanza yule si kijana kama CCM haina vijana basi haiwezekani mzee yule kuwa kijana. Nimeona Channel Ten anasema chadema Ndio watakuwa wamemuua muuza magazeti. Eti polisi hawawezi kuwaacha wenye kofia na mabango wa chadema na kwenda kumpiga muuza magazeti.
 
You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father's desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of lies.

John 8:44

Watu kibao Msamvu wameshuhudi live, huyu ni binaadamu kweli. Aende kwa kiongozi wake wa dini kwa counselling.
 
Shigella ndio kiumbe gani iko?maana japo sikujuhi lakini kama ndio kimetoa kauli hiyo,basi naridhia kusema kua ubongo wake utakua sawa na wa kuku
 
Sijawahi kuona mtu mbumbumbu katika reasoning kama huyu mjamaa! Yaani kwa maneno mengine ana maana ya kwamba ingekuwa polisi ndiyo wanahusika, basi wangemlenga mfuasi wa Chadema aliyevaa scarf etc, na siyo muuza magazeti. So polisi wanatakiwa kuwalenga Chadema?

Duh! Kweli CCM ina viongozi!!! That is why the party is sinking very fast!!!!!!!!
 
but no matter what they say we got something they cannot take away....................catch a fire.......................catch a fire............Robert Nesta Marley! Hayo wanasema ni maneno ya mkosaji na mwongo,UZURI MMOJA ccm WAONGO lakini KUMBUKUMBU na AKILI kidogo, tatizo siyo kwamba hawana kabisa!
 
Si kuwa na akili kidogo bali kuwa na tope vichwani mwao.
Hii tu ni uthibitisho kuw sasa vijana wa ccm ni ubwabwa tu!
 
Sijawahi kuona mtu mbumbumbu katika reasoning kama huyu mjamaa! Yaani kwa maneno mengine ana maana ya kwamba ingekuwa polisi ndiyo wanahusika, basi wangemlenga mfuasi wa Chadema aliyevaa scarf etc, na siyo muuza magazeti. So polisi wanatakiwa kuwalenga Chadema?

Duh! Kweli CCM ina viongozi!!! That is why the party is sinking very fast!!!!!!!!

Mkuu tatizo nikisimu changu chamchina tu!Chukua Like kubwa!Mod mpeni hiyo kijana!
 
Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu mwanasiasa kijana hana sifa ya kuwaongoza ninyi wana CCM other wise anawakilisha maoni potofu yenu
 
Alikuwa anaonekana kama amelewa gongo.Halafu huyu ni mzee wa miaka 45 eti anaongoza vijana,sura imemshuka makunyanzi yamejaa kila mahali.Tumsamehe bure...
 
Akili ya maiti! Mbona vijana CCM wanaaibisha vijana wa kitanzania ?
 
Back
Top Bottom