Message ya kugomea sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Message ya kugomea sensa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Precise Pangolin, Jun 17, 2012.

 1. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wanabodi kuna message inasambaa kwenye mitandao ya simu imeandikwa"WAISLAM WOTE NI MARUFUKU KUSHIRIKI KTK ZOEZI LA SENSA.ATAKAYEKIUKA WARAKA HUU ATAKIONA CHA MOTO MBELE YA ALLAH."
  my take
  message Kama hizi za kichochezi ni hatari sana ikizingatiwa hili zoezi linaendeshwa na serikali ambayo hafungamani na dini yeyote
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Leta na ile message ya uchaguzi 2010!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tume ya katiba mbona uchaguzi ulishaisha zamani sana na rais aliyeshinda anajulikana pia Rais aliyetangazwa na Tume ya ccm anajulikana pia
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tanzania ina utulivu na haina amani.
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  msg ya kihuni Allah hawezi kumuonesha Mwanadamu cha Moto kwa kuheshimu Mamlaka za Duniani
   
 6. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kaka msg umeisoma ukiwa na mtizamo hasi, na hili ni tatizo siyo kwako tu bali hata kwa wenzako wengi. Msg haichochei kitu isipokuwa ni taarifa ya kiimani inayowahusu waislam, wewe kama siyo muislam hiyo msg haikuhusu na wewe jipange kuendelea na sensa. madai ya waislam ni ya kimsingi na hakuna hoja ya kuyafanya yaonekane kama hivyo unavyodhani. acha msg serikali imesha pewa taarifa ya kimaandishi kuwa kama sensa haitoweka vipengele muhimu basi mhesabiane nyinyi wenyewe wengi wakristo. Ni aibu kubwa sana kwenu kwani mitandao yenu mnajitangaza mko wengi sasa mwahofia nini kwa kipengere cha dini kuwekwa? Mrudieni Mungu, otherwise mtapotea.
   
 7. p

  petrol JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Serikali iendelee na sensa. Takwimu zitakapotoka watu wasije kulalamika kuwa hawakuhesabiwa au kwa huduma hjazitoshelezi kwa sababu serikali itakuwa inatumia takwimu zisizojumlisha baadhi ya watu bila kujali ni madhehebu gani. Tunaingia kwenye mchazo mchafu kwa vigezo vyovyote vile.
   
 8. k

  kanganyoro Senior Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waislamu ni watu wa ajabu sana, Ok sensa imehesabu waislamu ni 87% what next? Barabara zitakuwa ni ten ways au mafuta yatashuka bei?
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,178
  Likes Received: 10,517
  Trophy Points: 280
  Waislam bana...
   
 10. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  upumbafu tuu.
   
 11. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  binafsi ni mkristo ila SITASHIRIKI sensa.!
  serikali imekua ikipuuzia kitengo cha takwimu na haipangi shughuli za maendeleo kupitia takwimu hizi za sensa na nyinginezo.
  Sensa ingetumiwa vizuri:
  1. Kusingekua na ukosefu wa walimu na vifaa vya elimu
  2. Kusingekua na ukosefu wa huduma za afya
  3. Kusingekua na ongezeko kubwa la ukosefu wa ajira
  4. Kusingekua na mgao wa umeme
  5. Kusingekua na foleni na msongamano ktk jiji la Dsm
  etc

  binafsi naona ni upuuzi kushiriki jambo kwa ajili ya kuombea mikopo na misaada ambapo haininufaishi kwa chochote
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Waliyaleta wenyewe!!
  Waliyachekea wakati wanaambiwa huu mchezo ni mbaya!!

  Wakachekelea wakifikiri wanawakomoa chama pinzani!!

  Sasa ngoja wanadhalilishwa!!
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni aibu kubwa iwapo Waislamu watakubali kugomea sensa kwa kwa kufuata akili ya mastermind mmoja-Issa Ponda. Je kitendo cha kugoma kwao kinashawishi vipi Jamii ya watanzania waelewe msingi wa madai yao?
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  Mkuu Petrol, zoezi la sensa ni la lazima sio option kama uchaguzi, its a must hakuna room ya kusema anayetaka!.

  Mimi nawaunga mkono ndugu zetu Waislamu ili kikiongezwa hicho kipengele cha dini na cha kabila tutakipenyeshea hapo hapo angalau tujue wale Wahdzabe waliokuwa 250 sasa wamebaki wangapi. Miaka ya 80 iliwachukua kinguvu watoto wao 4 na kuwasomesha boarding mpaka la 7 hakuna aliyefaulu, lakini wote wanne wakapelekwa Pugu na kusomeshwa mpaka form four, wote walipata Div. 0!. Wakarudishwa kwao msituni ili kupeleka civilization kwa ndugu zao ikiwa ni pamoja kuwajengea nyumba za kisasa na kupewa nguo na vifaa vya kisasa!. Baada ya mwezi mmoja serikali ilirudi kuwatrace ilikuta vile vitu vyote walivyowapa viko pale pale walipoviacha na yale makazi yakiwa kama yalivyo na more surprising hata zile nguo za wale wasomi 4 nazo walizivua na kuziacha!.

  Hivi tutaendelea kuwategemea wazungu mpaka lini?. Wazungu watuhesabie tembo wetu, Mama Jane Goodhall atuhesabie sokwe wetu!, sasa hata makabila yetu nayo ndio tusuburi wazungu watuhesabie?!.

  Tulipopata uhuru tulikuwa na makabila milioni 12 na makabila 120, kwa wastani wa watu laki moja kila kabila, sasa tunaenda milioni 50 kwanini tusijue na makabila!.

  Mfano wangejua kabila linaloongoza kwa procreation ni kabila gani ili elimu ya uzazi wa mpango iwe concetrated huko na makabila gani yana hatari ya kufutika ili yaingizwe kwenye 'endagered species' ili kuyalinda!.

  Wangapi kati yenu mnajua Watindiga wamebaki wangapi?, Wahadzabe, Wasandawi, Wataturu Wabalungi, Wakonongo etc. etc.

  Kuna ubaya gani kujua tunawapagani wangapi, Hindu, Budha, Bahai, Baniani, Waislamu wa Ahamadiya, Waislamu wa Shia, Waislamu wa Sunni, Waislamu wa Ismailia, Waislamu Makadiani etc?. Kuna ubaya gani?.

  Kama rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa Mkatoliki, Mkapa nae ni Mkatoliki, Membe, Dr. Slaa na Magufuli nao ni Wakatoliki wanaosubiria kupangishwa pale nyumba nyeupe!, kuna ubaya gani tukiwajua wako wangapi, na Anglicana wangapi, Walutheri, Waadvetisti Wasabato, Memonite, Walokoke etc. etc. Hivi kuna ubaya gani?.
   
 15. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hakuna Rais nchi hii wala serikali.Mimi nilistaajabika pale walipoanza kubishana na tume ,kwamba yale waliokuwa wanatoa sio maoni yao bali wanaagiza serikali.Kesho na kesho kutwa wataiagiza serikali fedha zote za walipakodi zipelekwe madrasa kwanza.
   
 16. s

  sheky Senior Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siku zote nashangaa watu wanaodhani kuwa kwa kujikita kwenye udini kuna mafanikio kwa shida zao za kidini na za kibinafsi. Ila kama watu wanafikiri kuwa kwa kugoma ni kuleta mafanikio kwa jambo lao binafsi, basi nawaendelee, mipango ya serikali iendelee na kisha kwa wakati wao watahesabu hasara ya maamuzi yasiyopima na kuona mbali. Hata hivyo huu ni ujumbe toka mtu mmoja, Waislamu zaidi ya kuwa na itikadi ya umma, bado tuna uamuzi wa kufanya kama mtu mmoja mmoja, maana mbele za Allah atakayesimama sio anayeshawishi kwa niaba ya anayeshawishiwa, kila mtu atasimama kivyake kwa hukumu binafsi.
   
 17. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bro, massege haina maana yeyote ni upotoshaji mtupu kwa umma wa kiislamu. Hatuhesabu watu ili kujua idadi ya waslamu na wakristo,wagogo au wanyamwezi, wachaga au ... bali ni kujua idadi ya watu kwa mipango ya maendeleo. Huu ushindani kwa kiimani hautasaidia bali kuongeza mvutano usio wa lazima ktk jamii yenye kuvumiliana hasa tz.
   
 18. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nakubaliana nawe! Ni maono ya mtu mmoja au kikundi cha watu ambao ni wadini sasa wanadhani watawafanya wa tz nao wawe wafia wadini, laaaaaaaaaa!!! haya ni mambo ya afganistani, soundia siyo tz, kwetu twavumiliana na kusonga mbele!!
   
 19. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I am sorry to say, they are brain washed!!
   
 20. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu, Hakuna ubaya!! kuna woga ambao hauna msingi wowote..
   
Loading...