Safari ya Lema v/s JK London, ipi imeleta manufaa kwa watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Safari ya Lema v/s JK London, ipi imeleta manufaa kwa watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 29, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ndugu zanguni.
  Kama mjuavyo mheshimiwa Lema alikuwa hapa UK na alifanikisha zoezi la kufungua tawi la chadema UK.
  Pamoja na hayo faida kubwa ya safari ya LEMA ambayo haikugharimu zaidi ya pounds £2,000 aliahidiwa ambulance mbili ambazo jumapili iliyopita zilikabidhiwa kwa mwenyekiti wa Chadema UK Chris Lukosi. ambulance hizi zitaenda kusaidia wajawazito na wagonjwa wengine jimboni kwake.

  Wakati huo huo Mkulu alikuja hapa UK kuhudhuria semina ya uzazi wa mpango.
  Msafra wa mkulu ulikuwa na watu kama 70 hivi na walifikia kwenye hoteli moja kubwa sana hapa UK inaitwa CHURCHILL HOTEL . Gharama za chumba cha kawaida kwa mtu mmoja kwenye hii hotel ni £500. (vyumba vywa walinzi, mawaziri na familia nzima ya mkuli ni more expensive kuliko vya kawaida)

  Kwa hiyo watu sabini kwa siku ina cost £35,000 msafara ulikaa hapa wiki moja kwa hiyo iligharimu jumla £245,000 . hizi ni bila kuweka masuala ya chakula , usafiri, shopping nk.

  Ambulance alizopewa Lema zinauzwa £4,000 kila moja hivyo basi katika £245,000 tungepata ambulance 61 ambazo zingesambazwa nchi nzima. Mkumbuke tuliambiwa vibajaji vitumike kubeba mama zetu wanapokwenda kujifungua wakati watu wanakuja kuhudhuria semina ya uzazi wa mpango na kutumia mihela yote hii!.
  Maswali yangu kwa jamii.
  [​IMG]
  Kuna umuhimu gani kuhudhuria semina inayohusu wazazi wakati wazazi wenyewe unawaambia wapande bajaji?
  Kuna umuhimu ganin wa msafara mkubwa kama huo wakati kuna ubalozi hapa UK
  Kazi ya waziri wa afya ni nini?

  Kwangu mimi naona safari ya LEMA ina mafanikio makubwa zaidi kwa sababu walau amerudi na ambulance mbili na hakutumia hela nyingi £2,000.

  Hii wenzangu mnaionaje?? hata kama wewe ni CCM una mawazo gani hapa?
  [​IMG]
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakuunga mkono asilimia 100% inamanufaa sana na huwa CDM hawafanyi vitu kwa kuiga au kukurupuka kama CCM Nape alijaribu kuwaiga M4C akakwama sasa karudi Lumumba kuhubiri Propaganda
   
 3. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Thanx kwa mdadavuo huu......ila na huyo Lema kweli hajui gharama ya mercedes huku bongo mpaka achukue hizo????
  Hope next time atakuwa makini kwenye uchaguzi kutokana na hali ya huku sio bora tu tumepewa basi liwalo na liwe
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Safari ya Kamanda Lema imeleta faida kubwa ajabu. Elimu ya uraia sasa hufikishwa kila pembe ya nchi kiurahisi zaidi, wananchi kupata mwamuko zaidi na kuanza kudhibiti MAFISADI kutokuogelea mali ya umma kama zamani.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  kuwa mwanaCCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
  JK anapiga deal juu ya bega la mlalahoi.
  May God bless GodBless Lema.
   
 6. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu napenda kujua. Safari ya Lema iligharamiwa na Lema mwenyewe, CDM au wapiga kura wa Arusha? Kama iligharamiwa na CDM, CDM ndio wamepanga ambulance hizo ziende Arusha? Ni hayo tu.
   
 7. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Safari ya Lema iligharimiwa na Lema mwenyewe kwa mapenzi ya nchi yake
   
 8. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kulinganisha safari za JK na lema ni Sawa na Kulinganisha bajaji na boeng, lema ni one trip JK ni 670+ trip na mafanikio huitaji kuuliza maana ya lema iko wazi. Chopa, ambulance na nissani kadhaa JK ni net, kashfa na good time kibao anyway napita tuu huu sio mtaa wangu
   
 9. S

  Starn JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Du ambulance ya kisasa kabisa inauzwa £ 4000 kweli Tanzania scrap yad.
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Chilisosi,
  Unafanya makosa makubwa sana kulinganisha kati ya Lema, mbunge wa zamani wa Arusha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete, ni sawa sawa kulinganisha mlima Kilimanjaro na mlima Nyashana wa Mwanza.

  Halafu mbona unapotosha Lema kwenye mkutano wa Chadema alisema alipewa Chopa vipi mlimpa kweli halafu vipi mazumgumzo ya Lema na Meya wa London yalikuaje tujuze mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani acheni watu wa Ughaibuni waitwe wa Ughaibuni wala si bure hadi wenzetu mkabahatika kufika huko.

  Yaani kwa jinsi ulivyonyambua mahesabu humu tena bila chuki, hiyana wala kutumia za kiufundi zaidi, WaTanzania wenzako tumekuelewa safi kabisa juu ya huu utumbuaji wa fedha za umma bila hata ya chembe ya huruma jinsi gani kodi zetu zilivyo za kuungaunga tu huku Bongo.

  Kimsingi ninachojifunza hapa ni kwamba sisi kama mojawapo nchi zinazoendelea kusini mwa jangwa la Sahara wala HATUKO NA HALI YA UMASIKINI KWA KUWA NI MASIKINI bali tu ni kwamba katika historia hatujawahi kubahatika kuwa na UONGOZI MAKINI katika mipka yetu tangu Mwalimu Nyerere aondoke ofisini. Wengine wote hawa ni washereheshaji wakubwa yaani ni nyakua nyakua mali ya masikini bila hata chembe ya aibu na kurundika fedha kule mji salama wa Uswisi kusikofikika na sie wavuja jasho.

  Jamani unyambuzi huu hapa umeniharibia kabisa siku; nimechefuka kweli kweli na CCM na uongozi wake kwa kutumia fedha zetu vibaya sana huku wakiponda maisha katika hoteli za kifahari kila wanapoenda safari sawasawa tu na mataifa yalioendelea kiuchumi duniani!!!!!!!!!!!!!!!!!!


   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280

  Chilisosi,
  Wakati mwingine kama umekosa cha kuongea ni bora ukae kimya kuliko kujidhalilisha, wewe upo Uingereza umejuaje kama safari ya Lema kwenda Uingereza iligharimiwa na Lema mwenyewe.

  Hivi hunajua M4C ni mradi wa nani? Lema toka mahakama imvue ubunge hana kazi yeyote zaidi M4C ambao ni mradi wao Lema, Dr Slaa na Mbowe, hizo pesa za wananchi walizowachangisha ndio anazitumia kama zake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Linganisha vya kulinganishwa. Lema na Kikwete are a distance apart!
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu usitufanye wote sie ni watoto mkuu tuna akili zetu timamu. Ambulance unazo sema taarifa tunazo ni mtumba na zinaweza kuweko barabarani kwa mwaka mmoja tu, zinakuwa scrap value. Jipangeni tena hatudanganyiki
   
 15. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nisikilize kwa umakini...toa fikra ambazo ni Biased sawa na ikiwezekana kaa peke yako ili ujue uwezo wako wa kunyambua mambo. Kisha rudia kusoma na uchangie upya coz najua umekurupuka though u ar so ingeneous son.
   
 16. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sikatai ni mtumba kutoka UK na zitadumu kwa miaka si chini ya kumi wote tunaelewa gari used ya mwaka 2005 toka UK inaweza kuishi miaka mingine mingi sana nyumbani.
  Kwa kusema hivyo unaona bora kibajaji kutoka india kipya kimbebe mkeo kwenda kujifungua kuliko ambulance ya mwaka 2005?
   
 17. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lowasa kila siku anamwambia jamaa apunguze matumizi hataki
   
 18. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Ritz mdogo wangu nishakuonya na husikii kwa ulivyo peke yako humu jf hutaiweza cdm omba nape akuongezee watu au uache ,kimbunga m4c ni zaidi ya sunami!!
   
 19. darison andrew

  darison andrew Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye macho haambiwi taza:eek2:ma!
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wewe uliyokuwa na akili kama za Nguchiro unadhani JF ni mali ya Chadema...hili ni jukwaa huru kama wewe umekuja JF na kundi lako la Chadema usidhani wote ni Chadema.
   
Loading...