JWTZ wamtembelea kwa baba wa Taifa butiama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JWTZ wamtembelea kwa baba wa Taifa butiama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Aug 29, 2012.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nimefarijika sana kwa jwtz kuonyesha uthamini wao kwa kumtembelea mjane wa baba wa taifa hili na kumsaidia kufanya usafi kwenye eneo lake, hakika ni jambo zuri sana kwa kumkumbuka baba yetu mpendwa aliye lipigania taifa hili kwa akili zake zote na nia yake, na kwa moyo wake wote, na nguvu zake zote, inapendeza sana na hata mama kafarijika sana na hisi kakumbuka mengi sana enzi za uhai wa baba wa taifa wakati akitawala nchi hii.
   
 2. m

  markj JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  jwtz kuna nidhamu na udhalendo mkuu! hata post za professional walizisimamisha kwa sababu watu wengi waliochukuliwa na jwtz kutoka vyuoni wamepeleka usharobaro na uhuni kule jeshini, na wamekuwa wakikosa adau na wengi wamechukuliwa hatua za kinidhamu! na sasa jwtz wameamua sana kuwapromote wale waliojiendeleza kielimu kwenye nafasi za professional na ndo mana wamekuwa kimya kuhitaji watu! jwtz wa ukweli, achana na wanasiasa waliokuwa wanaomea mzee afe waanze kuliibia taifa waziwazi, i wish hii nchi ingeongozwa na jeshi hata kwa mwaka mmoja tu
   
Loading...