CHADEMA wajitoa kugombea ubunge jimbo la Bububu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wajitoa kugombea ubunge jimbo la Bububu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Aug 29, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Wednesday, August 29, 2012
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]MSIMAMIZI wa Uchaguzi mdogo Jimbo la Bububu, Ali Rashid Suluhu akimkabidhi fomu mgombea Uwakilishi katika jimbo hilo kupitia chama cha Mapinduzi, Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) wakati mgombea huyo alipokwenda kuchukua fomu katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Wilaya ya Magharibi zilizopo Maisara mjini Unguja.[/TD]
  [TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
  [TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
  [TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
  [TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  ............................................

  Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Bububu unaotarajiwa kufanyika tarehe 16 septemba 2012 umeanza kuchukua kasi baada ya Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Hussein Makungu kukabidhiwa fomu na msimamizi wa wa Uchaguzi mdogo jimbo la Bububu.
  [TABLE="width: 638"]
  [TR]
  [TD="width: 286"][/TD]
  [TD="width: 352, align: left"] Ratiba ya Uchaguzi huo mdogo Jimbo la Bububu inaonyesha tarehe 30 agosti 2012 ndio siku ya Uteuzi wa wagombea na kuanzia tarehe 31 Agosti -15 Septemba 2012 ndio kipindi cha Kampeni na tarehe 16 Septemba 2012 ndio siku ya kupiga kura.

  Katika Uchaguzi huo Mdogo Jimbo la Bububu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimeamua kujitoa kushiriki katika uchaguzi huo.

  Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha mwakilishi wa zamani Salum Amour Mtondoo,kilichotokea Februari 14,mwaka huu.
  Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar vyama vilivyojitokeza kusimamisha wagombea ni CCM,CUF,TADEA,SAU,NCCR-MAGEUZI,Jahazi Asilia,AFP na NRA (rundugai blog)[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. JJB

  JJB JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani ni mawazo yenye hekima ndio yanafanya kazi. Hakuna haja ya kujishugulisha na jimbo la uwakilishi lenye wapigakura wasiozidi 6000 wakati kuna majimbo huku bara yenye wanapiga kura mara kumi zaidi.
  Malengo kwanza.
   
 3. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hatuna habari na uchaguzi usio na tija kwetu, tunajua watu wa huko hawapigi kura kwa kufuata sera za mtu, so no need to waste our valuable energy waache wafu wazikane wao kwa wao. Sisi tunataka kukomboa Tanganyika yenye wakazi Milioni zaidi ya aribaini na utajiri wa kutosha na wananchi wenye kuelewa maana ya sera sio watu milioni moja wasiojua wanataka nini kila siku wanalalamika. Hivi atashinda nani mume au mke (CCM au CUF)
   
Loading...