Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fisadi Mtoto, Aug 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya.

  Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya
   
 2. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 4,452
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  Duh! Vitumbua na elfu 2?
   
 3. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh, mkewe huyu huyu DR. Bayoum wa AMREF?? Kazi ipo!
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pia Wamuulize Mtihani wa Darasa la Saba aligushi jina la MTU ni kosa la JINAI kwahiyo ni kesi akishindwa anapelekwa JELA MIEZI

  10... LOL How nice... Kijizi hicho... za Mwizi Arobaini...
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,606
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ndo kawaida ya CCM. Mwaka 2010 TAKUKURU walikamata sana rushwa kwenye kura za maoni za CCM baada ya hapo wakaenda likizo. Kwani hawa jamaa wanawajibika kwa CCM moja kwa moja? Kama ni kweli shame on you Dr Kigwangala.
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Siasa si hasa ila visa na mikasa...
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hapo amejidhihirisha ni mwana CCM kwelikweli.
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,960
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huwa anajiona Msafi kweli kijana anagawa vitumbuwa hii ni aibu. CCM mnapigia mtu kura kisa amekuapa 2000 na kitumbua? Shem on YOU.
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tuliambiwa hakuna aliye safi ndani ya hicho chama
   
 10. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Namsubiri Dr aje hapa jamvini athibitishe au akanushe maana ni member hapa, lakini kwa VITUMBUA NA ELFU 2!! Kweli mtaji wa CCM ni Umaskini wa Watanzania.
   
 11. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Takukuru mkoa wa Tabora inaonekana ni imara kuliko takukuru head quarter, nakumbuka waliwahi kumkamata mama magreth sitta usiku wa manane akigawa rushwa.
  ILE SHERIA YA VIBOKO 12 BADO IPO ? kigwangala akaoneshane na mkewe wakitoka jela.!
   
 12. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,156
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bashe ndio zake hizo
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda sana hii! Perfect.
   
 14. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,211
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Rushwa kwa CCM ni kama hewa ya Oxgen kwa binadamu.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Vitumbua 2000 ha haa haaa rushwa zingine bana inabidi mtu ucheke tu.
   
 16. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sifa za kua mwana CCM... so katimiza wajibu wa chama.
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,885
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Vitumbua???Walikuwa wamepanga mstari???
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,550
  Trophy Points: 280
  Vitumbua??????
   
 19. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Dah this is too low kwa Dr.....anahonga vitumbua! Kikiingia mchanga jee? Kama yeye anahonga kitumbua akipata hicho cheo si anaweza kuhongwa utumbo wa kuku huyu! Aibu!
   
 20. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni zaidi ya oxgen ndio moyo ukito kap chama kinakata roho
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...