Twiga wa Tanzania aliingizia Jiji la Karachi zaidi ya USD 1.8Billion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twiga wa Tanzania aliingizia Jiji la Karachi zaidi ya USD 1.8Billion

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Deus F Mallya, Aug 29, 2012.

 1. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa za kuaminika kutoka kwa mmoja wa maofisa wa Safari Park iliyopo Gulshan-e-Iqbal huko Karachi Pakistan kuwa tangu wapokee Twiga na wanyama wengine kutoka Tanzania wamefanikiwa kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje kwa zaidi ya 260% kiasi cha kufanikiwa kukusanya zaidi ya USD 1.8Billion kwa kipindi cha mwaka mmoja!.

  Nimejiuliza: Bado Serikali ya JK ina credibillity ya kuendelea kuitwa Serikali?
   
 2. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Tupatie chanzo cha habari ili hoja iwe na mashiko.
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wanaweza kuwa wanakuheshimu lakini kumbe ni mtu wa hovyo
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  bado....
   
 5. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Serikali na vyombo vyake ya ulinzi utaviona linapokuja suala la CHADEMA na wanaharakati. Nje ya hapo utasikia kashfa za ngono, rushwa na upuuzi mwingine.

  Toka Mzee Mwinyi amkabidhi Malah Malah mbuga zetu, Waarabu muda huu wana serengeti ndogo huko makwao. India na Pakistan nazo ni moja ya nchi zilizofaidika sana na ufisadi ktk sekta ya wanyama pori. Si hivyo tu muda huu human traffic nayo ni biashara kubwa kama ya wanyama pori tu. Tanzania aibu tupu.
   
 6. m

  malaka JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sasa ni muda wa vitendo.. Maongezi, malalamiko, uoga is too much sasa.
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nani anajali?
   
 8. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  yule jamaa aliyepindua gari ya Chacha Wangwe alikuwa anaitwa nani vile?
   
 9. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Inawezekana, lakini ujue hao watalii ni wale ambao hawana uwezo wa kuja Tanzania. Fikiria population ya Pakistani robo yao wakiweza kuingia kwenye park na kulipa $ 10, kitapatikana kiasi gani? Unaonaje na sisi au (serikali yetu) ikaanzishe vitega uchumi vya aina hiyo kule mashariki ya mbali?
   
 10. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu kiukweli ninashangaa hivyo vyombo vinavyojiita vya usalama huwa vinakuwa wapi wakati wa wizi mkubwa kama huu unapofanyika!..
   
 11. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Liwalo na liwe!
   
 12. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unaonaje na sisi au (serikali yetu) ikaanzishe vitega uchumi vya aina hiyo kule mashariki ya mbali?[/QUOTE]

  Tumeshindwa ku Export viberiti au Mboga za majani tutaweza kufanya uwekezaji 'mkubwa' hivyo?
   
 13. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhh.. I Can See!..
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna ukweli make yule kiongozi wa kutorosha wanyama nje ni mpakstan. Na kwa hayo mapato kama ni kweli yatakua yamepiku ya TANAPA
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Crucifix
   
 16. m

  manucho JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kabisa, hawa hawa viongozi ndiyo wanauza wanyama huko nje at the end utalii hapa TZ utakwisha.

  Mbuga zinatengenezwa huko ulaya, asia, uarabuni wanyama hawahawa ndiyo wanapelekwa huko utalii unaendelea huko kwao, bdae watalii watakuja huku kufanya nini? Kuangalia kipi? Massira?
   
 17. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bdae watalii watakuja huku kufanya nini? Kuangalia kipi? Massira?[/QUOTE]

  Massira nalo ni likivutio tosha..Kivutio kingine huku ni Mbu na kinamama wanaolala Mzungu wa nne na wengine chini huko mahospitalini mkuu.
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Rama pamoja na mwenzake Zoka
   
 19. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  hivi unapoenda dukani kununua kilo mbili za mchele itakuwa yule aliyekuuzia ni mwizi, fisadi au magendo???? je uuzwaji wa sukari hauko kihalali,je maduka hayakatiwi leseni na yenyewe kuuza kwao sukari si ndiko kunawaingizia FOREX
  Siasa ni mchezo mchafu wa kupakana matope kwa wasafi na wachafu pia.....NA % KUBWA YA WATANZANIA NI WANASIASA
   
 20. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  **** kiongozi mmoja aliwahi sema WIVU WA KIJINGA
   
Loading...