KIGWANGALA akanusha kukamatwa, Kumbe BASHE ndiye aliyekamtwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIGWANGALA akanusha kukamatwa, Kumbe BASHE ndiye aliyekamtwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Aug 29, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,600
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  NIMEITOA HUKO FACEBOOK,
  Kwa maandishi yake mwenyewe ansema:
  "Sijakamatwa mimi wala Mke wangu mpenzi, na wala hatujahojiwa na TAKUKURU, na sijui ofisi ya TAKUKURU ikoje! Hizo ni fitna za magazeti yanayotumiwa na wanasiasa uchwara kwa kulipwa vimlungula kidogo. Nashukuru vyombo vya habari vimenipa umaarufu wa kisiasa kidogo, lakini huu wa kijinga namna hii siuhitaji! Aliyekamatwa akigawa Chai na Maandazi ni Hussein Bashe na hivi tunavyoongea mgombea na mpambe wake mkuu wa kike "

  Updates inasemekana ni maadazi na sio vitumbua
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Vitumbua vimeumbua mambo,ngoja kwanza nipite nitarudi baadae
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,274
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Mkuu pia tunapenda aje na hapa jf ajibu hoja kama kweli au laa. Najua amejipanga ndiyo kaanzia fb,tafadhali dr kigwangala uje maana wanaokujua wanasema hata jina si lako.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,176
  Likes Received: 5,612
  Trophy Points: 280
  maruweruwe,kizunguzungu chenga.!! Nani aligawa vitumbua Bashe na mpenzi wake au Kigwangala na mkewe.!!??
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Dah! Mkuu Hivyo Vitumbua Vimetulia Mbaya? Ila CCM wametuchoka Jamani. Yaani Mnahonga VITUMBUA dah
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri atasema aliyekamatwa ni wa CHADEMA!!
  Kumbe Bashe!!
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Siku hizi hawagawi tena Pilau? au kila uchaguzi wa CCM una msimu wake wa Chakula? Kweli CCM bila ya Rushwa huna uongozi
   
 9. papason

  papason JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,017
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Hii hongo ya vitumbua na buku mbili mbili ni ya bashee au kingwalangwala?
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni ya CCM
   
 11. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha kula ccm kura CDM ila hii kula ya vitumbua ni Kali ya karne
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tumbua limenona!
   
 13. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wame muuzi lowasa na rostam pilau wasahau watakula vitumbua tuu
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  vita vya panzi.....
  M4C reigns
   
 15. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Supporters of the CCM. Read and understand. The CCM will never tell you the truth. They're liars. They'll continue to rip you off and our country till the day you die...

  But the country will continue going down as long as illiterate people keep voting CCM = bunch of thieves! We shall only progress the day the CCM dies, we need the CCM (looters) to be finished in order to fix our country. The voters deserve this poverty because they continue voting incompetent and corrupt people like Kikwete, Lowassa, Chenge and other CCM looter into offices!
  Can hear me Lowassa support Pasco
   
 16. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Umeona eh! Si mchezo...
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Mtaani kwetu ameingia nyambizi, tujihadhari...
   
 18. C

  Concrete JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sitaki kuamini kirahisi anachokisema Hamisi Kingwangwala kwamba siye yeye aliyekamatwa kwa sababu;
  1/Habari ya Kingwangwala kukamatwa ilianza jana humu JF,hakuna mtu yoyote aliyekuja na kanusho au maelezo mengine tofauti.

  2/Magazeti ya leo yameripoti hivyo tena yakimnukuu Mkurugenzi wa PCCB wa wilaya akikiri hivyo.

  3/Taarifa za Bashe kukamatwa anayeziibua ni yeye mwenyewe Dr. Kingwangwala tena leo kupitia FB!!
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,656
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Kigwangalla alitumia mafuta ya Alzeti kupikia hivyo vitumbua nini?
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,656
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Nyambizi gani? wakati vitumbua ndiyo vimeingia?
   
Loading...