Saturday, 01 September 2012 09:03
Edwin Mjwahuzi, Kagera
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema Serikali kutoa huduma ya Elimu na Afya bure inawezekana ikiwa...
Jumamosi katika kipindi cha Makutano nitakuwa na Mbunge wa Nachingwea ambaye pia ni Waziri wa Sheria na Katiba Mheshimiwa Mathias Chikawe tukiongea mambo mbalimbali ikiwemo suala la Katiba mpya...
Source Nipashe
Baada ya Wamalawi kuamua kusema xiwa Nyasa lote ni lao sasa Waganda nao waamua kumega ardhi ya Tanzania na kujenga na kuishi na kuweka vitega uchumi vyao ndani ya ardhi ya...
Sifa za madiwani wetu zinatosheleza kuwapa mamraka makubwa ya kuwafukuza watumishi wa Halmashauri zetu? kumfukuza mtu kazi kuna hitaji kutafakari kwa kina na kufanya uchuguzi wa kutosha kabla ya...
Katika khali inayoonyesha kuwa serikali ya ccm inaoongozwa na taswira za upofu usio na tiba, sasa utetezi wa vinara wa kesi za ufisadi wamekuja na mbinu mpya kabisa........... wanatumia ubatili wa...
TANZANIA DAIMA:
Polisi waikaribisha M4C
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi (SACP), Michael Kamuhanda, amesema hawatakuwa na sababu ya kuzuia mikutano ya...
Waheshimiwa ndugu wana jf,leo katika kipindi cha dk 45 itv sitta atakuwa anafanya mahojiano na itv hususani juu ya suala la Dowans na sasa ndo unaanza,peoples.....
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu kukaa na kufikiria urais kila siku huku wakiacha kuutumikia umma.Kauli ya Sitta ambaye...
Tangu historia ya kale Visiwa vya Zanzibar zimeishi na kufanikiwa kwa kutegemea bara (eneo la mwambao wa Afrika ya Mashariki) na hata maeneo ya ndani ya Afrika. Kufanikiwa kokote kule kunakotajwa...
Source Habari Leo na Jambo leo
Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa...
Hii imetokea leo katika mahakama iliyopo ifakara mjini, hakimu baada ya kuwasomea kesi waislam waliogoma kuhesabiwa, amewawekea dhamana yeye mwenyewe ya sh 500,000 kila mmoja ili kuepusha shari ya...
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu ile hotuba ya JK aliyosema kuwa madai ya madakitari na walimu hayatekelezeki kwa sababu serikali haina uwezo imenilazimu leo niulize:
Je, huu ni uungwana kwa...
:baby:Utafiti uliofanyika na wataalam toka marekani wametoa taarifa yao na nchi yetu imekuwa ni nchi ya pili Afrika mashariki kwa rushwa ikitanguliwa na UGANDA,uku kenya iliyokuwa ni kinala wa...
Katibu mkuu wa CCM yupo Afrika kusini kuhudhuria mkutano wa vyama vya siasa vinavyofuata siasa za mrengo wa kijamaa , unaofanyika katika jiji la Capetown.
Chanzo: Uhuru
Nape
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
For other uses, see Nape (disambiguation).
The nape of a Geisha
Mother cat carrying her kitten
The nape is the back...
JUMAPILI, AGOSTI 26, 2012 06:41 NA KULWA KAREDIA
KARIBUNI tena wasomaji wangu katika safu yetu hii tuweze kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu taifa letu. Moja ya jambo kubwa ambalo sasa...
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko
hiivi maana ya kukaa kimya ni...
Jamani ndugu zangu mimi ni mtanzania ninaeishi nnje ya nchi ningependa mnisaidie je vitambulisho vya uraia vimeshaanza kutolewa. na je sisi tulio nnje ya bongo tutavipataje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.