Vitambulisho vya uraia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitambulisho vya uraia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by princeamos, Aug 31, 2012.

 1. princeamos

  princeamos Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ndugu zangu mimi ni mtanzania ninaeishi nnje ya nchi ningependa mnisaidie je vitambulisho vya uraia vimeshaanza kutolewa. na je sisi tulio nnje ya bongo tutavipataje?
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nakitaka na sijuhi mjumbe wangu huko nyumbani
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tulia badoo!
   
Loading...