Tanzania ni nchi ya pili kwa rushwa afrika mashariki

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
:baby:Utafiti uliofanyika na wataalam toka marekani wametoa taarifa yao na nchi yetu imekuwa ni nchi ya pili Afrika mashariki kwa rushwa ikitanguliwa na UGANDA,uku kenya iliyokuwa ni kinala wa rushwa katika ukanda wa huu ni nchi ya tatu.Burundi ni ya nne na mwisho ni nchi ya RWANDA.kutokana na hali hii je watanzania tunajifunza nini?
 
Tunajifunza kuwa nchi inafanya vizuri sana kwenye rushwa,,,naombea tuwe namba 1
 
Tuongeze bidii ili mwaka kesho tushike namba ya kwanza kabisa. . Iweje waganda watushinde wakati sisi tuko wengi kuliko wao.
 
Tatizo letu ni CCM tu kwani sisi wote ni ndugu. CDM songa mbele uikomboe nchi yetu tumeshaumbuka ya kutosha. Tutoe mikononi mwa hawa mafisadi inatosha saana tu sasa.
 
Sikubaliani na hayo matokeo unless kama wanamaanisha sisi ni wa pili kwa Afrika nzima na sio Afrika mashariki tuu.
 
Tuongeze bidii ili mwaka kesho tushike namba ya kwanza kabisa. . Iweje waganda watushinde wakati sisi tuko wengi kuliko wao.


Mkuu, tafadhali saana mkuu, mbavu zangu bado nazihitaji mkuu, halafu umri wangu bado mdogo aisee!!. dah!! hakyanani!!



Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI
 
Back
Top Bottom