Kumekuwa na maneno mengi ya hapa na pale kufuatana na gazeti Al-huda kuandika habar ya shehk ponda kugombea ubunge 2015 ubungo. Wapo wengi wanapinga kuwa hana uwezo huo lakin pia wapo wengi...
Je,walimu wa sekondari kusimamia mitihani ya kuhitimu
darasa la saba ni suluhisho ya kuondoa wasiojua
kusoma na kuandika kwa kidato cha kwanza...?
ITV kipima joto......
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama...
Nimechoka kuwa mpiga debe wa M4C sasa nataka nijiunge na jeshi la M4C (CDM). Ninaishi Kijitonyama, Je ufisi za karibu za CDM ziko wapi, nahitaji kuchukua kadi yangu rasmi. Na natoa wito kwa...
Bonyeza Redio DW AUDIO | DW.DE
IDHAA YA KISWAHILI / Matukio ya Afrika
Sheh Aboud rogo
Mji wa Mombasa nchini Kenya umekumbwa na vurugu kufuatia kuuawa kwa mhubiri wa dini ya...
Chama cha walimu tanzani CWT kimeipa serikali siku saba kufuatia amri ya mahakama ya kuitaka serikali kukutana na CWT na kufanya majadiliano kuhusiana na madai ya walimu SOURCE ITV
Salaam wakuu,
Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni mama Hawa Ngulume amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Mama Hawa Ngulume alikuwa akisumbuliwa na...
Habari zenu wanaJF...!
Leo ni Rai moja tu, kumwambia mh.Mwigulu Lameck Nchemba mbunge wa Iramba Magharibi na Katibu wa Fedha CCM (chama tawala) kufanya majukumu,kazi na wajibu wake ndani ya...
Wadau mwenye taarifa naomba kujuzwa hii kesi ya hawa waliokua watumishi wa wilaya ya Rombo ambao bila aibu walitafuna jumla ya 914m/= na baadae kutafuna tena 29.4m/=. Nimependa kujuzwa hivyo kwa...
Nimewakuta wanaccm walioko kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kwenye mughahawa mmoja wapo wilayani mbozi.wakilalamika kuwa wakati wanaelekea kwenye chaguzi. wameshuka kwenye kijiji fulani ili...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Salum Msangi amemsweka rumande Mkuu wa Polisi Wilaya ya Bariadi (OCD) na Mkuu wa Kituo cha Polisi Bariadi (OCS), kwa tuhuma za rushwa.Wakati hayo yakitokea, jeshi...
MITANDAO MINNE YA WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAMU INAYOITWA
FEMACT
TANZANIA LAND ALIANCE AU TALA
PINGOS FORUM YA ARUSHA
NGONET YA LOLIONDO
wamemaliza kuongea na waandishi wa habari sasa...
Alhamisi, Agosti 30, 2012 | Imeandikwa na Arodia Peter | Mtanzania
*Yalia polisi kuiruhusu CCM Lindi kuandamana
*Yaikataa tume ya kuchunguza mauaji Morogoro
WAKATI Jeshi la Polisi nchini...
Ijumaa, Agosti 31, 2012 06:30 Na Benjamin Masese
*Aiagiza isikate umeme ovyo * RC Simbakalia amwaga kilio
SERIKALI imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania...
Kuna vurugu kubwa nchini Angola katika uchaguzi uliopangwa leo -- vyama vya upinzani vyasusia sababu orodha ya majina ya wapiga kura yaliyowekwa juzi yana kasoro kubwa, wengi wapigakura hawaoni...
Kila mwaka kuanzia mwezi Juni hadi August Bunge letu hukaa dodoma kwa kiasi cha siku zisizopungua sitini huku wakijadili makadirio ya mapato na matumizi na kupitisha makadilio hayo kuwa bajeti ya...
Kama umejifunza biblia vizuri sina shaka umewahi kuona maneno haya, ''mene mene tekel peres'' maana yake '' Mungu ameuhesabu ufalme huu, umepimwa katika mizani na kuwa umepungua, watapewa Wamedi...
Baada ya CDM kuingia katika msuguano na Serekali, Chadema kimebadilisha mbinu za kujiimarisha, chama hicho sasa kubuni mbinu nyingine ya
kujiendesha. "Tuko huko Mufindi tunajenga chama, vikao...
Amini usiamini,Katiba mpya itakuwa ngumu sana.Ibara zake zitakuwa hazitafsiriki nje ya Mahakama.Kwanini? Nimetafakari kwa kina sana juu ya waliopo kwenye Tume ya Maoni ya Katiba Mpya ambayo ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.