Pongezi za dhati kwa kazi ngumu ya vuguvugu la mabadiliko nchini inayoendelea kwa mafanikio makubwa, japo ina milima na mabonde yake!!
Kadri siku zinavosonga, M4C inazidi kuleta matumaini ya...
Habari za majukimu ya kujenga Tanzania Imara.
Mchango wangu kuhusu katiba ijayo.
1. Kwa kuwa viongozi wetu wameshindwa kukemea suala la ukabira na udini, ninaona kuna haja ya kuvipa...
Ndugu zangu watanzania mimi nina wasiwasi katika mfumo mzima wa bunge letu. kila kukicha wanaibua hoja nzito lakini ufatiliaji wao ni mdogo sana mfano:-
1. katika sakata la richmond. limezimwa na...
TANZANIA RECEIVE THREE BLACK RHINOS FROM UK
Minister for Natural Resources and Tourism Ambassador Khamis Kagasheki (fourth left front row) shake hands with UK's High Commissioner Dianne Corner...
Hatua ya kuongeza siku za sensa ni mpango maalumu wa kuihujumu chadema kwenye operesheni yake ya m4c baada ya mauaji yaliyotokea moro na kushindwa kwa polic.c.m na usalamac.c.m pamoja na mvuto wa...
SUMAYE, LOWASSA, CHENGE WAKIMBIA KUNDI LA KIFO
na Mwandishi wetu
WAKATI leo ndiyo siku ya mwisho kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wakuu nimepata mail hii nikaona niwajulishe wengine humu ndani. Samahani MODS kama nitakuwa nimeweka sehemu ambayo haistahili. Nina kazi hapa imenibana sana.
Jukwaa la Katiba Tanzania...
Imeelezwa na watu mbalimbali, mabalozi wanchi za nje na taasisi kadha za ndani na nje ya Tanzania; kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini na fukara duniani. Ingawa nchi hii ni tajiri kwa...
Saturday, 25 August 2012
Chiume: Malawi negotiated in good faith
Malawi and Tanzania on Saturday announced that they had failed to resolve their dispute on the border of Lake Malawi and...
The developement and welfare of all African countries are more or less similar. Why African leaders:
1. Can not copy and paste good things they see when they visit developed countries
2. Why they...
Ndugu wana JF
Hivi sasa niko kwenye ukumbi mojawapo ya Blue Pearl Hotel nikiwa mmoja wa washiriki katika kongamano la Katiba, Kongamano imeandaliwa na Jukwaa la Katiba linaloongozwa na Bw Deus...
MFADHILI MKUU WA CHADEMA SENGEREMA AHAMIA CCM
MLEZI na Mfadhili Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Sengerema, mkoani Mwanza, Bw. Alex Manji, ametangaza rasmi kukihama...
Mbunge wa Mvemero, Amos Makala akionyeshwa moja ya miradi aliyoitolewa msaada, hapa ni Shule ya Msingi Mnazi Mmoja iliyopo katika kijiji cha Kidudwe
Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri,Habari...
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower...
Inaonekana sasa Sitta anampango wa kukihama CCM. Gazeti za leo la Tanzania daima limemkariri akisema kuwa hivi sasa hana mpango wa kuhama CCM: Kwa maneno yake: Kwa sasa sina mpango huo wa...
Saturday, 01 September 2012 | Mwandishi Wetu | Mwananchi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kipo njiapanda, baada ya vigogo wake ambao ni wabunge, kuamua kuchukua fomu za kuwania uongozi ndani ya chama...
Imekuwa ni kawaida sasa hivi kwa watu mbalimbali kumiliki silaha hapa nchini..na wengi wao wanadai ni kwa ajili ya ulinzi wao binafsi na mali zao. Na hiyo ni mojawapo ya vigezo vya mwananchi wa...
Baraza la madiwani katika manispaa ya Morogoro limewatimua kazi watumishi wapatao 12 kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha wakianzia na mhasibu na cashier wa manispaa hiyo.
Baadhi ya mambo hayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.