Joseph Mbilinyi anavochemka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Mbilinyi anavochemka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zanzibar huru, Aug 30, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko

  hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?

  Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya

  [​IMG]
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwani wa CCM anafanya nini? kwani ni mambo mangapi CDM inawashauri serikali lakini inadharau? Huenda hata hilo aliwashauri wakalikanyagia
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nadhani tatizo si kukemea au kutokumea bali kuwa na serikali iliyoko madarakani ikiundwa na watu wasio na maadili. Siku hizi Tanzania imekuwa dampo la kila uchafu hasa miigizo. Tuna vituo vya TV vyenye kutoa huduma chafu kwa wateja. Tuna vipindi vya kisagaji kama Mikasi na utitiri wa magazeti ya udaku. Kenya hawana magazeti ya udaku, matangazo machafu wala vipindi vya hovyo kama Tzania. Nadhani tatizo ni jamii ya kitanzania kupenda vitu vya hovyo na kuchukia vitu muhimu. Iwapo rais mwenyewe hana maadili hadi kuwaambiwa wanafunzi wanaopata mimba eti ni kutokana na kiherehere chake huku wabunge wake wengi wakiwa wavuta bangi na walevi unategemea nini? Hili si tatizo la upinzani bali CCM.
   
 4. S

  Sipendi Ubepari JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well stated mkuu
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sasa badala ya kuwakomalia walioko madarakani mnataka kuwabana walio nje ya madaraka. Sasa imagine kuwa Mbilinyi kasema na kakemea then what? Utakuwa umeridhika na kujisikia vizuri!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Ulishawahi kuona mkurugenzi anakosea na kutaka kuwaadhibu wasaidizi wake kwa kutomkosoa? Hahaha, sera zimeenda doro!
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mi naona mpuuzi ni wewe mleta mada kwa kuhamishia frustration zako kwa Mh Sugu badala ya kuwashukia waliobandika tangazo. Kwanza wewe si uligomea sensa hilo tangazo linakuhusu nini? UAMSHO mna shida sana.
  Waziri kivuli sio watch dog kwenye mbao za matangazo kimebandikwa nini, haya yote yanatokana na udhaifu wa rais Kikwete kushindwa kuweka Standard Operating Procedures katika shuguli za kila siku za kuendesha nchi
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Umemwonew Sugu
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Umemwonea Sugu
   
 10. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Au umeona MUSHI umekajua lazima atakuwa CHADEMA? Wewe ni kipanga!
   
 11. z

  zanzibar huru Senior Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  waliopo ndani ni viziwi

  huyu yuko nje alitakiwa apiganie na ikibidi apewe taarifa na a go public na maelezo toka kwa jamaa wa wizara ya sheria na TAMISEMI lakini wapi

  kilichobaki ni kuja kusemea humu labda atasoma asubuhi hiii
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kosa lake nini sasa hapa? Acheni kutafuta scapegoat jamani!
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ujumbe wa barua hii uko wazi: usikose kuhesabiwa katika zoezi zima la sensa ya taifa. Lakini ukisoma barua yenyewe kuna mengi zaidi ambayo yanajifunua.
   
 14. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar Huru,

  Hivi hapa Mh. Sugu anahusika vipi??? Au ......... mi sielewi, nieleweshe kidogo.
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  sasa hapa mpuuzi nani kati yako wewe na sugu??pumbav jazz bend weH!
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  nashanga!
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Nina swali moja kama asilimia kadhaa za nyumba au watu waliokimbia...hawatahesabiwa itachukuliwa makisio yao na kuongezwa au itakuwaje ?lengo la sensa litatimia?
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo Mchaga atakuwa kasoma St. Kayumba, mkiambiwa MoU hazisaidii kusomesha watu, mnakataa, matokeo ndio hayo.
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu hii lugha ya kikristo imekuwa Ngumu sana kwake lazima alikuwa anashinda madrassa akitumia ile lugha yenu
   
 20. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mpuuuzi wewe sasa tatizo hapo ni SUGU au hao mabwana zako waliokutuma emu nenda kaoge.
   
Loading...