Je huu ni uungwana Kikwete kutozungumzia zile Bilioni 300 zilizo Uswisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni uungwana Kikwete kutozungumzia zile Bilioni 300 zilizo Uswisi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olecranon, Aug 31, 2012.

 1. O

  Olecranon JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,371
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Baada ya kutafakari kwa muda mrefu ile hotuba ya JK aliyosema kuwa madai ya madakitari na walimu hayatekelezeki kwa sababu serikali haina uwezo imenilazimu leo niulize:
  Je, huu ni uungwana kwa mheshimiwa kukaa kimya baada ya kujulikana kuwa kuna bilioni 300 za mafisadi kule Uswisi?
  Je, mheshimiwa haoni kuwa kukaa kimya kunadhihirisha kuwa yeye ni mmojawapo wa wamiliki wa hizo pesa?

  Naomba tujadili kama ungekuwa wewe ndie rais ungechukua hatua gani?
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nilini kikwete kakemea ufisadi akiwa anaimanisha, ikumbukwe yeye alipata uraisi 2005 kwa pesa za ufisadi EPA hivyo sahau maajabu juu ya ufisadi kikwete kuchukua hatua, angalia utajili alionao mwanae riz1.
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hawezi kusema chochote, kwani hata yeye ni mchafu.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwani kiongozi mkuu serkalini ni nani? naye yumo kwenye orodha hyo
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bila Kikwete kuzifanyia kazi ungezijuwa zilipo?
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ye ndiye aliyeandika makala kwenye lile jarida la uswizi???
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  The government established the Financial Intelligence Unit (FIU) in 2007 to tackle money laundering activities
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hiyo tunajua ipo,tena pale wizara ya fedha,,,,ajabu na mkulo ameibia hapohapo,unadhan hii idara inatekeleza wajibu wake???
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 11. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  IVI AYA MADUDE MAWILI ZOMBA NA MAJEBELE MBONA YANAKERA SANA? YANATUKEBEI WATANZANIA DAILY, WATU TNALIA KWA DHIKI YENYEWE YANAFAGILIA NATMAI AWA NAO NI MAFISADi
   
 12. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wetu ni msikivu sana vuteni subira mazuri mengi yanakuja kwa muda wa miaka mitatu iliyobakia ataacha historia ambayo kamwe watz hamtakuja kuisahau
   
 13. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Akate tawi alilokalia..!
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  wewe ni nani yake? Kashindwa kuwa msikivu kwa miaka 7 ati miaka mi3 ilobaki ndo atasikia. Ndoto za mchana izo, ccm jaman imetosha muiache tanzania yetu imetosha kuihujumu, mtuachie tuijenge wenyewe nyie mmeshindwa
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  WEWE NI NANI YAKE? KASHINDWA KUWA MSIKIVU KWA MIAKA 7 ATI MIAKA MI3 ILOBAKI NDO ATASIKIA. NDOTO ZA MCHANA IZO, CCM JAMAN IMETOSHA MUIACHE TANZANIA YETU IMETOSHA KUIHUJUMU, MTUACHIE TUIJENGE WENYEWE NYIE MMESHINDWa
   
 16. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Akate mtawi alilokalia
   
 17. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hivi fisadi anaweza kuwakamata mafisadi wenzake.NCHI HII TUWENI MAFISADI TU WOTE NDO TUTAELEWANA VINGINEVYO WENGINE WATAENDELEA KUNUFAIKA NA MATUNDA YA NCHI HUKU WENGINE TUKIUMIA.Dawa ya moto ni moto
   
 18. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,488
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  Zomba,

  Sijui kama JK amefanyia kazi. Haya yanafanya vyombo vya kijamii. Bado anatakiwa kuwaeleza wananchi na kuwatoa wasiwasi. Angekuwa amefanya kitu tungesikia wahusika ni nani.
   
 19. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mengi hajayazungumzia labda anahofia kugusa miradi ya kambi pinzani ndani ya CCM
   
 20. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,540
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Inawezekana Ikulu haina taarifa kabisa na haya mabilioni kwa sababu iko busy na mikakati ya kuiua CHADEMA wasijue wanachimba kabuli lao wenyewe,wako buzy wanatengeneza albam ya nyimbo za kujisifu ndiyo maana wasanii wa mziki wanapishana makulu utafikiri kwa producer P-funk, ngoja tuone siku uchovu ukimuisha labda atajitutumua.
   
Loading...