Mkutano wa Chadema Reading, Updates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa Chadema Reading, Updates

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 26, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nitakuwa nawajuza yanayojiri Leo hapa reading, ukumbi umeishaanza kufurika

   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kipi kinaendelea kwa sasa? Ni wasomi gani ambao wanatarajiwa kuhutubia? Je mlezi wa Tawi Jembe Godbless Lema yupo?
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  usisahau mapicha...
   
 4. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  picha mkuu na usisahau kutufahamisha yule mjumbe wa NEC anayetarajia kuvua gamba leo
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Jitahidi kutupia update na picha mkuu, masikio yetu na mioyo yetu yote iko huko UK kwa sasa.
   
 6. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CHRISLUKOSI.JPG
  Kamanda Chris Lukosi.
  MWENYEKITI wa Chadema jijini London, Kamanda Chris Lukosi akijiandaa kwa safari ya kuelekea Reading kwa ajili ya mkutano wa chama chake utakaofanyika leo Agosti 26, 2012.
   
 7. M

  Magesi JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamanda lukosi 2pe uhondo
   
 8. real thinker

  real thinker Senior Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Pamoja sana mkuu
   
 9. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inatia moyo
   
 10. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Hiyo gari mbona namba kama za bongo T500...., any way im happy kusikia toka uk kuwa mmechukizwa na utawala wa ccm na mko pamoja nasi.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Picha zinakuhusu nini wewe subiri Nape alihutubia magamba wenzako warushie picha
   
 12. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cdm kwa vihelehele mbongwe hawajawahi kufika ila u.k wanaenda
   
 13. h

  hans79 JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kikaburigado!
   
 14. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  mkuu tupe updates
   
 15. K

  Kipya Kinyemi Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DR.lusingo amewaambia waumini wake wa kisabato kwenda kwenye mkutano ni baada ya kuona mkutano wa london hawakupata watu.
  asiyekwenda kwenye mkutano anasuswa na kanisa lake.

  Mfuko wa mazishi kama wachangiaji walivyooponda ni kuwa hauna maana kwani tayari PPF Mfuko wa pensheni-Tanzania umeanzisha huduma ya kusaidia matibabu kwa wana Diaspora na ikitokea mtu kafaraiki wanasafirisha maiti na mtu wa kusindikiza maiti anapewa tiketi. hao ndio PPF chini ya mkurugenzi Mkuu Erio.

  John Lusingu,Alex,aseri na chris Lukosi kama nyinyi mnataka kuwaibia watu kwa vifo tayari PPF wameshalifanyia kazi tatizo hilo na wamarekani waliofiwa Maiti na msindikizaji wamepelekwa Tanzania kwa dola mia tatu.acheni wizi.
   
 16. h

  hans79 JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Usipotee sababu panapoletwa ushahidi design yako wanakimbia.
   
 17. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe ni mortuary attendant
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mkitoka hapo mkale nyama na bia kwa balozi wetu hapo London.
  Chilisosi tupe mapicha ya matukio la sivo ntakuita tomatososi
   
 19. K

  Kipya Kinyemi Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkutano una watu 20 kwa mara nyingine tena Chadema Chali.
   
 20. K

  Kipya Kinyemi Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana watu 20 anaona aibu.pamoja na kuwalzimisha waumini wa kisabato.wakadanganya kuwa mjumbe wa NEC wa ccm.mjue kuwa ni matapeli.
   
Loading...