Ardhi ya Tanzania yazidi kumegwa, sasa zamu ya Waganda wajenga, kuishi na vitega uchumi juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ardhi ya Tanzania yazidi kumegwa, sasa zamu ya Waganda wajenga, kuishi na vitega uchumi juu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Sep 1, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,527
  Trophy Points: 280
  Source Nipashe

  Baada ya Wamalawi kuamua kusema xiwa Nyasa lote ni lao sasa Waganda nao waamua kumega ardhi ya Tanzania na kujenga na kuishi na kuweka vitega uchumi vyao ndani ya ardhi ya Tanzania na cha ajabu tunasema tuna vyombo vya ulinzi na usalama kama Jwtz na usalama wa Taifa.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Vyombo vya ulinzi kazi yake nikuzuia Mikutano ya CDM na kutesa wananchi katika misitu ya pande
   
 3. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watawala wetu bado wanapambana na chadema wanachofikiria wao ni madaraka na kuiba kila kilichomo Tz,suala la uvamizi sio kipaumbele na uvamizi wanaoujua ni ule wa watanzania kujenga maeneo ya kiwanda cha wazo,madale na kinondoni....Watawala majambazi na majizi yanoyokandamiza raia wao na kuuzu nchi kwa wageni...Shenzi kabisa Ccm
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Hii habari haijakamilika kiasi cha kuanza kutoa mapovu,
   
 5. m

  mtznunda Senior Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanajenga wapi mbona usemi au umedhulumiwa dili so unatishia nyau?
   
 6. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Undertaker sasa hii ndio nini bana au haujamalizia usingizi wako bado ndio utakuja kutuhabarisha kiuhakika zaidi hapo baadaye???????????
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  CCM LAZIMA IONDOKE MADARAKANI IMESHINDWA KUIONGOZA NCHI NDIYO MAANA HATA MAJILANI ZETI SASA HAWATUHOFII TENA YAANI WANAONA NI SHAMBA LA BIBI, HIZO RISASI ZINAZOTUMIKA KUUWA NDUGU ZETU HUKO NYAMOGO MKOANI MARA NA HUKO MOROGORO ZINGETUMIKA KULINDA LASILIMALI ZETU NA MIPAKA YETU..kikwete nchi imekushinda huna haja kusubiri mika iliyo baki, tuachie nchi yetu...
   
 9. N

  Nguto JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,657
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Kipindi cha Nipashe cha Radio One asubuhi ya leo wametoa hizo taarifa.
   
 10. F

  Froida JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Shamba la Bibi huyu Raisi Jakaya Kikwete amezidi kuzurura yaani kuna wanyarwanda wameingia kagera mpaka wamechukua uongozi,warundi wamejaa huko kigoma,wacongo na wazambia wamejaa Rukwa,Wamalawi wamechukua ziwa zima na sasa waganda bado wakenya,wacomoro na wamauritius,na wanamsumbiji watajichotea tuu pisi la nchi ,kichefu chefu kweli kwa utawala huu mipaka haiko salama tena
   
 11. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Mbona habari inakuja nusu nusu?Wamejenga wapi?
   
 12. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Uko wapi mkuu?wakenya wamegeuza arusha kama kwao,tena wana kiburi balaa.
   
 13. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Usiwasahau Wazanzibar, karibuni na wao watadai maili 10 zao ndani ya mwambao wa Tanganyika, ukiachia ukweli kuwa Tayari wameshajazana huko.
   
Loading...