Police Iringa yaikaribisha CHADEMA kwa ajili ya M4C | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police Iringa yaikaribisha CHADEMA kwa ajili ya M4C

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOLE, Aug 31, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  TANZANIA DAIMA:

  Polisi waikaribisha M4C

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi (SACP), Michael Kamuhanda, amesema hawatakuwa na sababu ya kuzuia mikutano ya CHADEMA baada ya shughuli za sensa kumalizika.

  Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamuhanda alisema tangu siku ya kwanza CHADEMA walipoingia mkoani humo hali ya utulivu ilikuwa ni nzuri na hakukuwa na matatizo yoyote mabaya waliyosababisha.


  "Tunajua watafanya mkutano wao Septemba 2, mwaka huu, wilayani Mufindi, hatuna sababu ya kuzuia hilo labda ijitokeza sababu ya kiusalama, kwa kuwa hata Dk. Slaa nimezungumza naye na akaniambia wako salama na amefurahia walivyopokewa kifalme katika mkoa huu," alisema Kamuhanda.


  Akizungumzia sababu ya kuimarisha ulinzi, Kamanda Kamuhanda alisema hatua hiyo inatokana na hali halisi ya kisiasa kwa sasa na kwamba polisi wana wajibu wa kuchukua tahadhari kuhakikisha usalama unakuwepo.


  Alipoulizwa kama jeshi hilo linatumiwa na viongozi wa CCM katika kuhakikisha mikutano ya CHADEMA haifanikiwi, Kamuhanda alisema si kweli kwani hata baadhi ya viongozi wa CCM wakiwamo wabunge wa mkoa huo hajawahi kukutana nao.


  Tangu kuingia kwa viongozi kadhaa wa CHADEMA mkoani Iringa, jeshi hilo limekuwa katika tahadhari kubwa kwa hofu kuwa wanaweza kufanya mikutano kabla ya sensa ya watu na makazi kumalizika.
   
 2. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawana jipya hawa Polisi tena wategemee mkutano wa kihistoria!
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sep 2 si mbali Subira yavuta heri

  watu wote wa Iringa wekeni ratiba zenu vizuri ili muweze kuhudhuria mkutano huu

  M4C DAIMA
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Huyo kamanda ni afadhali amepima upepo mapeema,upepo hauzuiliwi kwa mkono
   
 5. M

  Malova JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kidogo ametumia busara
   
 6. m

  malaka JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huyu lazima ahamishwe fasta.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Chezea CCM weye ?
   
 8. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo kamanda kashaweka kibarua chake rehani ila bora kapima upepo maana
   
 9. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ametumia busara na kupima upepo! Huwezi jua pengine anatakatia U-IGP/DPP mwaka 2015!
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Serikali wafanye tathmini kama zoezi la sensa lilifanikiwa. Of coz mie mpaka sasa sijahesabiwa pamoja na maandalizi kibao ili nihesabiwe!

  Kama sensa haikufanikiwa angalau kwa 66.3% il-hali CDM ilisimamisha M4C kwa vile Polisi walituhumu kuwa inavuruga zoezi la sensa basi itabidi Polisi na CCM waiombe CDM radhi. Haitoshi tu kuwaruhusu kuendelea na mkutano kwani hiyo na haki na wajibu wa CDM kikatiba na kimaudhui.

  Na je kwani CDM ilikuwa inafanya M4C ktk mikoa yote kwa wakati mmoja?
   
 11. i

  iseesa JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zitatokea habari za ki-intelijensia ZA KUZUIA MIKUTANO HIYO. Subiri tuone
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbona unarudia neno hilohilo la "Chezea CCM weye ?" kila thread au umeishiwa na hoja?
   
 13. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kaazi kwelikweli...
   
 14. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  yaani walijua wameikomesha CDM,kumbe ndio wameipa muda wa maandali wa kutosha,na watu ambao wangekosa siku hiyo wamewasaidia kuhudhuria.
   
 15. B

  BORATUMBO Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  atakuwa anavuta ile ya ndugai
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  Tusije sikia kaamishiwa tandahimba tu
   
 17. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata mimi simuelewi
   
 18. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CDM itampa kazi
   
 19. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aisee unamfuatilia !!
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  Vizuri ametumia busara .hataki kufanya ujinga kama ule wa mwenzie wa morogoro!
   
Loading...